Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
naombeni tofauti ya speed ya internet kwa line yenye 64k na 32k
sizani kama zina uhusiano/ wowote ule na Internet speed, ila hzo ni kb za contacts and sms storage ktk line,
.
Nimeishia hapo
naombeni tofauti ya speed ya internet kwa line yenye 64k na 32k
aaaah sasa hili ndio nilolisema litatokea sasa baada ya kuwapa hizo port mpya nilowapa Saleh na wenzake ndio balaa hili, msitake kushindana nao hawa ISP mie nimekupeni port mpya ili msipoteze clients wenu wa TZ ila sasa mnaweka mambo wazi kama hivi naona sasa janga litakalotokezea nitawaachia wenyewe mtafute njia nyengine, yaani dah mumeniboa kweli. Hawa jamaa hawawezi kulipa watu wazibe matundu hela nyingi halafu wakaondoka matobo bado yako wazi, itapatikana njia ila itatake long time mpaka mupate njia mpya.HATER kazi kwako sasa nishapata PORT mpya PD itaendelea kwa UDP server ports kawaida
Nimecontact admin wa TG na meteorVPN afungue hiyo port mpya katika server zake
![]()
aaaah sasa hili ndio nilolisema litatokea sasa baada ya kuwapa hizo port mpya nilowapa Saleh na wenzake ndio balaa hili, msitake kushindana nao hawa ISP mie nimekupeni port mpya ili msipoteze clients wenu wa TZ ila sasa mnaweka mambo wazi kama hivi naona sasa janga litakalotokezea nitawaachia wenyewe mtafute njia nyengine, yaani dah mumeniboa kweli. Hawa jamaa hawawezi kulipa watu wazibe matundu hela nyingi halafu wakaondoka matobo bado yako wazi, itapatikana njia ila itatake long time mpaka mupate njia mpya.
check na reseller wako akupe port mpya
au connect pd proxy iache dakika nzima itatafuta port hiyo port mpya na itakwambia
Reseller wangu ni wewe ila inapiga mzigo tayari.
Dah sijawahi kuona mtu mjinga na -------- kama wewe, leo nakupa live kavukavu, after all i have done kusukuma wateja kwako wa droid vpn bila mwenyewe kujijuwa, na kama unataka ushahidi uliza wangapi humu wananipigia nawapa namba zako, wangapi wanataka pdproxy voucher nakuwa busy nawapa namba zako, mwisho uluposema itafutwa UDP port ktk hii thread nikakwammbia mwambie Saleh anitafute nimpatia sahivi unajifanya bingwa sio, mwamba mie sina ujinga katika biashara na kusaidiana kupo sasa kama wewe unajifanya mjuaji mimi hiyo port naiweka hadharani hapa hapa halafu utaona kama kesho ikiblokiwa utapata hizo port wewe si unajifanya bingwa sasa leo nakupa live kabisa na natangaza hasa nataka vita na wewe CYBER WAR unaweza?????? i will make sure u loose every thing in 1 week na utazima simu mwenyewe, pimbi.
Any problem nicheki kwa hewa sababu inaweza ikugomee mbeleni maana ile port ya awali naona kama haieleweki
jamaa mjinga sana yeye yupo kwenye majisifu tu hajui kama ndio anafuja, kaambiwa mwanzo wacha jamaa wamalize kazi walopewa yeye anataka aonekane kinara.teh teh teh ..... Punguzeni vitisho na kick zisizo na maana, we all want same things here!! Hakuna mwisho wa ubora we all need each other.
Dah sijawahi kuona mtu mjinga na -------- kama wewe, leo nakupa live kavukavu, after all i have done kusukuma wateja kwako wa droid vpn bila mwenyewe kujijuwa, na kama unataka ushahidi uliza wangapi humu wananipigia nawapa namba zako, wangapi wanataka pdproxy voucher nakuwa busy nawapa namba zako, mwisho uluposema tafuta njia ya kupata UDP port ya kuconnect pdproxy ktk hii thread nikakwammbia mwambie Saleh anitafute nimpatie sahivi unajifanya bingwa sio, mwamba mie sina ujinga katika biashara na kusaidiana kupo sasa kama wewe unajifanya mjuaji na ni jeshi la mtu 1 mimi hizo port naziweka hadharani hapa hapa halafu utaona kama kesho ikiblokiwa utapata hizo port wewe si unajifanya bingwa sasa leo nakupa live kabisa na natangaza hasa nataka vita na wewe CYBER WAR unaweza?????? i will make sure u loose every thing in 1 week na utazima simu mwenyewe, pimbi.
Hivi unajuwa india, philipine, kenya na nchi nyengine kwa nini wakipata trick zinadumu miaka mingi? kwa sababu hakuna reseller wajinga kama wewe, nyambaf mkubwa. Wewe watu wapo kwenye majanga ya port kubanwa ndio kwanza unajifanya hero kuvutia biashara badala kuwa utulie, mkuu mie nipo kwenye hii game kabla yako na sio kabla yako wewe tu bali kabla ya reseller wote wa TANZANIA and i know what is the risk, narejea tena mimi nina market world wide na siuzi free internet nauza PDPROXY vouchers.
Mie ukiendelea na upumbavu wako kama huu nitaanzisha thread kila kona kutangaza ni mtandao gani unaotumika na port zote hadi hao wenye mitandao waone jinsi wanavyoibiwa na nitaandika hadi njia za kubloki, endelea kuleta ujinga, panya kasoro mkia
jamaa mjinga sana yeye yupo kwenye majisifu tu hajui kama ndio anafuja, kaambiwa mwanzo wacha jamaa wamalize kazi walopewa yeye anataka aonekane kinara.
mie namsubiri ajibu tu niweke mambo hadharani.
Waswahili wanasema vita vya Panzi neema kwa kunguru.
jamaa mjinga sana yeye yupo kwenye majisifu tu hajui kama ndio anafuja, kaambiwa mwanzo wacha jamaa wamalize kazi walopewa yeye anataka aonekane kinara.
mie namsubiri ajibu tu niweke mambo hadharani.
Waswahili wanasema vita vya Panzi neema kwa kunguru.
Mkuu naona JF kuna wanafiki wengi !!
Munjy1 tumemuomba port akadai yeye yupo bussy sana na hajishughulishi na matobo kabisa yeye anauza PD na visimbuzi hana mpango na Setting.
Leo nimeshangaa eti katoa pange.......... nakupa 5 kwa kumzodoa live huyu Mhafidhina wa Kunyea Boga.
Hizo port fanya kwa PM kwa wakongwe tu hachana na waropokaji.
Mimi nasubiria unipe tu Kamanda