Mambo yaendelea kuwa Magumu KUZIMU!

Mambo yaendelea kuwa Magumu KUZIMU!

Kaka hiyo link niliyoiweka haina madhara as haina kitu kibaya ambacho kiko exposed. Inakupa details za how the things zinaendeshwa. Redirections zilizomo katika content za hiyo link might be harmful kama hutaziingia kwa tahadhari na nidhamu. Redirection zilizomo katika link ili kuziingia na kuziangalia inabidi uwe umejificha(Tech wise) huku unachungulia kwa mbali.
 
sijui kwa nini nimependa hii post wakati hata sina ninachoelewa.............
 
sijui kwa nini nimependa hii post wakati hata sina ninachoelewa.............

Hahahaaa, ishia hapa hapa dada, huko watu hawana huruma hata kidogo!!
deep.jpg
 
Yaani unavyozidi kunikataza.........ndivyo ninavyozidi kupata hamu ya kujua.........na nitafuatilia mpaka nijue hii kitu.........

Dah asikushauri m2, kuji protect tu kuna kaz kubwa, ma VPN na ma naniii, hebu jiulze, uanze kuiwekea kaki plasta webcam yako na ma process kibao, endelea 2 na M-pesa dada
 
daaah si ndio nimejidai kuingia ile link majanga bwana kisimu kimeganda bwana aseeh nimejuta aloo
 
loading.......99.9%
scanning for open port.....
Port 80.... found
.... User saccessfully Terminated...
.

hiyo port siku wakiipiga chini ndo mtajua kuwa hivi vitu inabidi vifanywe confidential
nimejiunga JF August 2012 nikakuta TunnelGuru inauzwa na Paje na sheria zilikuwa "HAMNA NEW MEMBER WA JF BELOW APRIL 2012 ANARUHUSIWA KUPEWA MAUJANJA"
Hii ni sababu arond hizo siku Zantel waliweza kufix loopholes zao hivo members waliojiunga hicho kipindi walikuwa suspected kama wahusika wakubwa na wengi wao wakiwa IT wa zantel

Nahisi hii colonial era itarejea tena maana mna expose sana haya mambo
 
haya Njunwa kautoe sasa utumbo ule pale kwenye reply
 
Back
Top Bottom