Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Mtoa mada PD haijafa bado ila usafiri wa bure ndo hakuna baada ya basi la pekee kupata Accident.
Najua kunawanaolia na kusaga meno but wapo wengine wanaangusha Kicheko cha nguvu kwa kufanikisha Azma yao.
Ndo hivyo tena waliolipia juzi na jana yabidi wasuspend ACC zao kusubiri tonge lingine au wazitumie kufichia M.asa.buri. Paje na munjy1 wapo anga zingine so kazi kwenu njunwa wamavoko mwl crtl na wadandiaji kusaka open port ingine na jinsi ya kutoa huduma kimya kimya.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kaka mbona PD iko fresh tu kwa basi letu
Ila wanafanya Upgrade tu ya hiyo 3G yao lkn kitu hiko hewani mm hapa niko hewani na PD proxy bila shida
Na sio wote inawakumba hii shida