Paje
JF-Expert Member
- Apr 24, 2010
- 1,185
- 486
wee kweli ni dadahivi hii ni signature ya nani vile? Hahaha utalia mwaka ujao tuombe uzima... Alafu mimi siyo kaka.
wee kweli ni dadahivi hii ni signature ya nani vile? Hahaha utalia mwaka ujao tuombe uzima... Alafu mimi siyo kaka.
hawa jamaa hii ishu ni ki aina aina fulan hiv/ mbona mi nagonga mzigo mkuu
Mkuu nakupigia simu sasa hivi nakupa port mpya ila kwa sharti 1 tu, mimi niko busy nina dharura so hizo port nitakazokupa naweka namba yako ya simu hapa wewe ndio utabeba jukumu la kuwapa na wenzako hiyo port. Jee unakubali hilo???hatimae basi limepata pancha tairi zote...abiria walionusurika bado haijajulikana ni wangapi...mwenye updates zozote kuhusu ajali hii atuabarishe
hahahaha watu hawasomi tu ila subirini mie nitakupeni port nyengine ila ikibanwa mtajijumsinipigie simu mkaanza zogo week end watu wanapumzika, mwambie saleh anitafute.haya sasa mpaka saleh rashid apige migo kutafuta port nyingine
maana hizi port tunazozitumia kazitafuta yeye...ni ARF fulani TELECOM UD asipopata nyingine mtahaha sana na mtajifunza kitu fulani
hahahaha watu hawasomi tu ila subirini mie nitakupeni port nyengine ila ikibanwa mtajijumsinipigie simu mkaanza zogo week end watu wanapumzika, mwambie saleh anitafute.
hahahaha watu hawasomi tu ila subirini mie nitakupeni port nyengine ila ikibanwa mtajijumsinipigie simu mkaanza zogo week end watu wanapumzika, mwambie saleh anitafute.
ninayo ya UDP kwa pdproxy ila wasi wasi wangu ikibanwa watu watapata tabu sana, kuna watu ninaowatrust nishawapa tayari na inapiga kazi poa kabisa.Tutashukuru kuipata hiyo port lkn ya UDP itafaa zaidi
maana siisi regendaries wa TG tushapata TCP port https://www.jamiiforums.com/tech-ga...is-here-by-njunwa-wamavoko-2.html#post8025044
hahahaha watu hawasomi tu ila subirini mie nitakupeni port nyengine ila ikibanwa mtajijumsinipigie simu mkaanza zogo week end watu wanapumzika, mwambie saleh anitafute.
Hivi hii ni Signature ya nani vile? hahaha utalia mwaka ujao tuombe uzima... Alafu mimi siyo Kaka.
HATER kazi kwako sasa nishapata PORT mpya PD itaendelea kwa UDP server ports kawaida
Nimecontact admin wa TG na meteorVPN afungue hiyo port mpya katika server zake
![]()
Mkuu nakupigia simu sasa hivi nakupa port mpya ila kwa sharti 1 tu, mimi niko busy nina dharura so hizo port nitakazokupa naweka namba yako ya simu hapa wewe ndio utabeba jukumu la kuwapa na wenzako hiyo port. Jee unakubali hilo???
nipo tayari mkuu weka mambo
Kwangu bado kavu
​Vp kwema hukoMungu tunusuru na huu upepo