Goms yamliza Makinda

Goms yamliza Makinda

Hapo hakuna kitu huyo mama ni mnafiki sana ninamfahamu tangia nikiwa njombe. Hafai kabisa hata bure. Ndio maana hata wanaume wanamkimbia.
 
Hivi hii nchi haina wadunguaji?! Huyu si alikataa kuwa hiyo siyo dharura? Hawa watu tungewaondoa mmoja mmoja hadi waishe.
 
Machozi ya mamba hayo, amefanya nini kuhakikisha hayatokei tena hayo? na je kwanini alizuia haya mambo yasizungumzwe mjengoni? danganya toto tu!
 
Wigi kichwani,
Marangi vidoleni
Gold na make-ups za hatari, then unaenda kuwaona watu ambao wanasubiri kupata msaada wa maji ya uhai!
Joking you woman!
 
Hamna kitu hapo, usanii tu! Mnafiki sana huyu maza! angalia hao wengine apo kwenye picha! JK and MG_JPG.jpg
 
mbona maefunika macho? kama analia sio atoe machozi yaonekane?
ana-pretend kama anaumia kumbe ni uswahili tu
 
02_11_c13mja.jpg


Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akiwa na huzuni wakati Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick anamsomea taarifa kuhusu milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo La Mboto. Makinda ametembelea kambi ya waathirika, Mzambarauni jijini humo.(Picha na Fadhili Akida).
 
Inawezekana huyu mama analia kweli baada ya kuelezwa hali halisi kuwa waliokufa ni zaidi ya hao waliotangazwa. Huenda amepewa idadi kamili na kuona ni MKOSEFU MBELE ZA MNYAZI MUNGU.
 
Mnafiki sana huyo mwanamke, anatuaabisha na sisi wanawake ambao nature waise Mungu katujalia kuwa na roho ya huruma na kusaidia bila kuchelewa; je si yeye aliyesema hilo silo jambo la dharura? And she was adamant and emotionless during bunge wakati boma lilipolipuka? Huyo mama sitaki hata kuona picha yake wala kusikia jina lake.....ananitia hasira sana na hilo chozi la mamba......ambalo linakusudia kuangamiza na siyo to identify herself with the victims....to hell with your crocodile tears wewe makinda....
 
Jamani

Ingawa simpendi Anna Makinda kama speaker kwa jinsi anavyowakandamiza CDM na kuzuia mijadala yenye ustawi wa Taifa. Lakini tukumbuke naye ni binadamu kama sisi, ni kweli aliguswa sana na tukio la Goms ukizingatia ni mwanamke, wana huruma sana na pia hisia kali, Mimi naamini yalikuwa machozi ya dhati kabisa ya huzuni na sio furaha.

Nimeingalia hii picha mara mbili mbili even myself I feel tears shed my eyes. Huwezi kujua huenda ni mpiango ya Mungu kumuleta mama Makinda Goms and finger crossed my be after that atarudi bungeni na kututumikia sisi walalahoi wa nchi hii badala ya mafisadi wachache. Mungu huwa ana mipango yake, huwa hawatupi waja wake na huenda huu mpango mmojawapo kwaajili ya Anna Makinda.

Endelea kutupigania sisi wanyonge Mungu wetu uliye hai, tunafahamu wewe hushindwi na kitu.
 
Ndo maana kafunika uso maana machozi hayatoki ni danganya totohiyo
asituzuge hafai kabisa. Tangu lini fisadi akalia> wakati wanataka kutudanganya na dowans> wanaleta mafisadi wanajifanya wanataka kufuta deni wajinga wakubwa!
 
Je hiyo picha inaonyesha aanlia kweli? au macho yangu? kwa sababu hata machozi hayaonekani ndo maana kaweka mkono, hapo akitoa mkoa lazima ataonekana anacheka kama mkuu wake alivyokuwa anachekacheka. Halafu hiyo sura utafikiri watu wa kale wale wa zama za mawe!
Hahahaha!!!
Lyangalo, mkuu!! yani wewe umemchukia mpaka unamwona anafaa kuwekwa makumbusho sio?!! kwahiyo akiwa pale mjengoni anakuwa ina wrong economic zone..........yani akikaa Makumbusho, tunaweza kuingiza fedha za kigeni kwa watalii kwenda kumuona?
hahahahaaaa!!
 
Hana kitu huyo mnafiki tuu, amekaa na mjeshi hapo
 
mbona sioni?..jamani hakuna hata tone la chozi hapo..anazuga huyu mnafiki na kibaraka wa mafisadi
 
HATUTAKI TENA KULIA LIA TUMECHOKA KULIA!!! ALIANZA PINDA KULIA NA HAIKUSAIDIA. ACTIONS SPEAK LOUDER THAN WORDS AND TEARS TUNATAKA YASIJIRUDIE NA WATU WAWAJIBIKE AU WAWAJIBISHWE BASI!!! HATUTAKI KUONA MACHOZI YAO, KWANZA HAYAPO KYK PICHA NADHANI ALIKUA AJIFUNIKA VUMBI TU HUYU!!! aaagGGGGHA MSCHEW#@#@@#!!!! (msonyo)
 
Huu ni usanii, alikuwa wapi kulia siku zote hizo? hapo anajifanya kulia akijua kesho atatoka kwenye gazeti
 
Jamani anacheka huyo, anajua kuwa damu hiyo ni kafara lao kwa hiyo mambo yao yatanyooka kwani kwa hali ilivyo miaka mitano hawamalizi hawa.
 
Aache danganya toto...........huyu mama ni mpuuzi sana i.e kiburi,jazba,usanii, etc ndio sifa zake
Pengine ameguswa na hilo kama binadamu, kama ambavyo angeguswa na yeyote mwenye angalau chembe ya ubinadamu kidogo. Lakini amechelewa kuonesha hisia zake, mabomu ya Mbagala na Gongolamboto ni sehemu chache tu ya mateso ya Watanzania, (magonjwa, njaa, umeme, elimu, maji) atalia mangapi? Machozi si ishara ya maumivu, mamba naye analia wakati anakula binadamu.
 
Back
Top Bottom