Goli la machozi linanisumbua

Nyie ndio hua mnajinyonga mkiachwa na wapenzi.
 
hahahahahhahahahahaahah, wallahi nimecheka sana hadi naamsha mtoto amelala.
Hii kali aisee
 

Ama kweli duniani kuna mambo. Sipati picha majirani zako si utakua unawaamsha kila siku
 
Ama kweli duniani kuna mambo. Sipati picha majirani zako si utakua unawaamsha kila siku

Wanasema mimi napigwa na mke demu wangu. Kume mwenzio huwa nakuwaga kwenye kilele. Hivyo sio kila mwanaume aliaye chumbani anapigwa.
 
Kuna mwenzako aliwahi sema akipiga goli anaunguruma kama mnyama,mtafute mbadilishane maujuzi.
 
yaani hii nchi haiwezi kuendelea miaka hii JF ni uwanja wa mapenzi na propaganda za CHADEMA NA kUSAHAU kabisa matatizo ya watanzania
 
Dah nimecheka hadi nimesahau kama jana kuna waseng.e wameniibia kuku wangu jana usiku.
Lol! Hauko peke yako. Nimecheka hadi machozi! Hii hali ya hewa inawafanya watu waje na post za ajabu ajabu tu! Pole kuibiwa kuku. Anzisha uzi tu na wewe upokee pole za kumwaga:wink2:
 
Nini tena chalii wa ara. Sanawari wanasemaje asee. Kuna ile baa inaitwa chini ya mti ipo bado.

Chali'angu huku haina kwerrre ila mabadiliko ni mengi ikiwapo ile bar, siku hizi inaitwa Arusha Ciy Garden Bar
 
kwanin nisinenepe kwa kuwa memba ya jf? da raha sn we endelea2 kumwaga choz hata ukimwaga kimba sawa2 mana ndo raha zenyewe hizo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…