Karibu anytime we'll talk ni kweli tumekulia makuzi na malezi tofauti ila mzazi ni mzazi hata akiwa mchawi ni wako kukanwa na mtu wa damu yako inauma sana asikwambie mtu mie sijawahi kanwa wala sijawhi kana mtu ila huwa napata huzuni na kuhisi au ku-feel ule uchungu anaoupata mtu anayekuwa rejected aidha na mzazi au mtoto hasa pale anapohitaji msaada kutoka kwa anayem-reject.
Nimekuelewa hali unayopata na hasira inayokujia kila unapo-reclall maisha uliyopitia hutaki hata kusikia baba nyamayao ila let it pass and do not let feelings control you, you can control your feeling if you want. Jioni njema mwaya
Sasa, nabaki najiuliza, je, hakujua kama ana mtoto Namibia? Kama alijua, kwa nini hakuwahi mtafuta hata kidogo? Na kama mtoto asingemtafuta basi ndio ingekuwa imetoka? Na je asingeshinda hiyo pesa, angehangaika kumtafuta?
Mambo ya wazazi ni magumu sana. Unapotaka kuchukua maamuzi ya kuona upande mmoja either wa baba au mama ni mmbaya inabidi uwe makini sana. Kujua chanzo cha kutengana wazazi wenu (kama walikuwa wanaishi pamoja) ni sehemu muhimu ya kuweza busara kutumika. Bahati mbaya ni vigumu kama watoto kujua ukweli wa matatizo ya wazazi wenu. Kuna mfano halisi, wa familia moja walimchukia baba yao baada ya kutengana na Mama yao lakini kati ya yule motto kinara wa chuki kumbe alikuwa mtoto wa nje mama alipigwa mimba kwenye usaliti na ikawa chanzo cha kutengana. Siku kadhaa kabla yule mzee hajafa aliwaita na kuwaambia chanzo cha kutengana na mama yao na hakumdhuru mtoto kwasababu hakuwa na hatia. MAMBO MENGINE MWACHIEEEE BABAAAA...NA...MAMAAAAtukiachilia mafanikio ya huyo dada, mie pia nipo kwenye situation kama hiyo, kwamba kwasasa "baba" ndio anataka kututambua, tena anakuomba kabisa umpelekee na wajukuu wakamfahamu babu yao, hakututunza kwa lolote lile, bado tunajiuliza "kakumbuka nini kwetu na tumeshazeeka kwasasa" kwamba hakuona dhamani ya kutulea bali anaona dhamani kwamba ana watoto na wanajiweza kidogo kubadili mboga ndio anaona ndio muda wake muafaka wa kututafuta? alikuwa wapi siku zote? sijui bwana kama mie naweza samahe.
ishu sio kulia sweet, siwezi kumlilia kabisa, nilishalia wakati mama anapambana na ada zetu, madeni kila kona nyumba unaiona chungu ukienda likizo, yaani nimlilie yeye? khaa., hajawahi hata kunishtua mshipa kiroho safi tu! ishu yangu ni usumbufu wake kwetu kwasasa, kwanini sasa hivi?
mi pia ningemsamehe ila hatokula hata sh tano yangu. lol
Wana sema s....ts happens, Inaumiza kweli. Nakushauri msamehe, sio rahisi ila nikamchakato..... Jifunze tu utafanikiwa, chukka huo ujumbe wa Dillish makosa yametokea tayari, forget da past, cry and move on. Ukifanikiwa utofauti fulani utajitokeza maishani kwako.tukiachilia mafanikio ya huyo dada, mie pia nipo kwenye situation kama hiyo, kwamba kwasasa "baba" ndio anataka kututambua, tena anakuomba kabisa umpelekee na wajukuu wakamfahamu babu yao, hakututunza kwa lolote lile, bado tunajiuliza "kakumbuka nini kwetu na tumeshazeeka kwasasa" kwamba hakuona dhamani ya kutulea bali anaona dhamani kwamba ana watoto na wanajiweza kidogo kubadili mboga ndio anaona ndio muda wake muafaka wa kututafuta? alikuwa wapi siku zote? sijui bwana kama mie naweza samahe.
tukiachilia mafanikio ya huyo dada, mie pia nipo kwenye situation kama hiyo, kwamba kwasasa "baba" ndio anataka kututambua, tena anakuomba kabisa umpelekee na wajukuu wakamfahamu babu yao, hakututunza kwa lolote lile, bado tunajiuliza "kakumbuka nini kwetu na tumeshazeeka kwasasa" kwamba hakuona dhamani ya kutulea bali anaona dhamani kwamba ana watoto na wanajiweza kidogo kubadili mboga ndio anaona ndio muda wake muafaka wa kututafuta? alikuwa wapi siku zote? sijui bwana kama mie naweza samahe.
Konnie umeuliza maswali mengi ambayo pengine sisi tusiwe na majibu mujarabu.
Ila inavyoonekana baba wa mtoto alikuwa na taarifa ya mwanaye na pengine hata maendeleo yake.
Kusema kuwa kajitokeza kwa sababu tu ya pesa, mmh sidhani.
Kilichowekwa wazi ni kuwa baba kajitokeza baada ya Dillish na familia yake kuonesha wanamuhitaji.
Najua hayo maswali kila mtu anaweza jiuliza, ila kwa sisi mashuhuda ni ngumu kujua ukweli zaidi ya kufanya speculations tuHilo tangazo la hamjui babake alilitoa wakati anaingia big brother, sio? Saaa miezi 3 yote alisubiri nini asimsake ex lover wake na kuanza kumuangalia mwanae kwenye tv? Akamstudy kila kitu na ikabaki kummeet? Kwa nini kasubiri hadi mwisho?
kinachouma zaidi nikikumbuka tulivyosoma kwa shida, mama alivyohangaika, halafu tulikuwa tunaambiwa baba yenu ana cheo fulani mahali fulani, kwamba alikuwa ana uwezo wa kutosha kabisa kutulea, hakufanya hivyo, yaani mie leo naanzaje kusamehe/kusahau? kiukweli nitakuwa mnafiki, bado nina bonge la kinyongo nae na hilo analijua ni bora tubakie tu hivi hivi kwa sasa kuliko nijiumize kwa "kusamehe kinafiki" kumbe naugulia ndani kwa ndani, hiki kitu anatakiwa akijutie/ajilaumu mpaka siku atakapotwaliwa.
mhh jamani, mie sijasema kikubwa ni ishu ya pesa bali kwanini sasa ndio atake kututambua? kwanini sasa, kwanini haikuwa kipindi kile mama akimtafuta akimwambia watoto wako wamerudishwa fees akamsikiliza? kwanini wale aliowasomesha hawamsikilizi wote wamemuacha, kwanini sisi kwa kipindi hiki, mie sijui hata kama naeleweka jamani, sijui kabisaaa.
Hilo tangazo la hamjui babake alilitoa wakati anaingia big brother, sio? Saaa miezi 3 yote alisubiri nini asimsake ex lover wake na kuanza kumuangalia mwanae kwenye tv? Akamstudy kila kitu na ikabaki kummeet? Kwa nini kasubiri hadi mwisho?
Nimekumbuka story ya steve jobs na biological parents wake. Huyu baba bora akutane na interrogation ya kuingia mbinguni kuliko akutane na yangu aisee.