Going to Next Level, Nakuja Tanzania November 2017

Going to Next Level, Nakuja Tanzania November 2017

Njoo tu, na nauli utarudishiwa😀😛😀

Sina haja Na pesa ya Mtu, Acha Niruke Niende Florida kwa masaa mawili matatu! Kabla ya Tufani haijaharibu.
IMG_20170906_124237.jpg
 
Mkuu usijaribu kuja Bongo watakugawana kama mpira wa kona.
Am a Living Ark of covenant. Sio Mara yangu ya Kwanza Kupitia Magumu! Mimi sifi Mpaka Mungu amalize na Mimi, Na baaaaaado nina mishe mishe na Mzee wa Siku! Unadhani Mungu ameishiwa Kazi na Watu aina ya Elijah the Tishbit? We shall see!
 
Nimetishiwa na Watu hapa ati Kama mimi ni Mwanaume Nije Tanzania nitakiona, ati Nitatekwa, Nitashikwa, Nitafungwa. Tutaona!

Sana sana Wanaweza Kuninyima Viza. Nageuza zangu Naenda Nairobi au Lilongwe, siwezi Mimi Kutishiwa Kisiasa Kuja Africa. Nitaaga hapa Vizuri.

Na some of my Friends who are "Fools" will be following up on me daily!
Nenda baba, nenda.

Wakikugusa tunakuja wote tuone watasumbua wangapi.

Ile video kuna maneno watu wengi sana tulitaka kusema umetusemea.

Naona watawala wanajikanyaga sasa, wanasema hawakujua kuhusu habari za nyumba kuvunjwa kinyume na amri ya mahakama.

Kichekesho kikubwa. Eti tulio Ulaya na Marekani tunajua kinachotokea Kimara halafu watawala walio Magogoni wasijue?

Nenda, umeamsha wengi sana kuona kwamba kuna watu wana uthubutu wa kusema wazi.Kuna wengi sana umewasemea ambao hawana ujasiri au uwezo wa kusema.
 
Kila siku unapiga kelele kuhusu wanasiasa kupindisha utaratibu wakati wewe mwenyewe unafunga wires na electrical equipments bila kujali/kutumia electrical safety gloves...nimekudharau sana kuanzia leo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acording to OSHA PPE in this case "Hot gloves" are Needed when working on live equipment, and on Mediam Voltage ie 7200 Voltd, 4160 Volts 2300 Volts all the way to anything over 600 Volts. I was working on 480/277 Volts. Mimi nimefanya Kazi ya Umeme Miaka 17 kwenye Viwanda Vikubwa, Airports, Mitambo ya Kusukuma na Kuosha Maji. Viwanda vya Kufua Vyuma, Assembly za Magari you name it! Sihitaji Kima wa Kunifundisha Kazi! Saa Nyingine huna haja ya Kurukia usiyoyajua!
 

Attachments

Yule msanii walimteka kwa noha sasa wewe sijui watatumua hummer au Jeep
 
TL. Marandu karibu sana nyumbani. Ushauri:

Consult a lawyer in TZ and/or USA if you are in any legal jeopardy based on your past video and text utterances. You may want to retain one.

Or

Prepare yourself psychologically to be a guest of the state for quite sometime. It may not happen.

Good luck and God speed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TL. Marandu karibu sana nyumbani. Ushauri:

Consult a lawyer in TZ and/or USA if you are in any legal jeopardy based on your past video and text utterances.

Or

Prepare yourself psychologically to be a guest of the state for quite sometime. It may not happen.

Good luck and God speed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Done that, Thank you! I know wanaweza Kunikamata Hicho hasa Ndicho Nachotaka! Halafu Naleta Some Fools watakauweka Uozo na Hila chafu za Udictator wa Tanzani mbele ya Macho ya Dunia Nzima!
 
Nimetishiwa na Watu hapa ati Kama mimi ni Mwanaume Nije Tanzania nitakiona, ati Nitatekwa, Nitashikwa, Nitafungwa. Tutaona!

Sana sana Wanaweza Kuninyima Viza. Nageuza zangu Naenda Nairobi au Lilongwe, siwezi Mimi Kutishiwa Kisiasa Kuja Africa. Nitaaga hapa Vizuri.

Na some of my Friends who are "Fools" will be following up on me daily!
Eeh! Eeeee!
 
Watu waliofukuzwa nchi huwa hawaruhusiwi kurudi ukirudi mahala pako pa kwanzakufikia itakuwa keko, ukonga au segerea
 
Yani cha ajabu, vijitu vifukala kupindukia, wengine hawajawahi kuvuka hata mkoa mmoja, ndio inayoshangilia kushushwa ki uchumi kwa wengine. Hakika ufukara ni mzigo mzito kuliko hata ule wa kumpa mnyamwezi
 
Naona unaogopa, kivuli chako mwenyewe.

Any way , your phobia won't serve you from urine test.
 
Acha kuogopa wewe njoo bongo hakuna mtu wa kukufanya kitu.
 
Kipi Mlikipata Baada ya Kumwita Lowassa Kajinyea, mfu mtarajiwa, au Sumaye Kichwani ana Uji? Au Watoto wangu wa UDOM 7900 kuwa ni Vilazza. Unafiki Unanuka Tanzania Guy!
Mkuu wa nchi ulisikia katamka maneno hayo au wanasiasa majukwaani?
Kwa sasa hakuna raha ya maisha unaishi kwa wasiwasi mkuu hayo yote ya nini?
Ukitaka kuja kuona ndugu zako hapa tz unakuja kwa kujificha hayo yote uliyataka wewe mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom