Going to Next Level, Nakuja Tanzania November 2017

Going to Next Level, Nakuja Tanzania November 2017

Acha kuogopa wewe njoo bongo hakuna mtu wa kukufanya kitu.
Umeona Nikisema Naogopa! Mimi Huyu Niogope?
IMG_0220.JPG
 
Njoo mkuu ila bongo sio kuzuri

Ndugu yetu Tundu lissu kapigwa bomba mwilin km wanawinda mnyama

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Kila siku unapiga kelele kuhusu wanasiasa kupindisha utaratibu wakati wewe mwenyewe unafunga wires na electrical equipments bila kujali/kutumia electrical safety gloves...nimekudharau sana kuanzia leo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama una haki ya kumdharau maana mpaka aajiliwe katika mambo kama hayo USA, siyo mtu wa kubabaisha! Ana uhakika na anachokifanya. kama angelikuwa anaosha vyombo hotelini, then nitakubaliana na wewe
 
Nimetishiwa na Watu hapa ati Kama mimi ni Mwanaume Nije Tanzania nitakiona, ati Nitatekwa, Nitashikwa, Nitafungwa. Tutaona!

Sana sana Wanaweza Kuninyima Viza. Nageuza zangu Naenda Nairobi au Lilongwe, siwezi Mimi Kutishiwa Kisiasa Kuja Africa. Nitaaga hapa Vizuri.

Na some of my Friends who are "Fools" will be following up on me daily!
Ndugu hakuna wa kukutisha watu wanakwambia hila moyo wako ndio unaingia uonga ndio maana unasema ni vitisho baada ya ww kuogopa uwezi kuita vitisho wakati moyo na nafsi yako aijaingia uoga watu wenye akili siku zote wanaheshimu walipotoka na Asili zao ww si Mtanganyika wa kwanza kuwa na Passport ya US wengi walishapita kabla ya ww na wana zaidi ya passport lakini wanaheshimu walipotoka kingine nataka kukwambia kuwa ulionyesha passport ya US lakini mm ninavyojua kuwa Passport ya US si Bulletproof au Secret service Passport ni hati ya kusafiria tu lakini kusema sijui Paasport yako ndo hiwe Diplomatic access ya ww kuja kuvunja sheria kisa ww ni Mmarekani ndugu utakwenda jela na wala US hawatoshugulika na ww hata kidogo je unajua ni Wamarekani wangapi wapo jela ktk nchi mbalimbali duniani ww uko US lakini nina wasiwasi ujui kwa mujibu wa US Bureau of Justice Statistics (BJS) mpaka kufikia mwezi wa pili mwaka jana zaidi ya raia 15,000 wa US wako jela mbalimbali duniani kwa makosa mbalimbali pia unatakiwa kujua US Department of Justice kupitia kitengo cha BCA huwa kuna vitu hawatoi kwa Raia wa US waliofanya makosa nje ya US
1 Get U.S. citizens out of jail
2 State to a court that anyone is guilty or innocent
3 Provide legal advice or represent U.S. citizens in court
4 Serve as official interpreters or translators
5 Pay legal, medical, or other fees
So kaa ukijua Passport yako ya US vtu hvyo aitokusaidia kingine unatakiwa kujua US ndio nchi ya kwanza kuongoza kwa mauaji ndani ya US na Marekani hakuna kesi zinazochukua muda mrefu kuwa solved kama kesi za mauaji kuanzia mauaji ya Mitaani au homicide rate ya mauaji kwa mwaka ni 16.3% ya vifo vyote vinavyotokea US ni vya mauaji hasa ya silaha za moto yani bunduki

Kuanzia mwaka 1968-2011 kumefanyika mauaji zaidi ya 1.4 milion kesi ambazo zimekuwa solved yani wauaji kupatikana na hukumu kutolewa ni chini ya kesi 1.2 milion so bado kesi zaid ya laki mbili bado si solved hiyo ni mwaka 1968-2011 kumbuka ktk nchi zenye vurugu na mauaji ya silaha SA na USA zinaongoza

Mwaka 2010 68% of all homicides in the US were committed by firearms

Njia wanazotumia US kujua au kusolve kesi nying za mauaji ni
1DNA
2 CCTV cameras
3 Finger print
4Ushahidi wa Mazingira
5Ushahidi wa mawasilino

Lakini kesi nyingi za mauaji zinategemea sana laboratory kusolve kuanzia DNA mpaka Finger print ambapo FBI wana
system ya Combined DNA Index System ( CODIS ) ambayo raia wote wa US DNA zao zinakuwapo so wanakuwa wanafanya matching na DNA ya kwenye Crime scene pia bado aitoshi kumfungulia mtu kesi kwani mtu anaweza kuua na kupadikiza DNA ya mtu mwingine kwenye Crime scene yapo mengi sana ya kukueleza juu ya mauaji kwani investigation inakuchua muda na kumpa room akiyefanya kama si raia kuondoka ndani ya US

Kesi nyingi sana za homicides wauaji wamekimbia nje ya US sema uchunguzi ukikamilika na wakagundua akiyefanya amekimbia utaratibu wa kumpata unafanyika na nchi nying kwa kuogopa US wanawapelekaga US wakajibu mashitaka ya mauaji ndani ya US sasa kwa mfano huo nimekupa kuwa US si safe place sana ndugu passport tu ya US aitoshi kukufanya utukane matusi viongozi wa nchi nyingine kisa ww uko US kama nilivyokwambia wapo wengine wanayozaidi ya Passport ya US lakini wanaheshimu serikali za nchi ya Asili yao
 
"Here I am at Walmart"




Mind your own business! Acha Kujipendekeza, dont waste your time on a guy in "a studio Apt." Can you tell who is goin to Assassinate me? Is it you? Mind you I snapshot every threat!

Must be the bi.tch and the gay in you that makes you think nina shobo na wewe. Who are you trying to impress posting random vids in your overalls doing blue-collar factory work? You're nothing but a big-headed cunt and a fool!!
 
Mkuu wewe ni mtu mzima sana tumia elimu yako kupambanua mambo kipi umekipata baada ya kumtusi mkuu wa nchi?
amemtusi. nadhani ameelezea hisia zake, na sababu kwa nini anasema hivyo etc. Ishu siyo kupata. Anajaribu kutauta ukweli, siyo kuwa ni hakika hapana... suspect......
 
TL karibu home mkuu achana na Vishoia.

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom