Gogle nataka watoto mapacha

Gogle nataka watoto mapacha

Ukitumia IVF-In Vitro Fertilisation pia kuna uwezekano mkubwa wa kupata watoto mapacha au wengi mfano watano au sita kwa mpigo kama NADIYA SULEMAN kama ushawahi kumsikia...
View attachment 144158

Hiyo IVN-In Vitro ndio style gani, hebu nifahamishe japo kwa pm tafadhali


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Nadhani itakuwa ni ile ya wheelbarrow Kama alivyosema mdau mmoja hapo juu


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Umetafuniwa unataka umezewe pia....Kweli akili ni nywele!!!
 
Kwanza kapime...maana unaweza kuwa na gobole lakini ukakosa risasi hivyo ikawa kazi bure. Baada ya kujihakikishia kuwa ni kidume cha mbegu, tafuta mke uoe. Na kupata watoto na wa aina na jinsi gani ni majaliwa ya Mungu wako!
 
WEWE SI UNATAFUTWA NA Dinazole au sio wewe best?
Salamaleko

Ni yule yule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani,

Wadau nimechoshwa na upweke nataka nimpe mimba mwanamke anizalie watoto mapacha, naomba mwenye kujua jinsi ya kumpa mimba mwanamke ili azae mapacha anifahamishe.

Naomba kuwakilisha.


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom