Gogle nataka watoto mapacha

Gogle nataka watoto mapacha

Gogle si kila mtu anambegu za mapacha!
...
Cha kukusaidia, mimi binafsi ni pacha, so nnazo mbegu pacha, chakufanya uniletee mamaa nikuekee mbegu za mapacha humo then utaendelea nae mwenyewe!

Sasa hapo mapacha watakuwa wako au wangu?

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
ni ile ya kusukuma wheelbarow ya zege,na ukimkuja kama kuna watu wanapiga chabo wanaweza fikiri huyo mwanamke ni mlemavu kumbe ni huo mkunjo.mimi ninao mapacha.ila asipokua mvumilivu lazima anye.

Duh! Hapo kuna uwezekano wa kuchezea kinyesi.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Salamaleko

Ni yule yule kijana wa miaka 25 niliyetahiriwa ukubwani,

Wadau nimechoshwa na upweke nataka nimpe mimba mwanamke anizalie watoto mapacha, naomba mwenye kujua jinsi ya kumpa mimba mwanamke ili azae mapacha anifahamishe.

Naomba kuwakilisha.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

weka picha tukusaidie!
 
piga mara mbili tu... wasipokuja utakua umepata option moja ya kufail, utajaribu nyingine
 
Tufanye mchakato basi tuwapate

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Mmmh! nimejaribu mpaka basi kila nikitotoa Wakiume mpaka nimesema sasa basi ndoto yangu wakike tena Pacha,
sasa sijui chakufanya nimemuachia mungu,na dadangu yeye wakike watupu,na kama unavyojua wakiume wananyonya kupita maelezo....
 
Aiseee hapo kwenye kunyonywaa sipendii watoto wanatekenyaa hao halaf wana makusudii bora baba zao wanavyonyonyaa,sipendi kunyonywa na mtoto basi tu
 
Aiseee hapo kwenye kunyonywaa sipendii watoto wanatekenyaa hao halaf wana makusudii bora baba zao wanavyonyonyaa,sipendi kunyonywa na mtoto basi tu

Wacha wee

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Aiseee hapo kwenye kunyonywaa sipendii watoto wanatekenyaa hao halaf wana makusudii bora baba zao wanavyonyonyaa,sipendi kunyonywa na mtoto basi tu
Umeona eeh! hawana subra sasa uwe umesafiri sikuzote chupa ananyonya sikuiyo atakuchagiza chupa haitaki,ukuangalia umekaa na mijidume ukilitoa ziwa mtoto akinza kunyonya ile sauti yake na kiu alichonacho lazima watu wacheke....
 
Gogle karibu!vp wafanyakazi wako wazima wote?
 
Last edited by a moderator:
Hongera kwa kupata mapacha, .... Mimi niliona kipindi kwenye TV wanazungumzia jinsi ya kupata mapacha, ila walikuwa wanaongea kwa kiinglish, mie hii lugha ya kigeni siielewi vizuri lakini nilidhani kuna style ya kugegeda ambayo inaleta mapacha.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app

asante..hahaha ingekua hivyo basi kila mwanamke angezaa pacha round mbili unafunga kazi..kulea mimba kazi kama nini..
 
Tangia umetahiriwa ukubwani imekuwa nongwa maana twaambiwa saa zote :A S confused:...Unataka watoto mapacha tafuta mwanamke aliyekuwa na gene za mapacha yaani aidha yeye ni pacha au kuna mapacha kwenye familia yake sawa Gogle uliyetahiriwa ukubwani!!
 
Sawa dada, hakuna njia nyengine?

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Last edited by a moderator:
Sawa dada, hakuna njia nyengine?

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
Ukitumia IVF-In Vitro Fertilisation pia kuna uwezekano mkubwa wa kupata watoto mapacha au wengi mfano watano au sita kwa mpigo kama NADIYA SULEMAN kama ushawahi kumsikia...
nadya-suleman-octuplet-mum-pic-dm-622353465-203745.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom