We sema unataka mwanamke wa kuoa weka vigezo vyako kwa heshima sio "single mother" sio rahisi kuaminika maana neno hili siku linatumika km simango kwa dada zetuNina miaka 30 sitaki vibint maana mimi mzee nataka singo matha wa watoto wawil alafu niongeze wawil wa kwang wote watakuwawakwangu. nataka atakaye ridh mal yangu sitak kufa bila mtoto.maana naona umr umeenda.
Kwanini usikae na huyo uliezaa nae kama wanaelewa maisha?ninachopendea Masingo matha wanaelewa maisha
Miaka 30 bado mdogo sana kuoa,huja mature phase II...(Kumature kuko na phase pia!Kataa ndoa simo nanyi tena nataka niheshimike sasa kama baba