Godwin Mwaipongo mpinzani wa Tundu Lissu TLS, alishawahi kugombea kupitia CCM

Marehemu babu yangu Eng.Dr Peter Komba alikua wizara ya ujenzi miaka hiyo kabla ya kukumbwa na kashfa ya rushwa yeye na wenzake akina Kiula.
Nilimsikia akimwambia msure maneno haya...
“Huyu kijana Magufuli hafai kabisa simpendi, anajifanya mjuaji kwenye mambo ambayo yanahitaji utaalam anachokitaka yeye ndicho anataka kiwe hata kama kitalaam siyo sahihi” babu aliendelea kusema “ni mnyanyasaji,mtu wa visasi na mwenye kiburi sana, hapo alipo ni Junior tu imagine akiwa senior!?!?”
“huyu kijana akija kupewa mamlaka makubwa, atalewa sifa na kuharibu kazi za watu”

Ilikua mwaka 2002 one year later he passed away.
13 years later jamaa akashinda uchaguzi fair au kimagumashi it doesn't matter... Lakini a year and few months later baada ya kua raisi maneno ya babu yamepata uhai.
Aliyokua akimwambia msure ndio yanayo tokea sasa.
Babu huko aliko atakua anajisemea “nilimwambia kijana , angalia kinachotokea”.

Hakuna aliyeelewa hata mamsap alipolisemea hilo pia.Ngoja tujifunze kwenye mazingira magumu
 
Kwani Rais aliposema kua wanasiasa wanataka Uongozi Kwani akili yenu mnazani alimlenga Lisu, kwanini msizani alimlenga huyu wa CCM.. Ni ujinga wenu kuzani kila jambo linawahusu nyinyi, kila vita ambayo Rais anapambana nayo mnasingizia inahusu Chadema ni ujinga sana

Rais alipoingia madarakani, alianza kutumbua, chadema wakatoka barazani kua anatumbua watu waliounga mkono Chadema au watu wa kaskazini

Alipokataza maandamano, mkasema nayo wamelengwa Chadema

Walipoanza kushughulikia watu wa madawa, mmesema inalengwa Chadema kisa katajwa Mbowe, wakati Manji, azani, na Kina Wema ni CCM, ujinga..

Wamekataza viroba tena mnasema wanalengwa Chadema

BAHALULI NYINYI
wewe utakuwa miongoni mwa ule utafiti wa 1:4
 
wameumbuka! wanajidai TLS itageuka kuwa chama cha siasa kweli nyani haoni kundule! wanapenda waendelee tu na uvunjaji wao wa sheria za nchi!
 
Atuombe tu radhi sisi wanyonge kwa kusababisha bei ya Sukari kupanda kwasababau za tabia za kikurupukaji, unataka kushusha bei ya Sukari kwa nguvu za Dola kwani bei ya Sukari ni Godibules Lema?

Bei ya SUKARI ni TL
 
Kwani Rais aliposema kua wanasiasa wanataka Uongozi Kwani akili yenu mnazani alimlenga Lisu, kwanini msizani alimlenga huyu wa CCM.. Ni ujinga wenu kuzani kila jambo linawahusu nyinyi, kila vita ambayo Rais anapambana nayo mnasingizia inahusu Chadema ni ujinga sana

Rais alipoingia madarakani, alianza kutumbua, chadema wakatoka barazani kua anatumbua watu waliounga mkono Chadema au watu wa kaskazini

Alipokataza maandamano, mkasema nayo wamelengwa Chadema

Walipoanza kushughulikia watu wa madawa, mmesema inalengwa Chadema kisa katajwa Mbowe, wakati Manji, azani, na Kina Wema ni CCM, ujinga..

Wamekataza viroba tena mnasema wanalengwa Chadema

BAHALULI NYINYI
Angekua ni kiongozi kama mandela ...nyerere au kiongozi wa ulaya au USA ndio angemaanisha ulichosema!! Ila sio kwa huyu chair wa sisiemu!! Hapo unadanganya mkuu!!
 
Uchaguzi wa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS umevutia hisia za wengi ikiwemo Waziri wa Sheria na Katiba Harrisson Mwakyembe kutoa tishio la kuifuta TLS na hii hapa ni Kauli ya Mh. Rais kuhusu habari za uchaguzi wa Tanzania Law Society

source: Khelef Nassor

Cc Adharusi
 
Angekua ni kiongozi kama mandela ...nyerere au kiongozi wa ulaya au USA ndio angemaanisha ulichosema!! Ila sio kwa huyu chair wa sisiemu!! Hapo unadanganya mkuu!!
Mkuu, mwandiko wa huyu penguin umeuelewa? Penguin ni ndege fulani wa baharini anatembea wima...
 
Mi napendekeza uchaguzi uharakishwe kabla ya march ili mtoto wa Antipas achaguliwe fasta na uwe mwisho wa hizi figisufigisu....
 
Kumbe kuwa mwanachama au mfuasi wa chama cha upinzani, kwenye 'nchi barani Africa' , ni matusi, kejeli na shutuma kwa viongozi wa Serikali iliyoko madarakani!

Naamini mtu mstaarabu anajibu hoja kwa hoja na kitendo kwa kitendo, kuashiria na kuthibitisha ukamilifu na ubora wake.

Humu jamvini ni matusi, lawama, vilio, dua mbaya tu. Ila ukweli yanaishia humu humu maana hakuna mwenye ubavu wa kujitokeza hadharani.

TUENDELEE KUSHUSHA MIKANDAMIZO YETU NYUMA 'KEYBOARDS' ZETU
 
Back
Top Bottom