Godwin Mwaipongo mpinzani wa Tundu Lissu TLS, alishawahi kugombea kupitia CCM

Ni vyote viwili, kama ulivyoona. Una swali jingine?
Inavyoelekea mleta mada pamoja na ukawa wenzake kiswahili kinawapiga chenga sana! Mtu ukishasema kuwa " alishawahi" inamaana hiyo ni past! Hatujui kuhusu sasa! Huyo jamaa, status yake ni past! Tofauti na lisu ambaye ni mbunge wa Bunge LA jmt na mwansheri mkuu Chadema! Tofauti ipo kubwa sana!

Haya wewe na ukawa wenzake tuambieni huyo mliyemtaja nafasi yake ccm kwa sasa ni ipi ukiachana na hiyo kwamba alishawahi kuwa mgombea na akashindwa?
 
Aibuu kumbe ndio maana wanaweweseka, wanataka wampachike mtu wao,wanamuogopa lisu hahahaha
 
Inavyoelekea mleta mada pamoja na ukawa wenzake kiswahili kinawapiga chenga sana! Mtu ukishasema kuwa " alishawahi" inamaana hiyo ni past! Hatujui kuhusu sasa! Huyo jamaa, status yake ni past! Tofauti na lisu ambaye ni mbunge wa Bunge LA jmt na mwansheri mkuu Chadema! Tofauti ipo kubwa sana!

Haya wewe na ukawa wenzake tuambieni huyo mliyemtaja nafasi yake ccm kwa sasa ni ipi ukiachana na hiyo kwamba alishawahi kuwa mgombea na akashindwa?
Mkuu Stroke huwezi kucheua hii.

Ni hivi hoja dhaifu ya kuwa Lissu ni mwanasiasa na eti akiingia TLS atapeleka siasa inajibiwa kuwa hata huyo "candidate wa CCM" ni mwanasiasa. Hivyo basi hiyo hoja/sababu dhidi ya Lissu zinakufa natural death.
 
Rais wangu kipenzi Magufuli na Waziri Mwakyembe, mnamfahamu mgombea huyu katika picha wa Chama cha Wanasheria ambaye nyinyi mnapigia kampeni kwa kumpinga Tundu Lissu?

Mnasema Lissu ni Mwanasiasa na kwamba akigombea ataingiza siasa ndani ya TLS, na huyu GODWIN MWAIPONGO je?
93d49fea682a0a3384464c721bc8b427.jpg
 
Inavyoelekea mleta mada pamoja na ukawa wenzake kiswahili kinawapiga chenga sana! Mtu ukishasema kuwa " alishawahi" inamaana hiyo ni past! Hatujui kuhusu sasa! Huyo jamaa, status yake ni past! Tofauti na lisu ambaye ni mbunge wa Bunge LA jmt na mwansheri mkuu Chadema! Tofauti ipo kubwa sana!

Haya wewe na ukawa wenzake tuambieni huyo mliyemtaja nafasi yake ccm kwa sasa ni ipi ukiachana na hiyo kwamba alishawahi kuwa mgombea na akashindwa?
Kwahyo ameshatupa kadi yake ya CCM??
Hvi unafkiri mtu mpaka kufkia level ya kugombea urais unafkiri ni kada wa kawaida tu???? Hta kma hayupo kwenye active post ila lazma ni consultant au anayechangia masuala mbali mbali ndani ya ccm sasa kma ni active ccm member and so is lissu wa chadema huoni kuna double standard????
 
hahahhaaaa hiyo defensive mechanism, lazima umpe mshikemshike mpinzani wako hadi aokote makopo....
 
Rais wa Tanzania wewe ndg Magufuli na Waziri wako mbunge Harrison Mwakyembe, mnamfahamu mgombea huyu katika picha wa Chama cha Wanasheria ambaye nyinyi mnapigia kampeni kwa kumpinga Tundu Lissu aliwahi tia nia kupitia CCM???

Rais Magufuli unachoogopa ninini TLS ikija ongozwa na Lissu?? Tundu Lissu ni mwanasheria hofu yenu inakuja wapi?? Mnachokiona kibaya ninini???

Naomba niwakumbushe machache tuu pale mnaposema Lissu ni Mwanasiasa na kwamba akigombea ataingiza siasa ndani ya TLS, na huyu GODWIN MWAIPONGO je? Mbona aligombea kupitia CCM je ndio misingi mliyoweka??

Na Lissu mnaona ni dhambi gani akigombea?? Niende kwa Dr Mwakyembe wewe mzee Kyela unaitwa Nkurunzinza kwa tabia zako aisee. Umeacha kuhudumia vitu vya msingi jimboni kwako ambako kuna mahitaji mengi unatetea vitu ambavyo unajua sheria inaruhusu kama, mikutano ya kisiasa iliyozuiliwa na Joni wa chato, umeenda issue ya madawa, unaweweseka tuu mzee wetu sijui ile sumu waliyokupa imekupoteza akili yako kabisa nashindwa kuelewa,

Kyela ina matatizo ya maji ni tabu lkn huku unabwabwaja tuu mzee, Kyela barabara maeneo mengi changamoto bado hujatekeleza. Mwakyembe simamiasheria na sio kumuogopa Joni wa Chato.

75a3ff60c9f9704cffc55d573dac127b.jpg

Duh kazi ipo......wanasheria hapo ndio tutaona locus stand zenu..kama mtakubali kuchaguliwa Rais wa TLS na magu au mtamchagua kwa weledi wenu bila shuruti ya magamba
 
Rais wa Tanzania wewe ndg Magufuli na Waziri wako mbunge Harrison Mwakyembe, mnamfahamu mgombea huyu katika picha wa Chama cha Wanasheria ambaye nyinyi mnapigia kampeni kwa kumpinga Tundu Lissu aliwahi tia nia kupitia CCM???

Rais Magufuli unachoogopa ninini TLS ikija ongozwa na Lissu?? Tundu Lissu ni mwanasheria hofu yenu inakuja wapi?? Mnachokiona kibaya ninini???

Naomba niwakumbushe machache tuu pale mnaposema Lissu ni Mwanasiasa na kwamba akigombea ataingiza siasa ndani ya TLS, na huyu GODWIN MWAIPONGO je? Mbona aligombea kupitia CCM je ndio misingi mliyoweka??

Na Lissu mnaona ni dhambi gani akigombea?? Niende kwa Dr Mwakyembe wewe mzee Kyela unaitwa Nkurunzinza kwa tabia zako aisee. Umeacha kuhudumia vitu vya msingi jimboni kwako ambako kuna mahitaji mengi unatetea vitu ambavyo unajua sheria inaruhusu kama, mikutano ya kisiasa iliyozuiliwa na Joni wa chato, umeenda issue ya madawa, unaweweseka tuu mzee wetu sijui ile sumu waliyokupa imekupoteza akili yako kabisa nashindwa kuelewa,

Kyela ina matatizo ya maji ni tabu lkn huku unabwabwaja tuu mzee, Kyela barabara maeneo mengi changamoto bado hujatekeleza. Mwakyembe simamiasheria na sio kumuogopa Joni wa Chato.

75a3ff60c9f9704cffc55d573dac127b.jpg

Huyo Godwin Mwaipopo aligombea nafasi gani kupitia hiyo CCM ?
 
Kumbe kuwa mwanachama au mfuasi wa chama cha upinzani, kwenye 'nchi barani Africa' , ni matusi, kejeli na shutuma kwa viongozi wa Serikali iliyoko madarakani!

Naamini mtu mstaarabu anajibu hoja kwa hoja na kitendo kwa kitendo, kuashiria na kuthibitisha ukamilifu na ubora wake.

Humu jamvini ni matusi, lawama, vilio, dua mbaya tu. Ila ukweli yanaishia humu humu maana hakuna mwenye ubavu wa kujitokeza hadharani.

TUENDELEE KUSHUSHA MIKANDAMIZO YETU NYUMA 'KEYBOARDS' ZETU
wahusika ni member humu JF,ujumbe unawafikia barabara.
 
Wenye Kumbukumbu nzuri! Mnakumbuka Mwalimu Julius Nyerere alilazimishwa na Wakoloni achague kitu kimoja Kati ya Ualimu wake na Siasa?
Kwa hiyo hata hii tusiishangae maana hawajamaa wa Lumumba mwendo wa hauna tofauti ya Wakoloni maana vigi waliaachiwa na Mkoloni. Kwa hiyo hata Makabrasha ya Kikoloni pengine mengine kwenye Ofisi zingine ziko kwenye shelves!
 
Back
Top Bottom