Godwin Mwaipongo mpinzani wa Tundu Lissu TLS, alishawahi kugombea kupitia CCM

Rais wa Tanzania wewe ndg Magufuli na Waziri wako mbunge Harrison Mwakyembe, mnamfahamu mgombea huyu katika picha wa Chama cha Wanasheria ambaye nyinyi mnapigia kampeni kwa kumpinga Tundu Lissu aliwahi tia nia kupitia CCM???

Rais Magufuli unachoogopa ninini TLS ikija ongozwa na Lissu?? Tundu Lissu ni mwanasheria hofu yenu inakuja wapi?? Mnachokiona kibaya ninini???

Naomba niwakumbushe machache tuu pale mnaposema Lissu ni Mwanasiasa na kwamba akigombea ataingiza siasa ndani ya TLS, na huyu GODWIN MWAIPONGO je? Mbona aligombea kupitia CCM je ndio misingi mliyoweka??

Na Lissu mnaona ni dhambi gani akigombea?? Niende kwa Dr Mwakyembe wewe mzee Kyela unaitwa Nkurunzinza kwa tabia zako aisee. Umeacha kuhudumia vitu vya msingi jimboni kwako ambako kuna mahitaji mengi unatetea vitu ambavyo unajua sheria inaruhusu kama, mikutano ya kisiasa iliyozuiliwa na Joni wa chato, umeenda issue ya madawa, unaweweseka tuu mzee wetu sijui ile sumu waliyokupa imekupoteza akili yako kabisa nashindwa kuelewa,

Kyela ina matatizo ya maji ni tabu lkn huku unabwabwaja tuu mzee, Kyela barabara maeneo mengi changamoto bado hujatekeleza. Mwakyembe simamiasheria na sio kumuogopa Joni wa Chato.

75a3ff60c9f9704cffc55d573dac127b.jpg



Kimbembe!!
 
Kwani Rais aliposema kua wanasiasa wanataka Uongozi Kwani akili yenu mnazani alimlenga Lisu, kwanini msizani alimlenga huyu wa CCM.. Ni ujinga wenu kuzani kila jambo linawahusu nyinyi, kila vita ambayo Rais anapambana nayo mnasingizia inahusu Chadema ni ujinga sana

Rais alipoingia madarakani, alianza kutumbua, chadema wakatoka barazani kua anatumbua watu waliounga mkono Chadema au watu wa kaskazini

Alipokataza maandamano, mkasema nayo wamelengwa Chadema

Walipoanza kushughulikia watu wa madawa, mmesema inalengwa Chadema kisa katajwa Mbowe, wakati Manji, azani, na Kina Wema ni CCM, ujinga..

Wamekataza viroba tena mnasema wanalengwa Chadema

BAHALULI NYINYI
Umejikakamuaaa mwenyewe...daah.polee
 
Kwani Rais aliposema kua wanasiasa wanataka Uongozi Kwani akili yenu mnazani alimlenga Lisu, kwanini msizani alimlenga huyu wa CCM.. Ni ujinga wenu kuzani kila jambo linawahusu nyinyi, kila vita ambayo Rais anapambana nayo mnasingizia inahusu Chadema ni ujinga sana

Rais alipoingia madarakani, alianza kutumbua, chadema wakatoka barazani kua anatumbua watu waliounga mkono Chadema au watu wa kaskazini

Alipokataza maandamano, mkasema nayo wamelengwa Chadema

Walipoanza kushughulikia watu wa madawa, mmesema inalengwa Chadema kisa katajwa Mbowe, wakati Manji, azani, na Kina Wema ni CCM, ujinga..

Wamekataza viroba tena mnasema wanalengwa Chadema

BAHALULI NYINYI
we naona umebinywa mahali au una pilipili machon huon unachoandika.baba maneno yake yanatosha kujua maana no brek
 
Kamwe sitokuja kumkubali Magu kutokana na tabia zake za chuki na kutenda kinyume na kauli zake.
Mimi nadhani umefika wakati wa kufikiria na kuchuja sana sana kauli za huyu mtu asije akatuletea chuki mbaya katika jamii yetu tuliyo zoea kuishi kama kaka na dada bila kujali huyu CCM au CUF na hata bila kujali huyu ni Msukuma mwenzetu au ni Mchaga. Wahusika wa TLS waangalie taratibu zao zinasemaje kama wagombea waliopo wanaruhusiwa kugombea waachwe wagombee hata kama yeye hawapendi, kwasababu taasisi zote nchini haziwezi zikawa na watu anao wapenda yeye tu kwani yeye ni nani hasa? Mungu? TLS watuonyeshe kwamba ni chombo kilichojaa watu professionals kisichopelekwa pelekwa na mwangwi wa Siasa za chuki, Wasiruhusu uchaguzi usimamiwe na watu wasio eleweka eleweka yasije matokeo yakafanana na yale yanayopatikanaga katika chaguzi zetu hasa za visiwani.
 
Ha haaa haaaa kweli mtu unaweza kujificha ficha rangi yako halisi ila muda huwa haudanganyi!

Leo ndio nimeamini tena pasipo na shaka rais na mwakyembe wana chuki ya ajabu kwa kweli!

Waongo kupindukia Wananchi wakija kuelewa sio leo Mwakyembe huyo ndo kituko mnafiki alishawai kukana chapisho lake la serikali tatu bunge la katiba
 
Huyu jamaa nilimuona anachekesha pale alipokua furaisha mwanza anasema wapinzani walitoka nje wamefunga midomo awakutaka ajenge viwanda nilicheka baada akatoa mpya ya mwaka kwamba kuna watu wameficha pesa anaweza print pesa mda wowote waliozificha ziwaozee ndani tokea hapo nabakigi kucheka
 
Kamwe sitokuja kumkubali Magu kutokana na tabia zake za chuki na kutenda kinyume na kauli zake.
Mimi wala sisemi sana, maana kwa siasa hiz za chuki, kutosikiliza watu, mi nakaa kimya ila 2020 utakuwa mwaka ambao kugeuza matokeo itakuwa ngumu ngumu kupita maelezo!! Namuomba subhaanalah aniweke tu inshaalaa!!
 
Kama lawyer s HV...ufaham Wa kupembua..MTU kwa ajiri ya kulinda interest zao na wateja wao ambao ni wananchi...basi hapa Tundu..the best!! But if they are there for being Puppet by some else let them do otherwise!! Na hapo ntajua what's is education vs civilization!!!!
 
John rais wa wanyonge mbona huendani na kauli zako!!!? Unga wa sembe kilo sh 2000 na maharage kg sh 3000 lakini upo kimya?
 
Back
Top Bottom