Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,808
- 2,911
Rais wa Tanzania wewe ndg Magufuli na Waziri wako mbunge Harrison Mwakyembe, mnamfahamu mgombea huyu katika picha wa Chama cha Wanasheria ambaye nyinyi mnapigia kampeni kwa kumpinga Tundu Lissu aliwahi tia nia kupitia CCM???
Rais Magufuli unachoogopa ninini TLS ikija ongozwa na Lissu?? Tundu Lissu ni mwanasheria hofu yenu inakuja wapi?? Mnachokiona kibaya ninini???
Naomba niwakumbushe machache tuu pale mnaposema Lissu ni Mwanasiasa na kwamba akigombea ataingiza siasa ndani ya TLS, na huyu GODWIN MWAIPONGO je? Mbona aligombea kupitia CCM je ndio misingi mliyoweka??
Na Lissu mnaona ni dhambi gani akigombea?? Niende kwa Dr Mwakyembe wewe mzee Kyela unaitwa Nkurunzinza kwa tabia zako aisee. Umeacha kuhudumia vitu vya msingi jimboni kwako ambako kuna mahitaji mengi unatetea vitu ambavyo unajua sheria inaruhusu kama, mikutano ya kisiasa iliyozuiliwa na Joni wa chato, umeenda issue ya madawa, unaweweseka tuu mzee wetu sijui ile sumu waliyokupa imekupoteza akili yako kabisa nashindwa kuelewa,
Kyela ina matatizo ya maji ni tabu lkn huku unabwabwaja tuu mzee, Kyela barabara maeneo mengi changamoto bado hujatekeleza. Mwakyembe simamiasheria na sio kumuogopa Joni wa Chato.