Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Waabudu shetani hao wanatafuta pesa.
Kuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.
Godwin Godwe pia yumo.Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.
Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.
check hapa www.emanuel.tv
Mtu mwingine maarufu niliyemuona ni dada mmoja mtangazaji wa EATV simfahamu kwa jina.Inapendeza kuona bendera ya taifa lako ikionekana ktk tv inayofuatiliwa kuliko Channel yoyote ya Kikristo Duniani.
nasikia joshua anaponya ukimwi.kwa nini watangazaji wanakimbilia huko,ni swali tu
nasikia joshua anaponya ukimwi.
mbona kapuya ajaenda?
si anajua jamaa msanii tu.
mbona kapuya ajaenda?