Godwin Gondwe ndani ya SCOAN live!

Godwin Gondwe ndani ya SCOAN live!

Kuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.
Godwin Godwe pia yumo.Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.
Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.

check hapa www.emanuel.tv

Good move,yo yote anayemtegemea Mungu wetu hakika atapokea fungu lililo jema,
 
"I see a two storey house" T.B Joshua to Godwin Gondwe.
While shaking n trembling, "yes man of God, l have two houses" says Godwin Gondwe. Kabla hajaanguka wakati wa player line session.

prayer line,ahsante.
 
Good move,yo yote anayemtegemea Mungu wetu hakika atapokea fungu lililo jema,
Sasa Mungu mwenyewe huyo kama mpaka ufunge safari kumfuata Lagos sijui sie tusio na uwezo huo tutapokea fungu gani! Au ni Mungu wa wenye nazo tu?
 
attachment.php

prof: "sijui na mie niende?"
 
Sio hao tuu yupo pia mama mmmoja professor kutoka chuo kikuu cha DAR, Inapendeza watu wanavyotafuta uso wa Mungu.
 
Kuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.
Godwin Godwe pia yumo.Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.
Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.

check hapa www.emanuel.tv
Hivi ni Mimi tuu Naona hii post kama imetumwa tarehe 14/9/1972????
 
Simtetei TB Joshua wala babu wa loliondo lakini nachofaham Yesu alipokuja alifanya kazi yake ya ukombozi kwa muda mfupi tu tena mwishoni mwa miaka yake 30 na alipoondoka aliacha wengine bado wakiwa na mapepo, vipofu nk. Na mpaka leo ile jamii alipozaliwa(Uyahudi) bado wanampinga na hawamtambui.
Hivyo naomba tusihukumu na kudhihaki hawa wa2 kwani hatujui. Ni heri useme tu sijui coz biblia inasema tusiamini kila roho.
Hakuna atakayekudai.
 
Imani yako inavyokutuma. Kuna wanaoenda Uganda, wengine Israeli na wengine Vatican na wengine Nigeria kwa Wakristu.
Ni kama hapa Tanzania, kuna wanaoenda kwa Kakobe, wengine kwa Lusekelo, wengine Segerea wengine St. Joseph.
The point here ni pale unapoamini kuwa Utapata unachoomba. Period
kwani uso wa Mungu hauwezi onekana hapa tz mpaka ufuatwe nigeria?
 
mhh,eti inahitajika pia thread kulielezea hili. Kweli tumefilisika.
mkuu, yawezekana kabisa kwamba kwako wewe ni kitu cha kawaida, lakini kuna mtu somewhere across the globe hilo ni tukio muhimu sana kwake. ni vema huyo naye aheshimiwe ktk imani yake kama tunavyoheshimu hisia zako.
 
kwani nini kinachoendelea huko Logos au uongozi?
Nauliza tu
 
Kuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.
Godwin Godwe pia yumo.Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.
Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.

check hapa www.emanuel.tv

mtumishi WA MUNGU ENDELEA KUTOA KINACHOENDELEA KAKA KUNA NGUVU NYINGI SANA ZA UADUI HUMU
JUA SISI ATUPIGANI KWA DAMU NA NYAMA BALI TUNASHINDANA NA KUYASHINDA YALE MAPEPO MACHAFU MAABAYA
UBARIKIWE
 
kafungulia nini mkuu?

mkuu hiyo insitwa break through anapomaliza anasema viewers all over the word yaani woote mnaoangali touch the screen shika tv yako aijalishi ya mchina wala hongkong mkuu
sali anavyosema utakuwa shaidi wa miujiza ya yesu scoan
 
kwani uso wa Mungu hauwezi onekana hapa tz mpaka ufuatwe nigeria?

unahiisi walioenda MOSHI .ARUSHA ...IRINGA..MBEYA KUFANYA KAZI ...WAKITOKEA DAR ..MNS DAR AKUNA KAZI???
 
Better is not enough, the best is yet to come.
Naona kama leo ni siku ya watanzania kuwa hapo scoan
 
Kuna mamia ya Watanzania wakiwa na bendera za taifa letu ndani ya kanisa la SCOAN huko Lagos Nigeria.
Godwin Godwe pia yumo.Tunategemea Mungu awasimamie ktk kile kilichowapeleka.
Angalia Emanuel tv muone bendera za Tanzania zinavyopepea live ndani ya SCOAN.

check hapa www.emanuel.tv
Watanzania kwa kupenda miujiza kiboko . Hata huwa awahoji vyanzo vya miujiza hivyo wanachotafuta ni unafuu wa maisha ya duniani.Babu wa loliondo research alioifanya ilidhihirisha Watanzania ni akina nani. Mbona Yesu maisha ya duniani yalikuwa mateso mwanzo mwisho? Ukiona hauna taabu ,mateso na mahangaiko hapa duniani basi ujue upo mbali na muumba wako
 
Wako wengi nahisi kwa sababu tar 23 na 24 walikuwa wanafanya registration ya watu wanaotaka kwenda scoan pale diamond jubilee Emmanuel TV team walikuja kufanya hiyo visiting registration waache wapokee Baraka
 
Back
Top Bottom