God's time is a myth, The strategy of redundancy

Mungu ndio amewalaza njaa hao watoto akakupa wewe chakula? Mnashindwa kusaidiana ninyi kwa nyinyi mnasubiri chakula kishuke kutoka mbinguni! Ni lini uliona mvua ya chakula imeshuka?
Kuna haja gani ya kujinasibu ana upendo na ni mueza wa yote?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Wakorintho 13:12: "Sasa tunaona mambo bila ukamilifu, kama kutafakari kwa kutatanisha kwenye kioo, lakini basi tutaona kila kitu kwa uwazi kamili . Yote ninayojua sasa ni sehemu na haijakamilika, lakini basi nitajua kila kitu kikamilifu, kama vile Mungu sasa ananijua kabisa" (NLT).

I’ve tasted both sides, upande wa Mungu una nafuu! Upande huu kuna amani sana.. kama mafundisho juu ya kuacha dhambi na kutenda mema, kuwa na upendo,amani na mengine mengi ni makosa.. acheni nichague huu upande!

Ni heri niamini Mungu yupo nisimkute, kuliko kuamini hayupo then nimkute!
Takataka
 
Kama hakuna uthibitisho , hakuna haja ya kusema yupo.
Kutokuwa kwa uthibitisho inawezekana ikawa kwa sasa tu ila baadaye huko ukapatikana uthibitisho, lakini pia kukosekana uthibitisho inaweza kuwa ni kutokana na asili ya hicho kitu na mipaka iliyo kwenye misingi ya aina ya huo uthibitisho wenye kuhitajika(sayansi).

Sasa kauli ya hakuna Mungu ni sawa kusema kutokuwepo kwa uthibitisho ni uthibitisho wa kutokuwepo, kitu ambacho si sahihi.
 
Mungu mueza wa yote na mwenye upendo hayupo na kama yupo hana hizo sifa
 
concept nzima kwa sasa si ipo kwenye vitabu?
Hivi kwanini inakuwa atheists wanajitambulisha kwa kupinga uwepo wa Mungu na miungu ila wanapojadili hizi mada wanazijadili katika mipaka ya vitabu vya dini?
 
Kwa sababu atheists wanayajua pia maandiko vizuri sana ,hivyo wameng'amua mikanganyiko mingi kwenye maandiko yanayodai uwepo wa Mungu.

Note. Atheists hawapingi Mungu kwa sababu ya mandiko tu .
 
Hivi kwanini inakuwa atheists wanajitambulisha kwa kupinga uwepo wa Mungu na miungu ila wanapojadili hizi mada wanazijadili katika mipaka ya vitabu vya dini?
LAbda kwa sababu wameshafika conclusion baada ya sababu kadha wa kadha.

MKuu hoja yako naipata ,

Ila mfano kwa sasahivi ukamkuta mtu let say hana imani, ukaanda kumpa habari njema/dawah. Hutompa kitabu ? au atleast kumrecommend atafute kitabu fulani?
 
Mungu mwenye upendo na mueza wa yote 🚮
View attachment 3547070
unajua hata wana Israel walipitia mapito mengi pamoja na kwamba ni taifa alilipenda na kuliokoa kutoka mikononi mwa farao, kuna dhambi za kurithi kutoka kwa mababu na wazazi hizo dhambi asipokuwepo wa kuziondoa, kuzitubu,kuomba rehema basi Mungu anawacha mpaka mtakapo zitubu na kuziacha asimame mmoja kwa niaba
 
Hiyo picha nimeposti ni ya palestina, na hao Israel unawazungumzia ndio wamesababisha hivyo, vipi kuhusu majanga yaasili ambayo hayopo ndani ya uwezo wa kuchagua?
 
LAbda kwa sababu wameshafika conclusion baada ya sababu kadha wa kadha.

MKuu hoja yako naipata ,

Ila mfano kwa sasahivi ukamkuta mtu let say hana imani, ukaanda kumpa habari njema/dawah. Hutompa kitabu ? au atleast kumrecommend atafute kitabu fulani?
Ipo tofauti kati ya Agnostic na atheist
 
Back
Top Bottom