God's time is a myth, The strategy of redundancy

God's time is a myth, The strategy of redundancy

Matatizo hayawezi kuwa sehemu ya uanadamu kama Mungu mwenye upendo angekuwepo mkuu.

Swali la msingi:

Tunafundishwa Mungu aliumba wanadamu ili wamtukuze. Sasa kwanini aliamua kuwaweka kwenye mateso ya dunia? Angekaa nao huko mbinguni bila kuumba dunia si wangemtukuza huko?
njia za Mungu hazichunguziki ila nachoamini kuwa Mungu anatuwazia mema yakija mabaya jichunguze mienendo yako maana Mungu ni mwenye wivu ukitenda mambo ya kishetani utachapika sana yeye anataka uwe wake tuu
 
Wakikutos ujue shetani kaingilia mchezo na huwa hachezi mbali anapenda sana anguko lako! Kwahiyo atafanya kila namna kukutoa mchezoni! Usikubali!!
Na mi skubali yaani mimi na MUngu tuu.. no matter what

Haiwezekani ukute nyumba ipo ipo et kisa mwenye nyumba ujamuona wee ukasema hii ilijijenga.. hakuna kitu ka hicho
 
Eeeeh sema huko.nako show kali...
Aaaah Mungu atuepushe kwa kweli..

Nikisikilizaga mawaidha ya adhabu za moto aaaaaaah unasema.mimi.kesho.nalala mskitini kabisa... Moto wa mbinguni unachoma yaani sio mwekndu au blue huo.ni.mweusiii
Ukisikia moto wa milele utakaza kalio🤣 komaa ukajilie zako sealed sabini na enkhee!! Mambo ya duniani haya yaache tu yakupite mwenzako kila kitu batili! Hakuna aliyeishi mara mbili, amini unachokiamini!
 
Mungu wetu anapenda sifa! Anapenda kuabudiwa na kusujudiwa! Lazima tutii maagizo! Lazima tukubali kuwa chini ya uwepo wake! Hatuwezi kujikweza na kujihesabia haki kama unavyotaka wewe!

Wewe ukimwambia mkeo usiende kwa majirani,usifanye kazi au usitoke nje unafaidika nini?
asome hapa taratibu asipoelewa hapa basi tena
 
Ndio mi naamini sana tuu sema hawa majaa kuna mada wakikuweka mtu kati wanakutoa kwenye imani... Huwa naogopa sana mada zao...🙌🙌🙌🙌🙌
jamii ina kila aina ya watu,wapo wapotoshaji wa imani nk kama wewe ni balozi mzuri wa Mungu usikubali upotoshwaji upite nawe ukae tu bila kunyosha mistari kila unachokiamini ndiyo silaha yako kilinde kwa gharama yoyote kama unaamini Mungu yupo usikae kimya asije akakukana siku moja
 
jamii ina kila aina ya watu,wapo wapotoshaji wa imani nk kama wewe ni balozi mzuri wa Mungu usikubali upotoshwaji upite nawe ukae tu bila kunyosha mistari kila unachokiamini ndiyo silaha yako kilinde kwa gharama yoyote kama unaamini Mungu yupo usikae kimya asije akakukana siku moja
Duuuh kweli mkuu mi nabaki na msimamo wanguu huu huu hata wakiniuliza maswali ya namna gani sitoki kwa reli....🙌🙌🙌🙌
 
Vitu vingine majibu yake yameandikwa unapata uvivu gani kusoma maandiko?

Kasome maandiko yana majibu yote haya!

Huyo shetani hakuwa mwanadamu aliumbwa perfectly akaingia tamaa mwenyewe ya kuchukua nafasi ya Mungu! Ndiomaana alitupwa pampja na jeshi lake lote! Akaona haitoshi akawadanganya adam na eve bustanini , matokeo ya hiyo dhambi ya asili ndiyo tunayaishi leo!

Hiyo free will haihusiani na wewe kugeuza mchanga maji! Free will
Ni uwezo wa kuchagua matendo! Sio miujiza ya kuamua ukaishi hewani au baharini, sijui kurudi 80s thats crazy lol
Kwanin ubishane na mtu asie amini kua pumzi aliyo nayo inatoka kwa mungu.?
 
🤓🤓🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daaaah ndo.mana tumepewa akili ddaaaah aisee umejibu kitaalamu sana ...

Yaani wanaolalamika shida ni wana matatizo kichwani maana una akili timamu alafu unashindwa ku solve simple problems ka hizo ukitegemea Mungu akuje alekebishe...
Tupo pamoja hapo...🫵🫵🫵🫵🙏🙏
Akili zinakua sawa kwa kila mtu au inategemea?
 
Mungu mwenye upendo na mueza wa yote 🚮
Screenshot_2026-02-08_081443.jpg
 
Kwanin ubishane na mtu asie amini kua pumzi aliyo nayo inatoka kwa mungu.?
Wanatushangaa kumtetea Mungu wanataka aje kujitetea mwenyew, lazima tuwaelekeze kuwa Mungu yupo heri wamesikia wakamkataa wenyewe! Wasije kuleta visingizio baragumu litakapolia!
 
Back
Top Bottom