Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,845
- 27,270
- Thread starter
- #21
Humans don't exist there.And why Pluto or Neptune?
Humans don't exist there.And why Pluto or Neptune?
Kwa hiyo ni makusudi kabisa yalifanyika kumtupa Shetani duniani aje kudanganya watu na kuleta uovu.Sasa watu watadanganywa na shetani muda gani kama angepelkwa pluto 😁
God knew that humans would one day sin through free will. Satan had already fallen, and God allowed him to work on earth so that God’s plan of redemption and His great love for humanity could be revealed. This is why the earth became the center of redemption not because Satan is powerful, but because God’s grace is greater.Humans don't exist there.
Wakati waongo wanaandika bibilia hawakujua kama kulikuwa na sayari zingine tofauti na Dunia 😂. Teknolojia inawaumbua.
Hebu hawa atheists watuambie hiyo nguvu ya ajabu hawajawahi kuiexperience ata kidogo? Hawaamini ipo nguvu yenye mamlaka kuliko vyote?Even if it's not God's time as most people say, I'd say hang in there 'coz your turn is yet to come. You may not believe in the almighty, but trust me there's natural prowess out there, something that controls the universe.
Nguvu ipo tena kubwa sana watu hawajui tuHebu hawa atheists watuambie hiyo nguvu ya ajabu hawajawahi kuiexperience ata kidogo? Hawaamini ipo nguvu yenye mamlaka kuliko vyote?
Vipi kuhusu watu ambao tumeiexperience hiyo nguvu mnaiterm vipi? Infropreneur
So, If God knew right from the beginning that humans would one day sin, Don't you see his work of creation is imperfect?God knew that humans would one day sin through free will.
If everything was created perfectly, Who tempted Satan to Sin?Satan had already fallen, and God allowed him to work on earth so that God’s plan of redemption and His great love for humanity could be revealed. This is why the earth became the center of redemption not because Satan is powerful, but because God’s grace is greater.
Free will exists, but to choose what is right or wrong lol not in that term..Free will doesn't exist.
No one has the "free will" to go back in the year 1970.
So no one has the free will.
Of course dini kama dini leaves so many questions unanswered! That's why you read so many articles trying to prove that God does not exist, na kwamba hizo dini na madhehebu are just scums.Hebu hawa atheists watuambie hiyo nguvu ya ajabu hawajawahi kuiexperience ata kidogo? Hawaamini ipo nguvu yenye mamlaka kuliko vyote?
Vipi kuhusu watu ambao tumeiexperience hiyo nguvu mnaiterm vipi? Infropreneur
Vitu vingine majibu yake yameandikwa unapata uvivu gani kusoma maandiko?So, If God knew right from the beginning that humans would one day sin, Don't you see his work of creation is imperfect?
Why a perfect God creates imperfect humans who can sin?
If there's freewill, why can't you use it to go back in time?
If truly freewill exists, Can you use it to go back in the year 1980?
If everything was created perfectly, Who tempted Satan to Sin?
If God created everything perfectly, What tempted Satan to sin?
Remember that your scriptures say everything was created perfectly.
The universe has its own nature and everything is a part of it.Even if it's not God's time as most people say, I'd say hang in there 'coz your turn is yet to come. You may not believe in the almighty, but trust me there's natural prowess out there, something that controls the universe.
Kitu kama kiliumbwa perfectly kitaingiaje tamaa?Vitu vingine majibu yake yameandikwa unapata uvivu gani kusoma maandiko?
Kasome maandiko yana majibu yote haya!
Huyo shetani hakuwa mwanadamu aliumbwa perfectly akaingia tamaa mwenyewe ya kuchukua nafasi ya Mungu! Ndiomaana alitupwa pampja na jeshi lake lote! Akaona haitoshi akawadanganya adam na eve bustanini , matokeo ya hiyo dhambi ya asili ndiyo tunayaishi leo!
Hiyo free will haihusiani na wewe kugeuza mchanga maji! Free will
Ni uwezo wa kuchagua matendo! Sio miujiza ya kuamua ukaishi hewani au baharini, sijui kurudi 80s thats crazy lol
Wakorintho 13:12: "Sasa tunaona mambo bila ukamilifu, kama kutafakari kwa kutatanisha kwenye kioo, lakini basi tutaona kila kitu kwa uwazi kamili . Yote ninayojua sasa ni sehemu na haijakamilika, lakini basi nitajua kila kitu kikamilifu, kama vile Mungu sasa ananijua kabisa" (NLT).Of course dini kama dini leaves so many questions unanswered! That's why you read so many articles trying to prove that God does not exist, na kwamba hizo dini na madhehebu are just scums.
I’ve tasted both sides, upande wa Mungu una nafuu! Upande huu kuna amani sana.. kama mafundisho juu ya kuacha dhambi na kutenda mema, kuwa na upendo,amani na mengine mengi ni makosa.. acheni nichague huu upande!Kuna wakati I almost got into that bandwagon, but then i realised that being in the congregation is more than dini itself. So, I'm in and I enjoy myself being part of those who have faith in God!
Hiyo nguvu ilikufanya nini?Hebu hawa atheists watuambie hiyo nguvu ya ajabu hawajawahi kuiexperience ata kidogo? Hawaamini ipo nguvu yenye mamlaka kuliko vyote?
Vipi kuhusu watu ambao tumeiexperience hiyo nguvu mnaiterm vipi? Infropreneur
ukipigws maswali ya freewill utachomoka?Vitu vingine majibu yake yameandikwa unapata uvivu gani kusoma maandiko?
Kasome maandiko yana majibu yote haya!
Huyo shetani hakuwa mwanadamu aliumbwa perfectly akaingia tamaa mwenyewe ya kuchukua nafasi ya Mungu! Ndiomaana alitupwa pampja na jeshi lake lote! Akaona haitoshi akawadanganya adam na eve bustanini , matokeo ya hiyo dhambi ya asili ndiyo tunayaishi leo!
Hiyo free will haihusiani na wewe kugeuza mchanga maji! Free will
Ni uwezo wa kuchagua matendo! Sio miujiza ya kuamua ukaishi hewani au baharini, sijui kurudi 80s thats crazy lol
Utanitag kakaKitu kama kiliumbwa perfectly kitaingiaje tamaa?
Kama kitu kimeweza kuingia tamaa Huoni kwamba kiliumbwa imperfect?