God's time is a myth, The strategy of redundancy

God's time is a myth, The strategy of redundancy

HApa nimekupata mkuu , sasa kama ni hivyo sasa according to abrahamic faith si kiberiti kipo palepale au? 😁
😀😀 atheists hakuna ushahidi hiyo imani hakuna ila ushahidi ukiwepo hakuna atakae pinga , hakuna nadharia ya kudumu tu
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Mimi naamini Mungu na dini pia, sio Agnostic mimi. Tofauti nina fikra huru tu kitu ambacho atheists wanaamini wanacho ila si kweli.
Basi unachanganya kuwa Agnostic tofauti na theist ambao ni upande ulipo, kitu Ambocho kina fanya hoja zako Zionekane katika mfumo wa kipopo , si mnyama wala si ndege .
 
  • Thanks
Reactions: Lax
ukiwa unataka kujifunza usizuie watu wakueleze wanavyo juwa hapo utakua huna lengo la kujifunza bali ni kupuuza hoja,wewe sikia tu hata kama hoja sio za dini yako usizibe masikio maarifa hayana mpaka,ukiniletea na wewe za Uislamu inakua poa tu lengo si tunajifunza hatushindani,labda iwe umeleta hoja tushindane ambapo hatutajifunza tutabaki empty head
Hizo hekaya za Biblia na Quran ni hadithi uchwara tu. Hakuna chochote cha kujifunza zaidi ya kuaminishana stori zisizo na mantiki.
 
Hivi kwanini mnatumia kauli ya kwamba "hakuna Mungu" na si kauli ya "hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu"?
Negative Proofs: It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.

Chochote kinachodaiwa bila ushahidi kinaweza kutupiliwa mbali bila ushahidi.

Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.

You asserted God without evidence, We dismiss God without evidence.

The burden of proof in religion generally rests on the person making a positive assertion (theist claiming God exists), requiring them to provide evidence to support their claim.

It follows the principle onus probandi, where the party asserting a position must substantiate it, rather than the party denying it.
 
Sawa tuseme hakuna Mungu

Lakini kwa utahira wa binadamu kwanini inakuwa ngumu kwenye makuzi yake Pasi na kudanganywa anakuwa hayupo sawa

Maana yake kwanini uelekeo wa akili ya binadamu lazima awaze Kuna maisha au mamlaka kubwa kuliko yeye ili awe sawa

Unajua usipowatisha binadamu juu ya uwepo wa mamlaka zaidi ya ufahamu wao wengi Wanakuwa kama matahira

Maana binadamu wanazaliwa na vinasaba vya uovu bila sababu ila ni asili yao

Kuna mtu anaona kula Mtu ni uhalali bila hiyana
 
Atheists wanadai hakuna Mungu kitu ambacho hata Agnostics huwa wanawashangaa wamewezaje kujua hilo kwa uhakika?.
hayo mambo ya misamiati tu mkuu,

maana huwenda 2alikutana na maneno kama "usihoji sana we amini tu" , "usiweke logic kwenye imani" labda ndipo walipofika hitimisho kwamba hapa kuna mahali kuna shida, kama wanasema hizi ndo taarifa zake , na wao wameona zinamgogoro mkuu hiyo si automatic disqualification?
 
Huyu ni wa kibiriti kwa mujibu wa dini
Achague upande mmoja tu,

Mimi naamini Mungu na dini pia, sio Agnostic mimi. Tofauti nina fikra huru tu kitu ambacho atheists wanaamini wanacho ila si kweli.
mkuu upo 50/50, sasa kwenye fikra huru mkuu, hizo dini za abrahamic wanakubali fikra huru hapo kwenye mambo ya imani hapo?
 
Mkuu unajua atheists ni kama kundi tu la dini ila wanataka kujiona wao ndio wapo sahihi. Hivyo ndio mie nawaona hawa atheists.
Atheists sio kundi la dini.

Atheist ni mtu asiye na dini wala imani ya aina yoyote ile ya Mungu au miungu.

Theists mnadai kuna Mungu, mmewezaje kujua hilo kwa uhakika?
 
Sawa tuseme hakuna Mungu

Lakini kwa utahira wa binadamu kwanini inakuwa ngumu kwenye makuzi yake Pasi na kudanganywa anakuwa hayupo sawa

Maana yake kwanini uelekeo wa akili ya binadamu lazima awaze Kuna maisha au mamlaka kubwa kuliko yeye ili awe sawa

Unajua usipowatisha binadamu juu ya uwepo wa mamlaka zaidi ya ufahamu wao wengi Wanakuwa kama matahira

Maana binadamu wanazaliwa na vinasaba vya uovu bila sababu ila ni asili yao

Kuna mtu anaona kula Mtu ni uhalali bila hiyana
Watu wengi kuamini habari za Mungu ni kwa sababu ya indoctrination tangu utotoni.

Watu wengi tangu utotoni huaminishwa habari za dini na Mungu. Na hukua wakiamini hivyo.

Watu wanaweza kudhibitiwa wasifanye uovu kwa uwepo wa sheria kali za kudhibiti uhalifu na kuadhibu wahalifu.

Mbona nchi za wenzetu ulaya wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kudhibiti uovu wa mwanadamu. Kwa uwepo wa sheria kali kabisa.
 
Yeye ni Agnostic anesimama kutetea madai ya theist 🤔 kwa mtiririko wa maswali yake anasimama hapa ila kakiri tena ni theist🤔
Sasa anataka Atheists tuthibitishe hakuna Mungu, wakati wenye madai kwamba kuna Mungu, Hawajatoa uthibitisho.
 
usijali ni kawaida ya watu with closed mind ningumu kukuelewa😅
Closed mind ni mtu anayeamini Mungu wa dini yake tu, ndio Mungu wa kweli.

Closed mind ni mtu anayetumia kitabu kimoja tu cha dini yake kama reference na uthibitisho wa anacho kisema.

Closed mind ni mtu anayeamini taarifa zote nje ya kitabu chake cha dini si taarifa za kweli. Kwa sababu kitabu chake hakija andikwa taarifa hizo.

Ndicho ufanyacho wewe. Unatumia Biblia kama reference ya kila kitu. Wewe ndio "closed minded person" You depend only from one source "Bible" as the reference of all your informations.

Unafanya logical fallacy inaitwa circular reasoning.

A circular reasoning fallacy occurs when the evidence offered to support a claim is just a repetition of the claim itself.

Circular reasoning fallacy in religion👇

Person 1: “God must exist.” (A)
Person 2: “How do you know?”

Person 1: “Because it says so in the Bible.” (B)

Person 2: “Why should I believe the Bible?”

Person 1: “Because it is the divine work of God.” (C)

In the above argument structure, notice that the premises rely on each other for their validity:

Statement A is true because of B.
Statement B is true because of C.
Statement C is true because of A.

This is problematic because A is both a reason supporting the argument and is itself supported by the argument, forming a circle.
 
Back
Top Bottom