God's time is a myth, The strategy of redundancy

Kwa sababu atheists wanayajua pia maandiko vizuri sana ,hivyo wameng'amua mikanganyiko mingi kwenye maandiko yanayodai uwepo wa Mungu.

Note. Atheists hawapingi Mungu kwa sababu ya mandiko tu .
Hauoni kwamba shida yao ipo kwenye maandiko zaidi na huko kwengine kote wanafanya kufuata tu kwa sababu ndio atheism?
 
Hiyo picha nimeposti ni ya palestina, na hao Israel unawazungumzia ndio wamesababisha hivyo, vipi kuhusu majanga yaasili ambayo hayopo ndani ya uwezo wa kuchagua?
Mkuu mtu akikutajia tu wana israel, kaa mbali 😁 ni sawa na kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa
 
Kut 3:7-9​

BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao; nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi. Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.
 
Vyote kwa pamoja
Basi hivyo ni vitu viwili tofauti na ndio maana watu ambao wote wanaamini Mungu wanaweza kutofautiana kwenye suala la baadhi ya sifa za Mungu, sasa wewe hauamini kabisa Mungu sioni maana ya wewe kujadili sifa za Mungu.
 
Mkuu mtu akikutajia tu wana israel, kaa mbali 😁 ni sawa na kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa
Nmesikia mwana wa Israel nikajua tu hakuna kitu hapo
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

Kut 3:7-9​

BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao; nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi. Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.
Sawa
 
Basi hivyo ni vitu viwili tofauti na ndio maana watu ambao wote wanaamini Mungu wanaweza kutofautiana kwenye suala la baadhi ya sifa za Mungu, sasa wewe hauamini kabisa Mungu sioni maana ya wewe kujadili sifa za Mungu.
Sifa hizo zinapingwa kwa madai
 
  • Thanks
Reactions: Lax
LAbda kwa sababu wameshafika conclusion baada ya sababu kadha wa kadha.

MKuu hoja yako naipata ,

Ila mfano kwa sasahivi ukamkuta mtu let say hana imani, ukaanda kumpa habari njema/dawah. Hutompa kitabu ? au atleast kumrecommend atafute kitabu fulani?
Kumpa kitabu inategemea nataka apate ujumbe wa aina gani maana vitabu viko vingi na imani zipo nyingi.
 
Basi hivyo ni vitu viwili tofauti na ndio maana watu ambao wote wanaamini Mungu wanaweza kutofautiana kwenye suala la baadhi ya sifa za Mungu, sasa wewe hauamini kabisa Mungu sioni maana ya wewe kujadili sifa za Mungu.

Kumpa kitabu inategemea nataka apate ujumbe wa aina gani maana vitabu viko vingi na imani zipo nyingi.

mkuu mbona kama haya mambo unayaelewa vizuri tu, sasa unashindwa kuwaelewa wapi jamaa?

nA mkuu upo kimkakati sana watu wa namna yako ni ngumu kukabiliana nao kihoja. --- maana umeshasema imani zipo nyingi na vitabu vipo vingi
 
Jamaa ni Agnostic yani yeye hana uhakika , yupo katikati.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
mkuu mbona kama haya mambo unayaelewa vizuri tu, sasa unashindwa kuwaelewa wapi jamaa?

nA mkuu upo kimkakati sana watu wa namna yako ni ngumu kukabiliana nao kihoja. --- maana umeshasema imani zipo nyingi na vitabu vipo vingi
Mkuu unajua atheists ni kama kundi tu la dini ila wanataka kujiona wao ndio wapo sahihi. Hivyo ndio mie nawaona hawa atheists.
 
Back
Top Bottom