God's time is a myth, The strategy of redundancy

God's time is a myth, The strategy of redundancy

Wewe unaleta hadithi za Biblia halafu unasema ndio reference!

Huna tofauti na mwislamu anayeleta Quran, kama reference.

Huna tofauti na myahudi anayeleta Torah, kama reference.

Huna tofauti na mhindu anayeleya The Vedas, kama reference.

Hii ni Circular reasoning fallacy.
hatuwezi jadili jambo bila ushahidi sasa nashindwa kukulewa kwanini unanibana nisiweke citat
Kwa hiyo unamwamini Yesu kwa vile tu majority wanamwamini.

Hii ni logical fallacy inaitwa Popularity Fallacy(Argumentum ad populum)

The popularity fallacy (argumentum ad populum) is an informal logical error claiming that a premise is true or good simply because many people believe it or do it. Also known as the bandwagon fallacy, it wrongly equates popularity with truth or validity, ignoring evidence in favor of widespread, but potentially wrong, consensus.
we cant run a debit like we are in primary school

okey what you are trying to do act as Ad Hominem fallacy you tend to
ignore the substance of an argument and instead, discredits, or attacks the character your tactic diverts attention from the issues
 
Matatizo hayawezi kuwa sehemu ya uanadamu kama Mungu mwenye upendo angekuwepo mkuu.

Swali la msingi:

Tunafundishwa Mungu aliumba wanadamu ili wamtukuze. Sasa kwanini aliamua kuwaweka kwenye mateso ya dunia? Angekaa nao huko mbinguni bila kuumba dunia si wangemtukuza huko?
Ila hapo kwenye mateso blood ni kweli tunateseka daaah

Just imagine hili joto alafu umeme umeisha oaa weeeh so poa ujue
 
Na tutawatisha mpaka muhame huko kusikojulikana!
Hapana mkuu ndo mana mimi napita na wote wawili wote nawafatilia..
Mi stki mauti yanifike alafu nikawa naulizwa kwann ulikua unasapoti mada za ajabu...

Ndo mana nipo nasoma kimya kimya staki kesi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Mzazi wako usipomuheshimu anapoteza nini? Ukimuheshimu anafaidika nini?

Mke wako usipomuamini au ukilala nje anapungukiwa nini? Ukiwa na michepuko anapata shida gani?
Nyie 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌 haya maswali mnawaza nini jamniiii...

Au ukiwa na mshangazi unafaidika nini, au unapata shida gani...🤣🤣🤣🤣🤣🤓🤓🤓🤓🤓🫵🫵🫵🫵
 
Hapana mkuu ndo mana mimi napita na wote wawili wote nawafatilia..
Mi stki mauti yanifike alafu nikawa naulizwa kwann ulikua unasapoti mada za ajabu...

Ndo mana nipo nasoma kimya kimya staki kesi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hutaki kusema ila moyoni una shuku! Hii pia ni dhambi😤
 
Mungu amewapa akili ili mu solve situations kama hizo, unataka tena aje kuwawekea na umeme 🙄
🤓🤓🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daaaah ndo.mana tumepewa akili ddaaaah aisee umejibu kitaalamu sana ...

Yaani wanaolalamika shida ni wana matatizo kichwani maana una akili timamu alafu unashindwa ku solve simple problems ka hizo ukitegemea Mungu akuje alekebishe...
Tupo pamoja hapo...🫵🫵🫵🫵🙏🙏
 
Hutaki kusema ila moyoni una shuku! Hii pia ni dhambi😤
Noooooo
Namuamini Mungu ndgu yangu..
Alafu usije kufanya mambo hapa nikaonekana na mimi ni miongoni weeeeh tena mwezi mtukufu huu mi nafunga ujue 🫵🫵🫵🫵🫵🙌🙌🙌🙌🙌

Mnataka ni log out sasa sio...🙌🙌🙌😂
 
🤓🤓🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daaaah ndo.mana tumepewa akili ddaaaah aisee umejibu kitaalamu sana ...

Yaani wanaolalamika shida ni wana matatizo kichwani maana una akili timamu alafu unashindwa ku solve simple problems ka hizo ukitegemea Mungu akuje alekebishe...
Tupo pamoja hapo...🫵🫵🫵🫵🙏🙏
Ndio yaleyale ya kusema kwanini Mungu katuumba halafu hatudhibiti kutenda dhambi! Hivi imagine kila kitu kingekuwa perfect ulimwengu ungekuwa unafananaje? Kila kitu ukijiachia sana ukawaza unafika mbali na unakosa majibu kabisa!!
 
Noooooo
Namuamini Mungu ndgu yangu..
Alafu usije kufanya mambo hapa nikaonekana na mimi ni miongoni weeeeh tena mwezi mtukufu huu mi nafunga ujue 🫵🫵🫵🫵🫵🙌🙌🙌🙌🙌

Mnataka ni log out sasa sio...🙌🙌🙌😂
Usilog out tulia ukaangwe😂😂💔💔

Am glad unaamini Mungu yupo, ni heri kutojikweza na kujihesabia haki!
 
Ndio yaleyale ya kusema kwanini Mungu katuumba halafu hatudhibiti kutenda dhambi! Hivi imagine kila kitu kingekuwa perfect ulimwengu ungekuwa unafananaje? Kila kitu ukijiachia sana ukawaza unafika mbali na unakosa majibu kabisa!!
Ni kweli an perfect
Means hakuna kuchepuka
Hakuna kuchukuliana wake
Hakuna habari za dhambi
Yaaan hapo unaona kabisa isingenoga kabisa
 
Mwislamu akitumia Quran kama reference yake ya kukwambia wewe mkristo kwamba Allah ndiye Mungu wa kweli na sio Yesu utakubali?
ukiwa unataka kujifunza usizuie watu wakueleze wanavyo juwa hapo utakua huna lengo la kujifunza bali ni kupuuza hoja,wewe sikia tu hata kama hoja sio za dini yako usizibe masikio maarifa hayana mpaka,ukiniletea na wewe za Uislamu inakua poa tu lengo si tunajifunza hatushindani,labda iwe umeleta hoja tushindane ambapo hatutajifunza tutabaki empty head
 
Tusubiri hukumu basi, wa kwenda kukaangwa waende wa kwenda kusifu na kuabudu hayaa! Kila mtu na ahadi zake!
Eeeeh sema huko.nako show kali...
Aaaah Mungu atuepushe kwa kweli..

Nikisikilizaga mawaidha ya adhabu za moto aaaaaaah unasema.mimi.kesho.nalala mskitini kabisa... Moto wa mbinguni unachoma yaani sio mwekndu au blue huo.ni.mweusiii
 
Back
Top Bottom