mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,810
Yaani mkuu sijui kwanini hunielewi, natamani ungekuwa hapa karibu nikufinye!!!Kusudi la Mungu kumuumba binadamu halikuwa hili! Aliumbwa ili maisha yawe ya kusifu na kuabudu tu, hakukuwa na mipango ya kuishi maisha yamateso ndio maana lilipotolea anguko la mwanadamu, alisema duniani mnayo dhiki jipeni moyo, usijali baada ya msababishi mkuu,muovu ibilisi hukumu itatoka na tutaishi hayo maisha unayotaka tuishi! Kuwa na subira bado kitambo kidogo!
Hilo anguko liliruhusiwa na Mungu, hakuwa na haja ya kuliruhusu.