God's time is a myth, The strategy of redundancy

hahaa nikikuuliza ulipataje majibu utasema ulipata ndoto/maono/ufunuo
Nilipata majibu hapohapo, mfano niliumwa kitu nikaomba kwa bidii na nikapona on spot!
Jiulize kwanini matatizo hayaishi maishani mwako...
Matatizo nos ehemu ya mwanadamu, hayana budi kuwepo!
Twende kwenye mada ya uzi, watu wengi sana wacha Mungu wanakufa bila kujibiwa maombi yao.
Kila mtu ana njia zake! Sababu ipo, wengine wanaend akinyuma na mapenzi ya Mungu! Wengine imekuwa hivyo unayowaza!
Visingizio ni vingi mara Mungu hakupi unachotaka bali unachostahili, mara mipango yake haichunguziki, sasa kwanini aliwaambia muombe naye atawapa?
Hakuna kisingizio hapo! Nyie mnaoishi kinyume na mapenzi yake mmekatwa miguu? Mungu sio mchaguzi wa namna hiyo! The Lord is soo good! Hujataka tu kumjua! Angekuwa na mawazo kama yako huenda wengi sana wasingekuwepo! Au angechagua wake tu ndio waonje mema ya dunia!
Ukifikiria unaona haya mambo ni uongo tu.
Sawa.
 
Huyo Mungu angekuwa ameumba kila kitu perfectly, Anguko la mwanadamu lisingewezekana kutokea kwa sababu kila kitu kingekuwa perfectly mwanzo mwisho.

Anguko la binadamu kutokea, dhambi kuingia ni dhahiri kwamba huyo Mungu hakuumba kila kitu perfectly.

Ndio maana anguko la mwanadamu na dhambi vilitokea.

Huyo Mungu angekuwa ameumba kila kitu perfectly, mabaya yasinge kuwepo duniani. Kwa sababu kila kitu kingekuwa perfectly kabisa.

Uwepo wa mabaya unadhihirisha imperfections.
So hizi ndizo sababu za kukufanya wewe kutoamini uwepo wa Mungu na kuhubiri kila leo?
 
unafeli wapi mzee,Mungu ndiyo muumba wa dunia na vitu viijazavyo dunia
Divine fallacy, also known as the argument from incredulity, is a logical fallacy asserting that because a phenomenon is amazing, complex, or difficult to understand, it must be caused by divine intervention or a supernatural force.

It assumes personal lack of understanding equals a divine explanation.

Source: Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology
 
Mungu hayupo.

Hakuna Mungu.

Hizo hadithi uchwara za Biblia ziliandikwa kupumbaza wajinga.

Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.

Binadamu hawaumbwi. Binadamu wanazaliwa.
Basi huyo mtu aliyeandika hizo hadithi ana akili sana! Maana ameandika katika nyakati za zamani ambapo mambo mengi hayakuwepo na sasa yanatimia! Hakika chunguzeni vizuri mtajua hiyo biblia ilivyo perfect kuwazidi nyinyi!
 
Kitu kama kiliumbwa perfectly kitaingiaje tamaa?
sijaelewa kwanini umelinganisha tamaa na perfect kuwa katika point of reasoning uumbaji

Mungu anasema alimtoa mwanae wa peke katika mwili wa kibanadamu ndiyo mwanae mpendwa ambae ni yesu,alikuja dunia kwa matakwa ya kuukomboa ulimwengu,kumbuka yesu alikua ni Mungu mtu,Mungu alimfanya awe sehemu yetu wanadamu yani kila kitu kama sisi ana hasira kama alivyochukizwa na watu waliofanya biashara hekaluni,anaumia hile mijeredi ilimumiza mbaya kabisa,ana hisia pia kama sisi kipindi cha mateso yesu alilia mpaka machozi ya damu akiomba kikombe hicho kimpite lakini ni Mungu mwana sasa uweje useme kuumbwa ni lazima kuwe na u perfect?
 
Basi huyo mtu aliyeandika hizo hadithi ana akili sana! Maana ameandika katika nyakati za zamani ambapo mambo mengi hayakuwepo na sasa yanatimia! Hakika chunguzeni vizuri mtajua hiyo biblia ilivyo perfect kuwazidi nyinyi!
Divine fallacy also known as the argument from incredulity, is a logical fallacy asserting that because a phenomenon is amazing, complex, or difficult to understand, it must be caused by divine intervention or a supernatural force.

It assumes personal lack of understanding equals a divine explanation.

Source: Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology
 
Nilipata majibu hapohapo, mfano niliumwa kitu nikaomba kwa bidii na nikapoma on spot!

Matatizo nos ehemu ya mwanadamu, hayana budi kuwepo!

Kila mtu ana njia zake! Sababu ipo, wengine wanaend akinyuma na mapenzi ya Mungu! Wengine imekuwa hivyo unayowaza!

Hakuna kisingizio hapo! Nyie mnaoishi kinyume na mapenzi yake mmekatwa miguu? Mungu sio mchaguzi wa namna hiyo! The Lord is soo good! Hujataka tu kumjua! Angekuwa na mawazo kama yako huenda wengi sana wasingekuwepo! Au angechagua wake tu ndio waonje mema ya dunia!

Sawa.
Matatizo hayawezi kuwa sehemu ya uanadamu kama Mungu mwenye upendo angekuwepo mkuu.

Swali la msingi:

Tunafundishwa Mungu aliumba wanadamu ili wamtukuze. Sasa kwanini aliamua kuwaweka kwenye mateso ya dunia? Angekaa nao huko mbinguni bila kuumba dunia si wangemtukuza huko?
 
sijaelewa kwanini umelinganisha tamaa na perfect kuwa katika point of reasoning uumbaji

Mungu anasema alimtoa mwanae wa peke katika mwili wa kibanadamu ndiyo mwanae mpendwa ambae ni yesu,alikuja dunia kwa matakwa ya kuukomboa ulimwengu,kumbuka yesu alikua ni Mungu mtu,Mungu alimfanya awe sehemu yetu wanadamu yani kila kitu kama sisi ana hasira kama alivyochukizwa na watu waliofanya biashara hekaluni,anaumia hile mijeredi ilimumiza mbaya kabisa,ana hisia pia kama sisi kipindi cha mateso yesu alilia mpaka machozi ya damu akiomba kikombe hicho kimpite lakini ni Mungu mwana sasa uweje useme kuumbwa ni lazima kuwe na u perfect?
Kuna Mungu wengi sana kulingana na imani mbalimbali za watu. Unathibitisha vipi huyo Yesu wako ni Mungu wa wote, wakati kuna Mungu Allah, Krishna, Zeus n.k.

Huoni kwamba unatetea tu, hadithi za Biblia yako ulioaminishwa na kukaririshwa?
 
Huyo Mungu akiaminiwa yupo, anafaidika nini?

Huyo Mungu asipoaminiwa yupo, anapungukiwa nini?

Huyo Mungu yupo so insecure hadi anahitaji kuaminiwa?
Mzazi wako usipomuheshimu anapoteza nini? Ukimuheshimu anafaidika nini?

Mke wako usipomuamini au ukilala nje anapungukiwa nini? Ukiwa na michepuko anapata shida gani?
 
Divine fallacy, also known as the argument from incredulity, is a logical fallacy asserting that because a phenomenon is amazing, complex, or difficult to understand, it must be caused by divine intervention or a supernatural force.

It assumes personal lack of understanding equals a divine explanation.

Source: Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology
kama ni mbobezi kwenye kufanya scientific research utanielewa kwanini na jadilu with reference to back up my point,you can't term that as a divine fallacy
 
Mzazi wako usipomuheshimu anapoteza nini? Ukimuheshimu anafaidika nini?

Mke wako usipomuamini au ukilala nje anapungukiwa nini? Ukiwa na michepuko anapata shida gani?
Hawapati shida yoyote wala faida yoyote.

Sasa huyo Mungu mnayekazana kumwabudu na kumwamini, yeye anapata nini?
 
Matatizo hayawezi kuwa sehemu ya uanadamu kama Mungu mwenye upendo angekuwepo mkuu.

Swali la msingi:

Tunafundishwa Mungu aliumba wanadamu ili wamtukuze. Sasa kwanini aliamua kuwaweka kwenye mateso ya dunia? Angekaa nao huko mbinguni bila kuumba dunia si wangemtukuza huko?
Kusudi la Mungu kumuumba binadamu halikuwa hili! Aliumbwa ili maisha yawe ya kusifu na kuabudu tu, hakukuwa na mipango ya kuishi maisha yamateso ndio maana lilipotolea anguko la mwanadamu, alisema duniani mnayo dhiki jipeni moyo, usijali baada ya msababishi mkuu,muovu ibilisi hukumu itatoka na tutaishi hayo maisha unayotaka tuishi! Kuwa na subira bado kitambo kidogo!
 
Kuna Mungu wengi sana kulingana na imani mbalimbali za watu. Unathibitisha vipi huyo Yesu wako ni Mungu wa wote, wakati kuna Mungu Allah, Krishna, Zeus n.k.

Huoni kwamba unatetea tu, hadithi za Biblia yako ulioaminishwa na kukaririshwa?

hata wahindi wana miungu yao sasa siwezi kuegemea kwenye kujadili sana miungu mingine najadili eneo ambalo majority tunaamini hivyo siwezi kujadili miungu mingine hata weww unaweza kuwa na miungu yako lakini yesu ni wanagapi wanamjua?.
 
Hawapati shida yoyote wala faida yoyote.

Sasa huyo Mungu mnayekazana kumwabudu na kumwamini, yeye anapata nini?
Mungu wetu anapenda sifa! Anapenda kuabudiwa na kusujudiwa! Lazima tutii maagizo! Lazima tukubali kuwa chini ya uwepo wake! Hatuwezi kujikweza na kujihesabia haki kama unavyotaka wewe!

Wewe ukimwambia mkeo usiende kwa majirani,usifanye kazi au usitoke nje unafaidika nini?
 
kama ni mbobezi kwenye kufanya scientific research utanielewa kwanini na jadilu with reference to back up my point,you can't term that as a divine fallacy
Wewe unaleta hadithi za Biblia halafu unasema ndio reference!

Huna tofauti na mwislamu anayeleta Quran, kama reference.

Huna tofauti na myahudi anayeleta Torah, kama reference.

Huna tofauti na mhindu anayeleya The Vedas, kama reference.

Hii ni Circular reasoning fallacy.
 
Back
Top Bottom