God's time is a myth, The strategy of redundancy

God's time is a myth, The strategy of redundancy

Muda wetu wa kuishi Duniani ni mdogo sana.
Mauti yapo karibu.
Atakwenda kujionea mwenyewe
Ndio mlivyo jaza ujinga huko Kwa kutiwa vitisho , hakuna kwenda kujionea mwenyewe wewe subiri ufe tu ugeuke kuwa Natural resources uwanufaishe viumbe hai watakao kuwa wanaishi katika nyakati hizi mambo mengine ni kudanganyana 🤣
 
sijaelewa kwanini umelinganisha tamaa na perfect kuwa katika point of reasoning uumbaji

Mungu anasema alimtoa mwanae wa peke katika mwili wa kibanadamu ndiyo mwanae mpendwa ambae ni yesu,alikuja dunia kwa matakwa ya kuukomboa ulimwengu,kumbuka yesu alikua ni Mungu mtu,Mungu alimfanya awe sehemu yetu wanadamu yani kila kitu kama sisi ana hasira kama alivyochukizwa na watu waliofanya biashara hekaluni,anaumia hile mijeredi ilimumiza mbaya kabisa,ana hisia pia kama sisi kipindi cha mateso yesu alilia mpaka machozi ya damu akiomba kikombe hicho kimpite lakini ni Mungu mwana sasa uweje useme kuumbwa ni lazima kuwe na u perfect?
Duh 😄😄😄

Kwa hizi Akili ccm itatawala milele hii Nchi 🙌
 
Kusudi la Mungu kumuumba binadamu halikuwa hili! Aliumbwa ili maisha yawe ya kusifu na kuabudu tu, hakukuwa na mipango ya kuishi maisha yamateso ndio maana lilipotolea anguko la mwanadamu, alisema duniani mnayo dhiki jipeni moyo, usijali baada ya msababishi mkuu,muovu ibilisi hukumu itatoka na tutaishi hayo maisha unayotaka tuishi! Kuwa na subira bado kitambo kidogo!
🤣🤣
 
So my dear dhambi ya adamu na Hawa wewe Ina kuhusu nini !? Unataka kuniambia mfano ikitokea Mjomba wako akavunja Sheria na kufungwa gerezani inapaswa na family yake yote ifungwe !?
Mungu alitoa laana kwa kizazi chote cha adamu na hawa!
Kama ikitokea ndugu wa family ya Mjomba wako nayenyewe ikafungwa kwaajili ya makosa ya Mjomba wako Utaridhika na maamuzi hayo ya kisheria !? Hauoni kwamba waliotoa hiyo hukumu watakuwa wametoa huku Kwa kupitia Sheria kandamizi!??
😨
Huyo Mungu wenu mbona ana onekana ana matatizo kichwani !? Kwanini uwahukumu watu wengine Kwa makosa ambayo hawajawahi kuyafanya !? Ina maana basi mungu anashindwa Akili hata na watendaji wa hizi mahakama za serikali ya ccm !!!
😱
Huyo Mungu ni wavisasi hapaswi kuabudiwa
🥺
 
Mungu ni mwenye wivu sana kwa kuwa alituumba na kutupa kila kitu kizuri kwanini sasa umjeuke usifuate sheria yake ,sifa na utukufu kwa yote aliyofanya ya uumbaji tunamrudishia yeye,

swali wewe mkeo uliomgharamia kila kitu tusema mlianza mahusino mkiwa chuo ukamlipia ada ukamsomesha yani mkafika hadi kupata watoto na kumpa zawadi ya nyumba magari nk je huyo mke akakuacha akaenda kuchepuka na mwanaume mwingine utajisikiaje au akataka aolewe na mwanaume mwingine ? sasa ndugu maumivu utakayo yasikia ndivyo muumba wetu Mungu wetu atajisikia kuacha njia zake na kumtukuza shetani
😁😁 Hii reasoning Yako mbona inazidi kumfanya huyo mungu wenu aonekane ni wamchongo zaidi ,

Maandiko yenu yanasema mungu wenu ni mkuu ni muweza wa yote and blaaa blaaa kibao

Kama kweli ni muweza wa yote alishindwa kutambua kwamba binaadamu atakaye muumba atashindwa kufuata maagizo yake !? Kwanini atumie muda wake kuumba kiumbe ambacho kitakuja kukataa kufuata maagizo yake wakati ana uweza wa yote na kutambua kwamba hiki kiumbe Niki kiumba kitakuja kupinga amri zangu,

Na kutolea Mfano wewe kama namna ulivyotoa mfano hapo Kwa Mwanaume aliye msomesha mwanamke! So do you think huyo mwanaume aliye mgharamia huyo mwanamke Kwa kumsomesha na kumfanyia mambo mengi ya msingi Laiti kama huyo mwanaume angelikuwa ana uweza wa yote wa kutambua kwamba endapo akimsaidia huyo mwanamke na kumhonga huyo mwanamke atakuja kumsaliti Je ange thubutuuu kumsaidia na kumfanyia yote hayo !?

Wewe unaweza kufanya jambo ambalo unajua kuwa litakuja kukupa hasara !?

Mbona the way mnavyo zidi kumuongelea huyo mungu wenu ni kama mtu tu ambaye Hana hizo sifa mnazo mpa na kama sometimes ana bet tu katika maamuzi yake !?

Yaani uwe na uweza wa kujua yote yaliyopo na yajayo and still ufanye kitu ambacho Hakitokuwa na sifa za ukamilifu Ambacho kitakuja kukukana na !? Kwa kweli Mungu wenu anastaajabisha sana
 
Mungu alitoa laana kwa kizazi chote cha adamu na hawa!

😨

😱

🥺
Kwanini Atoe laana , Nikigombana na wewe halafu nije kwako na kuwaua watoto wako na ndugu zako

Mimi nitakaye fanya hivyo nitakuwa na utimamu wa Akili !?
 
Kwanini Atoe laana , Nikigombana na wewe halafu nije kwako na kuwaua watoto wako na ndugu zako

Mimi nitakaye fanya hivyo nitakuwa na utimamu wa Akili !?
Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao bali nawarehemu elfu maelfu wanipendao na kuzishika amri zangu!
 
Ila hapo kwenye mateso blood ni kweli tunateseka daaah

Just imagine hili joto alafu umeme umeisha oaa weeeh so poa ujue
🤣🤣🤣 Hapo hauja mix na maumivu ya wanao pigana vita huko sijui Iran sijui Ukraine!? Na mungu yupo tu

Halafu Hawa believers wake wanatuambia kwamba ana upendo Kwa wote !?

Mungu ni mchongo
 
🤣🤣🤣 Hapo hauja mix na maumivu ya wanao pigana vita huko sijui Iran sijui Ukraine!? Na mungu yupo tu

Halafu Hawa believers wake wanatuambia kwamba ana upendo Kwa wote !?

Mungu ni mchongo
Huyo mwenyewe believer! Mnaongea sana huku nje makanisa na misikiti imejeaa mptuuu 🚮
 
Nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao bali nawarehemu elfu maelfu wanipendao na kuzishika amri zangu!
My dear , Huyo mungu basi ni wavisasi hata magufuli hafui dafu ,🤣🤣

Mungu ana watesa mpaka vitoto vichanga kisa tu bibi zao hao watoto walimuasi ,

Hayo ya matendo laiti kama yakifanywa na binaadamu mtasema huyo binaadamu ni katili + dictator ila Kwa kuwa ni Mungu ambaye mmemezeshwa kiimani tangu utotoni hamtaki kuadmit kuwa mungu wenu ni waajabu ,

Mungu muweza wa yote kwanini Aumbe kiumbe kitakacho kuja kumpinga !? My dear unaweza kwenda kuinvest katika project ambayo unajua kuwa itakuja kukupa hasara !?
 
My dear , Huyo mungu basi ni wavisasi hata magufuli hafui dafu ,🤣🤣
Visasi vipi tuko kipindi cha rehema hakuna anayeteswa na visasi! Kipindi cha sheria kimeshapita, kwahiyo ulitaka tuendeleze agano jioya bila kujifunza agano la kale? Utakavyoamini ni wewe sasa lakini Mungu wetu sio kama unavyomchoresha hapa! Huwezi kumuelewa kama hutaki kumuelewa!
Mungu ana watesa mpaka vitoto vichanga kisa tu bibi zao hao watoto walimuasi ,
Kavitesa vitoto gani? Unasambaza chuki pasina sababu!
Hayo ya matendo laiti kama yakifanywa na binaadamu mtasema huyo binaadamu ni katili + dictator ila Kwa kuwa ni Mungu ambaye mmemezeshwa kiimani tangu utotoni hamtaki kuadmit kuwa mungu wenu ni waajabu ,
Ndio ni wa ajabu, achana naye! Simple..
Mungu muweza wa yote kwanini Aumbe kiumbe kitakacho kuja kumpinga !? My dear unaweza kwenda kuinvest katika project ambayo unajua kuwa itakuja kukupa hasara !?
We usituchoshe kasome historia iko wazi bwana! Kila siku tunawaelewesha hamtaki kuelewa! Amini unachoamini mbona sioni waganga na wachawi wakisumbuana na sisi? Always u guys🙌🏾
 
Huyo mwenyewe believer! Mnaongea sana huku nje makanisa na misikiti imejeaa mptuuu 🚮
Ameanza kushtuka 🤣🤣

Yes yamejaa kwasababu dini ni mtego wa wanasiasa ulioundwa kwaajili ya kubrain wash watu ili waweze kutawalika kirahisi ndio maana unaona ccm wanavyo itumia bakwata ku- colonies waislam the same Kwa waumini waimani nyingine, usione sa100 ana battle na RC ukadhani kuwa Hajui anacho kifanya

Serikali zote duniani zinajua kwamba dini ni scum ni mtaji tu wa kuwatumia watu kama ilivyo siasa na michezo mingine mbali mbali like football,

Kilichopo tu ni kwamba Hiyo nguvu ya ku- Battle na dini inaweza ikakushinda kwasababu sehemu kubwa ya jamii imesha geuza Hilo suala kuwa way of there living,

Ni sawa sawa Leo makampuni ya Simu yote duniani yaache kutengeneza Simu na Simu zizuiwe kutumika Maisha ya binaadamu lazima yata collapse cause ni mfumo ambao umeshaingia katika maisha Yao

So wingi wa makanisa na misikiti usikutishe na kukufanya uamini kuwa hicho kitu ni chakweli au ni sahihi

Adolf Hitler anasema siku zote Nguvu ya propaganda ikitumika vyema basi uongo hugeuka kuwa ukweli

So hizo dini Tayari zimesha undiwa na sera na Sheria katika mataifa duniani, kitu chochote kikisha undiwa sera na sheria basi lazima kisambae Kwa Kasi
 
So hizo dini Tayari zimesha undiwa na sera na Sheria katika mataifa duniani, kitu chochote kikisha undiwa sera lazima kikue na kupewa chapuo katika jamii
Visasi vipi tuko kipindi cha rehema hakuna anayeteswa na visasi! Kipindi cha sheria kimeshapita, kwahiyo ulitaka tuendeleze agano jioya bila kujifunza agano la kale? Utakavyoamini ni wewe sasa lakini Mungu wetu sio kama unavyomchoresha hapa! Huwezi kumuelewa kama hutaki kumuelewa!

Kavitesa vitoto gani? Unasambaza chuki pasina sababu!

Ndio ni wa ajabu, achana naye! Simple..

We usituchoshe kasome historia iko wazi bwana! Kila siku tunawaelewesha hamtaki kuelewa! Amini unachoamini mbona sioni waganga na wachawi wakisumbuana na sisi? Always u guys🙌🏾
Kisukari 😄😄
 
Ameanza kushtuka 🤣🤣
Ashtuke na yuko kwneye mfungo?
Yes yamejaa kwasababu dini ni mtego wa wanasiasa ulioundwa kwaajili ya kubrain wash watu ili waweze kutawalika kirahisi ndio maana unaona ccm wanavyo itumia bakwata ku- colonies waislam the same Kwa waumini waimani nyingine, usione sa100 ana battle na RC ukadhani kuwa Hajui anacho kifanya
Kwahiyo sisi tulioingia mtegoni inatuaffect nini? Huyo raisi wenu anatuzidi wapi zaidi ya utawala wa kushindana na viongozi wakubwa, yani the haves not bana!
Serikali zote duniani zinajua kwamba dini ni scum ni mtaji tu wa kuwatumia watu kama ilivyo siasa na michezo mingine mbali mbali like football,
Nataka nione hiyo effect kwa serikali yetu sio hii nchi za watu! U got anything to lose??
Kilichopo tu ni kwamba Hiyo nguvu ya ku- Battle na dini inaweza ikakushinda kwasababu sehemu kubwa ya jamii imesha geuza Hilo suala kuwa way of there living,
How?
Ni sawa sawa Leo makampuni ya Simu yote duniani yaache kutengeneza Simu na Simu zizuiwe kutumika Maisha ya binaadamu lazima yata collapse cause ni mfumo ambao umeshaingia katika maisha Yao
Watazoea tu zamani waliishije
So wingi wa makanisa na misikiti usikutishe na kukufanya uamini kuwa hicho kitu ni chakweli au ni sahihi
Ni kushangaa jinsi gani kundi kubwa halijajitambua ila nyie wachache mna Iq kubwa dunia nzima😱
Adolf Hitler anasema siku zote Nguvu ya propaganda ikitumika vyema basi uongo hugeuka kuwa ukweli
🤭
So hizo dini Tayari zimesha undiwa na sera na Sheria katika mataifa duniani, kitu chochote kikisha undiwa sera na sheria basi lazima kisambae Kwa Kasi
Sawa sawa
 
framework ya mbinguni ipo complicated mkuu hujo kwenye abrahamic , walio amini wapo sahihi na wasio amini wapo sahihi pia

Mbona mkumbo wa kwenye kuamini huuongelei unakomaa tu kwa wasio amini.

mtu toka utotoni anaingizwa kanisani au msikitini (na hizi pande zote kila mtu anasema mwenzake anaenda kula kiberiti) --- wewe kama hadi hapa huoni shida ni wewe mkuu,

Huyo mtoto hata kama wazazi wake hawajali hii system ya shule sehemu nyingi dini ni kama mandatory , kama huna upande chukua upande ratiba za shule ziendelee

Kuona waliokataa tu ndo wanakataa kwa mkumbo hapa huwezi kua sahihi, humo makanisani au misikitini mbona wengi tu wanaenda kama desturi tu.

kila mtu anajua sababu zake zilizomfikisha conclusion aliyofikia, hizi discussion ninkuchangamsha genge tu,
Mkuu wenye kuamini kila siku wanaelezewa ila wasioamini huwa hawajui kuwa huko nako kuna kufuata mkumbo, wengi wanadhani kutokuamini Mungu kiujumla ni jambo la watu wenye uelewa mpana wa mambo, watu wenye fikra huru sana na kibaya wanaenda kuifanya sayansi kuwa ndio kama dini kwao ambapo wanazua tatizo lengine la kuwafanya kupinga kila kitu ambacho et hakina ushahidi wa kisayansi.

Kwahiyo mkuu siku zote makosa ya wengine tu hayatoshi kukufanya wewe ndio kuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom