God's time is a myth, The strategy of redundancy

God's time is a myth, The strategy of redundancy

Mungu muweza wa yote alishindwa Nini kukuumba ukiwa Hauna tamaa !? Huo uweza wake wa yote uko wapi kama alishindwa kukuumba ukiwa Hauna Tamaa !?

Wafia dini bwana mna drama sana

sio drama wala ni misingi na kanuni ya imani hatujaifia dini tu tumeoza kabisa tunachipua kila tunapotupwa na kudhalauriwa sisi ni mbege,karibu rafiki sema nini hujaamua tu kumjua Mungu umebaki na kuona wakisema watu hibi basi na wewe unaegemea kwenye hoja zao
 
🤣🤣🤣 Hapo hauja mix na maumivu ya wanao pigana vita huko sijui Iran sijui Ukraine!? Na mungu yupo tu

Halafu Hawa believers wake wanatuambia kwamba ana upendo Kwa wote !?

Mungu ni mchongo
😂😂😂😂😂😂Daaah alafu nimefunga hapa an tumboni naona kabisa hakuna ushilikiano
 
Hizo credit nazikataa mkuu,

Sipambanii kua sahihi,

Nimekuuliza
Mkuu umegoma kuweka wazi msimamo wako au unachoamini na kusema ni jambo binafsi na si kitu muhimu ila hapo unakazana kuniuliza swali lenye kuhusu dini ninayoamini. Halafu nikisema unaogopa kutaja msimamo wako ila unataka kukosoa misimamo ya wenzako tu na kuamini kufanya hivyokunakufanya wewe kuwa sahihi unakataa.
 
  • Thanks
Reactions: Lax

poa mkuu
 
People have been sold a lie that sounds like a comfort but acts like a cage: "God’s time is the best." It is time to ask the uncomfortable question: If time is a human measurement, why are we waiting for a celestial clock to fix our earthly problems?

1. The Oppressor’s Clock
History tells a clear story. The empires that enslaved, the colonizers who looted, and the corporations that exploit today never waited for "God’s time." They operated on Human Time:
* They strategized.
* They planned.
* They executed.
While they were building ships and mapping resources, they taught the oppressed to close their eyes and wait for a miracle. They convinced us that our suffering was just a "season" and that "God knows best." This wasn't Theology, it was a diversion.

2. A Justification for Failure.
"God’s time" is the ultimate excuse for systemic failure.
* When the hospitals lack equipment? "God’s time."
* When the leaders are corrupt and the youth are jobless? "God’s time."
* When the insecurity takes more lives? "God’s time."

Reality doesn't respond to wishes; it responds to force and effort. Countries with low corruption and high security didn't find a "faster" God; they built better systems. They realized that nature only recognizes the time of the man who acts.

3. The Religious "Heads I Win, Tails You Lose".
Religion has built a perfect system of justification where it can never be wrong:
* You pray and nothing happens? "God’s time is the best." (You stay redundant).
* You pray and the worst happens? "God knows best." (You stay passive).
* You work hard, study, pass your exam, and succeed? "God is great, there’s nothing He cannot do!" (You give away the credit for your own sweat).

4. Enough is Enough.
The real "miracle" happens the very second a human being says "Enough." Real change doesn't manifest when the sky opens; it manifests when the people stand up. There is no "God’s time" for justice. There is only the time when you stop praying for a better life and start planning one.

Stop waiting for God’s time, that doesn't exist. The only time that matters is the time you have in your hands.

I'm out.
📌Planet Data bundles was Here
 
Wakati waongo wanaandika bibilia hawakujua kama kulikuwa na sayari zingine tofauti na Dunia 😂. Teknolojia inawaumbua.

Wao walichokuwa wanakijua ni mbingu (juu mawinguni) na Dunia (nchi) maana vilikuwq vinaonekana.

Ndiyo maana kwenye bibilia sijawahi kukutana na msamiati kama zuhura, zebaki, sumbula n.k.

Nyambafu sana wale wazee walioleta habari mungu.

Ila wewe mtu una vituko teh
 
Kwanini unasema Mungu hayupo aliyakuwa haujui Kila kitu kina chanzo chake.
 
Kwanini unasema Mungu hayupo aliyakuwa haujui Kila kitu kina chanzo chake.
Kama kila kitu kina chanzo chake, chanzo cha huyo Mungu ni nini?

Usiseme Mungu hana chanzo, halafu unaanza kuweka ulazima wa kila kitu kina chanzo chake.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo chake, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo chanzo. Ikiwemo huyo Mungu.

Kusema kwamba, kila kitu kina chanzo lakini Mungu hana chanzo ni kufanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.

The special pleading fallacy is an informal logical fallacy where someone claims an exception to a general rule or principle without providing adequate justification.

It essentially applies a double standard, exempting a specific case (often the speaker’s own) from the same critical criteria used for others.
 
God is real mkuu
 
God is real mkuu
Unajua Mungu angekuwa real, wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake.

Mabishano haya kuhusu uwepo wake wala yasingekuwepo kabisa.

Mabishano kuhusu uwepo wa Mungu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hayupo.

Huyo Mungu angekuwepo, wala kusingekuwa na maswali kuhusu uwepo wake.
 
Mtazamo mwengine, kama kweli hayupo hadi leo kungekuwa hakuna tena haya mabishano maana kutokuwepo kwake kungekeshaonekana wazi kabisa kusingekuwa tena na sababu za watu kusema yupo.
 
Ipo siku utakuwa kwenye kitanda, unapitia maumivu na kumwomba Mungu akusaidie
 
Ipo siku utakuwa kwenye kitanda, unapitia maumivu na kumwomba Mungu akusaidie
Uwepo wa maumivu ni uthibitisho tosha kwamba Mungu wa kusaidia watu hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, hata maumivu yasingekuwepo.

Hakuna Mungu.
 
Back
Top Bottom