God's time is a myth, The strategy of redundancy

Mkuu wenye kuamini kila siku wanaelezewa ila wasioamini huwa hawajui kuwa huko nako kuna kufuata mkumbo, wengi wanadhani kutokuamini Mungu kiujumla ni jambo la watu wenye uelewa mpana wa mambo, watu wenye fikra huru sana na kibaya wanaenda kuifanya sayansi kuwa ndio kama dini kwao ambapo wanazua tatizo lengine la kuwafanya kupinga kila kitu ambacho et hakina ushahidi wa kisayansi.

Kwahiyo mkuu siku zote makosa ya wengine tu hayatoshi kukufanya wewe ndio kuwa sahihi.
Najiuliza tu hawa non believers wasio na elimu yoyote wana defend vipi point zao🤔
 
Mkuu wenye kuamini kila siku wanaelezewa ila wasioamini huwa hawajui kuwa huko nako kuna kufuata mkumbo, wengi wanadhani kutokuamini Mungu kiujumla ni jambo la watu wenye uelewa mpana wa mambo, watu wenye fikra huru sana na kibaya wanaenda kuifanya sayansi kuwa ndio kama dini kwao ambapo wanazua tatizo lengine la kuwafanya kupinga kila kitu ambacho et hakina ushahidi wa kisayansi.

Kwahiyo mkuu siku zote makosa ya wengine tu hayatoshi kukufanya wewe ndio kuwa sahihi.
Upo biased sana, mkuu wasio amini ambao wewe unawaona kama wanajifanya wanaakili sana hiyo ni "subjective" kuna mikoa ukiingia watu hata hawana habari kama kuna kwaresma wala ramadhani na mwaka huu zote zipo kwa pamoja na ni watu wasio na elimu yoyote ya kueleweka.

ike documentary nimekutajia siku ile umeicheki?

Mimi nakugusia hapa kwamba framework ys kwenda mbinguni ni ngumu.

na kuuliza kwa mara ya pili , naamini we muumini wa abrahamic dini moja wapo, watu tofauti na wewe (kidini) wawe wema na wachamungu kuliko wewe na wamesikia habari za dini yako ila wameendelea na dini yao kicha ya nia njema yao, kwa mujibu wa dini yako hawaendi kula kiberiti?
 
Hao believers ambao mtandaoni wanaingiza wenzao chaka , kwa mujibu wako
Huyo hakumuelewa poor brain, alichanganywa tu na atheists ila hakuongea negativity yoyote! Na hata kama akikosea kutubu kupo! Akishupaza shingo lazima ivunjike🤗
 
Okay,

kwahiyo akitubu hata kama kuna watu aliwazamisha, wake watu kiberiti yeye safi?
 
😁😁 Hii reasoning Yako mbona inazidi kumfanya huyo mungu wenu aonekane ni wamchongo zaidi ,

Maandiko yenu yanasema mungu wenu ni mkuu ni muweza wa yote and blaaa blaaa kibao

Kama kweli ni muweza wa yote alishindwa kutambua kwamba binaadamu atakaye muumba atashindwa kufuata maagizo yake !? Kwanini atumie muda wake kuumba kiumbe ambacho kitakuja kukataa kufuata maagizo yake wakati ana uweza wa yote na kutambua kwamba hiki kiumbe Niki kiumba kitakuja kupinga amri zangu,

Na kutolea Mfano wewe kama namna ulivyotoa mfano hapo Kwa Mwanaume aliye msomesha mwanamke! So do you think huyo mwanaume aliye mgharamia huyo mwanamke Kwa kumsomesha na kumfanyia mambo mengi ya msingi Laiti kama huyo mwanaume angelikuwa ana uweza wa yote wa kutambua kwamba endapo akimsaidia huyo mwanamke na kumhonga huyo mwanamke atakuja kumsaliti Je ange thubutuuu kumsaidia na kumfanyia yote hayo !?

Wewe unaweza kufanya jambo ambalo unajua kuwa litakuja kukupa hasara !?

Mbona the way mnavyo zidi kumuongelea huyo mungu wenu ni kama mtu tu ambaye Hana hizo sifa mnazo mpa na kama sometimes ana bet tu katika maamuzi yake !?

Yaani uwe na uweza wa kujua yote yaliyopo na yajayo and still ufanye kitu ambacho Hakitokuwa na sifa za ukamilifu Ambacho kitakuja kukukana na !? Kwa kweli Mungu wenu anastaajabisha sana
Anastaajabisha na kusikitisha sana

'hapo mwanzo Mtu aliumba Mungu kwa mfano wake'
 
Okay,

kwahiyo akitubu hata kama kuna watu aliwazamisha, wake watu kiberiti yeye safi?
Ndio kwa kumaanisha Mungu atamfungua tu, na hao wengine wataipata njia kwa namna tofauti tofauti tu.. lakini kama ni kwa majaribio sahau!
 
Upo biased sana, mkuu wasio amini ambao wewe unawaona kama wanajifanya wanaakili sana hiyo ni "subjective" kuna mikoa ukiingia watu hata hawana habari kama kuna kwaresma wala ramadhani na mwaka huu zote zipo kwa pamoja na ni watu wasio na elimu yoyote ya kueleweka.

ike documentary nimekutajia siku ile umeicheki?

Mimi nakugusia hapa kwamba framework ys kwenda mbinguni ni ngumu.

na kuuliza kwa mara ya pili , naamini we muumini wa abrahamic dini moja wapo, watu tofauti na wewe (kidini) wawe wema na wachamungu kuliko wewe na wamesikia habari za dini yako ila wameendelea na dini yao kicha ya nia njema yao, kwa mujibu wa dini yako hawaendi kula kiberiti?
Wewe msimamo wako ni upi? Au unachoamini wewe ni kipi? Mimi nishasema naamini Mungu,dini, na vitabu vya dini. Kwa sababu naona kutwa unazungumzia kibiriti tu.
 
yani nimekusikia maoni yako

🤣 tuishie hapa mkuu
Kwahiyo mkuu wewe hautaki kujulikana msimamo wako ni upi ila unataka kukosoa vitabu vya dini na imani ya Mungu?

Usiogope kueleza msimamo wako mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax

MKuu , hata wewe sijataka kukuuliza upo pande , zaidi ya kupitia majadiliano nimebaini upo katika moja ya abrahamic,

Mimi nipo pande gani hilo swali siwezi jibu maana hua naona ni kitu binafsi sana, na infact haina maana yeyote ile kuweka wazi

Huwezi kusema naogopa kueleza msimamo wangu upo wapi na wakati huohuo unasema nataka kukosoa vitabu vya dini na kukataa imani ya mungu.

Kama kumbukumbu zangu zuko sawa kwenye uzi huu nilikua najaribu kukusaidia kuelewa hoja za atheists ni zipi na tukaendelea kwenye mjadala wa hapa na pale kwa sababu umesema na wewe japo ni muumini ila ni mdau wa fikra huru

kUotea upande hata wewe nawsza sema nimeshaotea upo upande gani (na naweza nikawa nimekosea pia)

Sasa huku mwisho nimeona kama umeanza kukataa mifano ya kufikirika, sasa mjadala si unakua umeisha automatically mkuu
 
Mifano ipi hiyo ya kufikirika ambayo nimeikataa?

Sema mkuu nitarudia kusema kwamba kukosoa tu wengine hakukufanya wewe kuwa sahihi. Ni msemo tu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mifano ipi hiyo ya kufikirika ambayo nimeikataa?

Sema mkuu nitarudia kusema kwamba kukosoa tu wengine hakukufanya wewe kuwa sahihi. Ni msemo tu.

Hizo credit nazikataa mkuu,

Sipambanii kua sahihi,

Nimekuuliza
Mimi nakugusia hapa kwamba framework ys kwenda mbinguni ni ngumu.

na kuuliza kwa mara ya pili , naamini we muumini wa abrahamic dini moja wapo, watu tofauti na wewe (kidini) wawe wema na wachamungu kuliko wewe na wamesikia habari za dini yako ila wameendelea na dini yao kicha ya nia njema yao, kwa mujibu wa dini yako hawaendi kula kiberiti?
 
Ndio mlivyo jaza ujinga huko Kwa kutiwa vitisho , hakuna kwenda kujionea mwenyewe wewe subiri ufe tu ugeuke kuwa Natural resources uwanufaishe viumbe hai watakao kuwa wanaishi katika nyakati hizi mambo mengine ni kudanganyana 🤣
natural resources Dunia ya baba Yako hii?
Yaani uletwe Duniani alafu uachwe hivi hivi.
Mwenye mwili wake yupo acha kujidanganya
 
😁😁 Hii reasoning Yako mbona inazidi kumfanya huyo mungu wenu aonekane ni wamchongo zaidi ,

Maandiko yenu yanasema mungu wenu ni mkuu ni muweza wa yote and blaaa blaaa kibao

Kama kweli ni muweza wa yote alishindwa kutambua kwamba binaadamu atakaye muumba atashindwa kufuata maagizo yake !? Kwanini atumie muda wake kuumba kiumbe ambacho kitakuja kukataa kufuata maagizo yake wakati ana uweza wa yote na kutambua kwamba hiki kiumbe Niki kiumba kitakuja kupinga amri zangu,

Na kutolea Mfano wewe kama namna ulivyotoa mfano hapo Kwa Mwanaume aliye msomesha mwanamke! So do you think huyo mwanaume aliye mgharamia huyo mwanamke Kwa kumsomesha na kumfanyia mambo mengi ya msingi Laiti kama huyo mwanaume angelikuwa ana uweza wa yote wa kutambua kwamba endapo akimsaidia huyo mwanamke na kumhonga huyo mwanamke atakuja kumsaliti Je ange thubutuuu kumsaidia na kumfanyia yote hayo !?

Wewe unaweza kufanya jambo ambalo unajua kuwa litakuja kukupa hasara !?

Mbona the way mnavyo zidi kumuongelea huyo mungu wenu ni kama mtu tu ambaye Hana hizo sifa mnazo mpa na kama sometimes ana bet tu katika maamuzi yake !?

Yaani uwe na uweza wa kujua yote yaliyopo na yajayo and still ufanye kitu ambacho Hakitokuwa na sifa za ukamilifu Ambacho kitakuja kukukana na !? Kwa kweli Mungu wenu anastaajabisha sana

bado upo na hii mada hearly 😜 sawa mkuu we zijibu tu ingawa tulishapita huku na tukakubaliana Mungu Mwenyezi ndiyo Mungu baba awezae yote hakuna linalomshinda
 
Back
Top Bottom