God's time is a myth, The strategy of redundancy

God's time is a myth, The strategy of redundancy

Hakuna sehemu nime muaminisha mtu Mungu hayupo.

Una uhuru wa kuamini chochote hata jiwe, mti, mlima n.k

Mimi naonyesha contradictions zilizopo katika suala la kuamini uwepo wa Mungu.

Nimekuwekea contradictions za huyo Mungu bado unazikataa tu, kutetea imani ya huyo Mungu.
View attachment 3547462
Mungu ambaye ni "perfect" angekuwepo, kusingekuwa na hizi contradictions.

Contradictions zipo, lakini bado mnatetea Mungu wenu ni perfect, mara ni muweza wa vyote, mara ana upendo na huruma.

Contradictions mnaziona, lakini mnapiga mikausho tu. Mnatetea hivyo hivyo kibishi bishi.
We ungesema tu Kuna Mungu alafu kuna Mungu wa biblia uamze kujipinga mada
 
Kauli yenye hitimisho ya kwamba hakuna Mungu, haina sapoti hata ya sayansi na ndio maana nasema walitakiwa kusema tu kuwa hadi sasa hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu. Hauwezi kufanya kukosekana kwa uthibitisho wa kuwepo kitu kuwa ndio uthibitisho wa kutokuwepo hicho kitu.
Wakikuuliza sasahivi huyo Mungu wa kweli ni yupi atawatajia nani?
 
Tatizo sio hilo bali tatizo ni kukosekana kwa ushahidi wa kuwepo kitu kufanya kuwa ndio uthibitisho wa kutokuwepo hicho kitu.
Tutajuaje kwamba hiki hakipo kwasababu ni kweli hakipo au kipo ila umekosekana tu uthibitisho wa ku prove kipo?
 
Kauli yenye hitimisho ya kwamba hakuna Mungu, haina sapoti hata ya sayansi na ndio maana nasema walitakiwa kusema tu kuwa hadi sasa hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu. Hauwezi kufanya kukosekana kwa uthibitisho wa kuwepo kitu kuwa ndio uthibitisho wa kutokuwepo hicho kitu.
Tutajuaje kwamba hiki hakipo kwasababu ni kweli hakipo au kipo ila umekosekana tu uthibitisho wa ku prove kipo?
 
Kama kila kitu kiliumbwa na Mungu, Hivyo vitu vinavyo ingia tamaa viliumbwa na nani?
Sinners are part of humanity too and we have free will we can choose right and wrong 😂😂at wewe huoni Kila kituu kinapande mbili kwma +ve ND _ve
Good n bad
Tutamia hapa law of polarity
 
Kwenye masuala ya kiimani shida huwa ni kutofautiana uelewa kwenye baadhi ya masuala mbalimbali. Wengi mnafikiri kuhoji hoji hovyo ndio fikra huru.
Dini zishakamilika hizo mkuu, fikra huru sjajua we unapozitoa alafu bado upo humohumo
 
We ungesema tu Kuna Mungu alafu kuna Mungu wa biblia uamze kujipinga mada
Mungu wapo wengi sana kulingana na imani mbalimbali za watu duniani.

Kuna Allah, Jesus, Zeus, Krishna n.k

Kila mtu anatetea Mungu wa imani yake kwamba ndio Mungu wa kweli.

Sasa haiwezekani kuwepo utata na utofauti wa kiimani kama kweli Mungu ni mmoja.

Mungu angekuwepo kweli, angeondoa huu utata na utofauti wa kiimani.

Watu wote ulimwenguni tungemwamini Mungu huyo kwa imani moja tu. Isiyo na utata au utofauti.
 
Waseminary ni decent, hii generalization ya ajabu sana
ni kutokana na maadili aliyoyapata akiwa shuleni hilo pia utabisha?ingawa sio wote,seminari kuna discipline ya juu sana kuanzia utaratibu wao wa kusali,majukumu ya shule na ratiba zao maana kumbuka wanaandaliwa kuwa mapadri,naongea kitu nina uhakika nacho
 
Mungu wapo wengi sana kulingana na imani mbalimbali za watu duniani.

Kuna Allah, Jesus, Zeus, Krishna n.k

Kila mtu anatetea Mungu wa imani yake kwamba ndio Mungu wa kweli.

Sasa haiwezekani kuwepo utata na utofauti wa kiimani kama kweli Mungu ni mmoja.

Mungu angekuwepo kweli, angeondoa huu utata na utofauti wa kiimani.

Watu wote ulimwenguni tungemwamini Mungu huyo kwa imani moja tu. Isiyo na utata au utofauti.
Atakujibu nini zaidi ya free will mkuu
 
ni kutokana na maadili aliyoyapata akiwa shuleni hilo pia utabisha?ingawa sio wote,seminari kuna discipline ya juu sana kuanzia utaratibu wao wa kusali,majukumu ya shule na ratiba zao maana kumbuka wanaandaliwa kuwa mapadri,naongea kitu nina uhakika nacho

Ndo maana nimekwambia generalization, mambo hayo ya discipline ni story za kitambo. Tumekutana na waliosoma seminary wapo wengi tu hawafanani na hizo story mnazoweka.

Na kikubws kilichopo hapa ni mgogoro wa kiimani, wanaacha/badili imani mapadri sembuse wanafunzi wa seminary mkuu.
 
Conclusion ni free will tatizo anazunguka mno
Huoni kwamba inakua gambling, na hapo unaambiwa sahihi ni moja tu? ushafikiria mwenye nia njema ila kaangukia wrong team, kwenye dini za viberiti anaenda kula kiberiti?
 
Sinners are part of humanity too and we have free will we can choose right and wrong 😂😂at wewe huoni Kila kituu kinapande mbili kwma +ve ND _ve
Good n bad
Tutamia hapa law of polarity
Kwa hiyo Mungu alidhamiria kabisa dhambi iwepo, ili tu kuonyesha free will ipo?

Mungu aliamua mabaya yawepo, kama sehemu ya free will sio?

Kwa sababu, Kama Mungu hapendi mabaya na yeye ni muweza wa vyote, angeweza kudhibiti mabaya yasiwepo tangu mwanzo.

Lakini mabaya yapo, na kama huyo Mungu hapendi mabaya, Lakini akayaacha yawepo kwa sababu ya "freewill" Haya ni MAKUSUDI ya wazi kabisa.

Ni sawa na refa wa mpira anaona kabisa mchezaji fulani yupo off-side, ila anasubiri goli lifungwe kwa makusudi kabisa, ndipo aanze mchakato wa kusuluhisha mzozo.

Wakati uwezo wa kuzuia mzozo huo usitokee ulikuwepo, kwa yeye refa kupuliza kipenga kuashiria off-side mapema kabisa.
 
Sinners are part of humanity too and we have free will we can choose right and wrong 😂😂at wewe huoni Kila kituu kinapande mbili kwma +ve ND _ve
Good n bad
Tutamia hapa law of polarity

mtumishi naona unapambania kombe Mungu hatakuacha kwa kazi ya ubalozi wa ufalme wake
 
Back
Top Bottom