God's time is a myth, The strategy of redundancy

Conclusion ni free will tatizo anazunguka mno
Kwani ili free will iwepo ni lazima mabaya yawepo?

Kwa nini freewill haiwezi kuwepo bila kuwapo kwa mabaya?

Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuweka freewill pasipo mabaya?
 
Ndo maana nimekwambia generalization, mambo hayo ya discipline ni story za kitambo. Tumekutana na waliosoma seminary wapo wengi tu hawafanani na hizo story mnazoweka.

Na kikubws kilichopo hapa ni mgogoro wa kiimani, wanaacha/badili imani mapadri sembuse wanafunzi wa seminary mkuu.
mbona unalazimisha unavyodhani,
 
Ndo maana nimekwambia generalization, mambo hayo ya discipline ni story za kitambo. Tumekutana na waliosoma seminary wapo wengi tu hawafanani na hizo story mnazoweka.

Na kikubws kilichopo hapa ni mgogoro wa kiimani, wanaacha/badili imani mapadri sembuse wanafunzi wa seminary mkuu.
mgogoro wa kiimani unayo wewe
 
Ndo maana nimekwambia generalization, mambo hayo ya discipline ni story za kitambo. Tumekutana na waliosoma seminary wapo wengi tu hawafanani na hizo story mnazoweka.

Na kikubws kilichopo hapa ni mgogoro wa kiimani, wanaacha/badili imani mapadri sembuse wanafunzi wa seminary mkuu.
Kwanza waseminary wengi ni wahuni balaa.

Mimi nakwambia live, hata ishu za ushoga Seminarini zipo.

Huku nje watu wanadhani Seminarini hakuna uhuni, ila upo vizuri tu.
 
Kwani ili free will iwepo ni lazima mabaya yawepo?

Kwa nini freewill haiwezi kuwepo bila kuwapo kwa mabaya?

Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuweka freewill pasipo mabaya?
Anguko lilipoanzia ndipo ubaya ukaanza! Umechagua tu kutokubali kwa kuweka maswali mengi mengi!

Kila kitu ukiamua kukichambua namna hii utaona hakina maana!
 
upo sahihi kabisa
Eti mkuu ukipewa mwanamke/ndoa uichambue kama muheshimiwa hapo juu utatoboa kweli? Si utaona haina haja!

Watu wanavaa nguo nyingi kabati zima, lakini ukisema ukae utafakari kama kijana hapo, utaona haina haja mbona pair 3 zinatosha!
 
Anguko lilipoanzia ndipo ubaya ukaanza! Umechagua tu kutokubali kwa kuweka maswali mengi mengi!

Kila kitu ukiamua kukichambua namna hii utaona hakina maana!
Kama Mungu aliumba kila kitu perfectly,  Anguko lisingeweza kutokea hata kidogo.

Kama anguko liliweza kutokea, tayari ni dosari hiyo inayo onyesha wazi kwamba uumbaji wa huyo Mungu HAUKUWA perfectly.
 
Umechagua kutokaa ukakubaliana na hii kitu! Ata ufundishwe uchi huwezi kuelewa!

Choose ur hard!
 
anasema sio kama nina waaminisha hakuna Mungu halafu chini yake anasema kuna contradictions😂😂😂
Mungu angekuwepo kweli, Kusingekuwa hata na haja ya kuhoji uwepo wake.

Kusingekuwa hata na utata wa kiimani. Mara Allah ndio Mungu wa kweli, mara Yesu ndio Mungu wa kweli mara Krishna ndio Mungu wa kweli. Wagiriki watakwambia Zeus ndio Mungu wa kweli.

Mungu mmoja wa kweli angekuwepo, angedhibiti utata huu. Na kila mtu ulimwenguni kote angejua Mungu yupo kwa uhakika kabisa bila utata na utofauti wa kiimani.

Mungu hayupo, ndio maana kuna mkanganyiko, utata na sintofahamu kuhusu uwepo wake.
 
Ni kweli kuna miungu mingi mno! Ila Mungu mkuu yupo! Anathibitika kiimani na matendo! Huwezi kumuona wala kuthibitisha kwa utakavyo! Ni ngumu sana kuprove uwepo wa Mungu kwa matakwa binafsi! Utakaa hapo hautopata majibu ya maswali yako kwa karne nyingi sana!
 
Kwanza waseminary wengi ni wahuni balaa.

Mimi nakwambia live, hata ishu za ushoga Seminarini zipo.

Huku nje watu wanadhani Seminarini hakuna uhuni, ila upo vizuri tu.
Namwambia hizo story za seminary ni za kitambo ye anasema ana-experience , ndo hawa akichaguliwa tu mtu serikalini hapo utasikia , jembe hilo mseminary, lakini nchi bado iko palepale tu na ccm yenye mbinu zilezile
 
Umechagua kutokaa ukakubaliana na hii kitu! Ata ufundishwe uchi huwezi kuelewa!

Choose ur hard!
Kukubali vitu vyenye logical contradictions, it's an insult to our intelligence.

Kukubali vitu vyenye logical inconsistency, It's an insult to our intelligence.

Kukubali vitu tu, kwa vile majority wanaamini na kukubali. Ni kufanya logical fallacy inaitwa Popularity Fallacy(Argumentum ad populum)

The popularity fallacy
(argumentum ad populum) is an informal logical error claiming that a premise is true or good simply because many people believe it or do it. Also known as the bandwagon fallacy.

It wrongly equates popularity with truth or validity, ignoring evidence in favor of widespread, but potentially wrong, consensus.
 
Ni kweli kuna miungu mingi mno! Ila Mungu mkuu yupo! Anathibitika kiimani na matendo! Huwezi kumuona wala kuthibitisha kwa utakavyo! Ni ngumu sana kuprove uwepo wa Mungu kwa matakwa binafsi! Utakaa hapo hautopata majibu ya maswali yako kwa karne nyingi sana!
Kama Mungu yupo, kwa nini unahangaika kumtetea yupo?

Huyo Mungu angekuwepo kweli wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake.

Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa Mungu yupo bila utata na utofauti wa kiimani.

Mungu hayupo ndio maana wewe unakazana sana kumtetea aonekane yupo.

Mungu hayupo ndio maana mna amini tu yupo, bila kuwa na uhakika.

Mungu angekuwepo kweli kwa uhakika kabisa, Wala kusingehitajika imani ya kuamini uwepo wake.

Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa bila imani, kwamba Mungu yupo.
 
Kukubali vitu vyenye logical contradictions, it's an insult to our intelligence.

Kukubali vitu vyenye logical inconsistency, It's an insult to our intelligence.

Kukubali vitu tu, kwa vile majority wanaamini na kukubali. Ni kufanya logical fallacy inaitwa Popularity Fallacy(Argumentum ad populum)

The popularity fallacy
(argumentum ad populum) is an informal logical error claiming that a premise is true or good simply because many people believe it or do it. Also known as the bandwagon fallacy.

It wrongly equates popularity with truth or validity, ignoring evidence in favor of widespread, but potentially wrong, consensus.
Kusema kuamini Mungu yupo ni 'insult to intelligence’ ni kauli nzito sana! Lakini hiyo haikuthibitishii wewe kuwa Mungu hayupo! Atheist mnadai Mungu hana logic lakini hamthibitishi hizo contradiction halisi! Kutokuelewa kitu haimaanishi hakina logic! Na hiyo popularity fallacy, si kila kitu kinachoaminiwa na wengi ni uongo! Lazima uangalie ushahidi na si hoja, haikanushwi kwa sababu ya idadi ya waumini!

Kukubali uwepo wa Mungu si kukosa intelligence, wanasayansi na wanafalsafa wenye akili kubwa sana wameamini Mungu, intelligence haipimwi kwa kukatqa au kukubali Mungu yupo bali kwa uwezi wa kuchambua mambo kiimani!

Logic yenyew unayoiongelea haiwezi kuthibitisha au kukanusha kila kitu! Kuna vitu vya metaphysical ambavyo haviitaji reasoning beyond physical science, kusema kila kitu lazima kiwe proven empirically pia ni philosophical assumption!
 
Back
Top Bottom