secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,942
- 48,108
Sana, hadi watu waliogopa kukaa karibu yangu.Ulivyokuwa kijana ulikuwa unakijua?
Sana, hadi watu waliogopa kukaa karibu yangu.Ulivyokuwa kijana ulikuwa unakijua?
Kitu kilichoumbwa perfect kitaingiaje tamaa?ukisoma vizuri nilichoandika utagundua kama kuna kitu hujagundua ,huo ukamilifu ulikuwepo tangu awali ila sasa wanadamu ni wajuaji,
utagundua Mungu aliweka kila kitu kuwa perfect mwanzoni kabisa ,kila kitu mnakipata bustanini kila kitu kilikua free kwa kuwa alitupenda,
lakini kwa kuwa wanadamu na tamaa zao za kutaka kujiongeza na kutaka kujuwa maarifa mengi kumzidi Mungu wakala tunda lililokatazwa wakiamini lingewaongezwa maarifa kumzidi Mungu kama wewe hapo sasa unavyofanya kuamini una maarifa mengi kumzidi Mungu na kuuliza mbona hii haikua hivi au mbona vile, hapo unakuosea ndugu ukitaka kujuwa kwa ufasaa muombe roho mtakatifu uzuri umepitia seminary kama mdau mmoja amesema hapo,unauweza ukajifunza vizuri kutumia rohi ya Bwana iliyondani yako ambae ni roho mtakatifu
Religion ziko biased sana katika suala la wanawake.A
Au hao wanawake Kuna namna walikuwa wanahesabiwa tofauti😹
Mkuu naona unajaribu kunishawishi nichangie kwa kimombo 😂. Kumbuka Mimi sitaki kuonekana mjuzi humu kiasi cha kutengwa.People have been sold a lie that sounds like a comfort but acts like a cage
Mbona umetumia njia ndefu kunielewesha
Kitu kilichoumbwa perfect kitaingiaje tamaa?
Kama Mungu aliumba binadamu perfectly, wasingeweza hata kidogo kuingia tamaa.
Binadamu kuingia tamaa, kuna onyesha dosari na kasoro katika uumbaji wa Mungu.
Hence, Uumbaji wa Mungu haukuwa perfectly.
Kitu kilichoumbwa perfect kitaingiaje tamaa?huwezi jivunia mkeo anakupenda na anakutunzia utamu uwe wako tu kama jakutana na wanaume waliokuzidi wewe iwe mali iwe uhandsone iwe unavyopambana kufanikiwa kwajili yake na watoto wenu sasa akikutana na wanaokuzidi na akashinda basi hapo unasema mke wangu ananipenda hata akitongozwa anajiheshimu,
huo ni mfano sasa na ulinganisha hivi na kwa Mungu
Mungu alivyofanya ktuumba alitupenda lakini nae anataka tumpende tumtumikie tupate kurudi kwake, na sasa aliruhusu watu wake tujaribiwe ili tumuonyeshe je tunampenda ama tunachagua upande wa pili ambao ni wa giza,
hakika najua anajivunia watu wake mfano mimi Iceberg9 kwa kuwa mtiifu kwake ni simple tu
Kitu kilichoumbwa perfect kitaingiaje tamaa?
Hujajibu hili swali.
Kitu kilichoumbwa perfect kitaingiaje tamaa?
Hujajibu hili swali.
Kama kila kitu kiliumbwa na Mungu, Hivyo vitu vinavyo ingia tamaa viliumbwa na nani?nimekujibu hivi kilicho perfet hata kikijaribiwa na tamaa hakianguki basi hicho ni cha Mungu ,kitakachoingia tamaa sicho cha Mungu maana Mungu alituleta duniani tumtumikie yeye tu nasio kingine
Kama kila kitu kiliumbwa na Mungu, Hivyo vitu vinavyo ingia tamaa viliumbwa na nani?
If there is a FREE WILL, why do i have to go and EAT a food when I am HUNGRY?
Why a MAN has to EJACULATE after reaching a sexual climax, if FREEWILL exists?
Ni kwa sababu ya kujadili hizi mada kwa kukariri, kwa maana mnaona nilitakiwa kuwa napambana kuthibitisha bila ya shaka uwepo wa Mungu, kinyume na hivyo naonekana kama ni Agnostic.Basi unachanganya kuwa Agnostic tofauti na theist ambao ni upande ulipo, kitu Ambocho kina fanya hoja zako Zionekane katika mfumo wa kipopo , si mnyama wala si ndege .
Sijaona hoja yako yenye mantiki kitambo tuNi kwa sababu ya kujadili hizi mada kwa kukariri, kwa maana mnaona nilitakiwa kuwa napambana kuthibitisha bila ya shaka uwepo wa Mungu, kinyume na hivyo naonekana kama ni Agnostic.
Mkuu test, respo.., na moral growth kwa nani hasa?
Mkuu kufikiri hivi kwenye dhana ya "FREE WILL" ni ufikiri wa chini/mdogo sana, kwanini ninasema hivyo?Vyote viliumbwa na Mungu na Mungu akaruhusu tujaribiwe mkuu hii point nimeirudia sana hakika umeilewa sema bado unataka tucheze kwenye hoja hiyo hiyo,
yani sote ni wa Mungu lakini Mungu katupa uhuru tuchague wenyewe wapi panatufaa ili watu wake watakamchagua watadhihirisha wanampenda,kuna andiko linasema yesu akawambia atakae nifuata mimi na ajikane ....umesikia hiyo kumbe kumfuata Mungu lazima ujikane uache mambo yako machafu yasiompendeza nk
Kwani hapo nimemaanisha nini🤣🤣Mkuu naona unajaribu kunishawishi nichangie kwa kimombo 😂. Kumbuka Mimi sitaki kuonekana mjuzi humu kiasi cha kutengwa.
Nina uhakika sana na ninachokiamini na ndio maana sio shida kwangu hiyo hoja ya kwamba hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu, nimekuwa nikieleza kwamba watu hatuamini kwa kutumia uthibitisho. Naelewa suala la Mungu ni la kiimani na ndio msingi mkuu, kama Mungu angetaka uwepo wake utambulike na kila kiumbe bila kuacha shaka kwa namna yeyote basi angefanya hivyo.Theist na unaamini dini , ila una uliza maswali ya Agnostic hauna uhakika wa unachokiamini
Sijui maana CHAT GPT wangu nilimtukana wakanipiga ban, na sasa Kila nikijaribu kutafuta msaada wa kutafsiriwa habari kutoka kiingereza kwenda Kiswahili nakwama.Kwani hapo nimemaanisha nini🤣🤣