Godoro kutoka mombasa kuja tanga

Godoro kutoka mombasa kuja tanga

Ati tikiti!!..umenikumbusha zamani,kiswahili ni tiketi mkuu
Kiswahili ni tikiti, tiketi ni kiingereza.

Tofautisha kuna tikiti na tikiti maji
Unapoenda kulipa nauli kwenye basi la safari ile sijui ndo stakabadhi ile huitwa tikiti
 
Mh lipige bei hafu uwatumie hela wanunue jipya mkuu
 
Tiketi,ndivyo tuitavyo tangu tunaingia majumba ya cinema miaka ya 80
Basi hivyo unavyoita sio kiswahili fasaha ni TIKITI, hiyo tiketi watu wameitoa kwenye lugha ya Muingereza Ticket kwa hiyo Mswahili akaunga humo humo tiketi lakini Kiswahili fasaha ni TIKITI
 
Basi hivyo unavyoita sio kiswahili fasaha ni TIKITI, hiyo tiketi watu wameitoa kwenye lugha ya Muingereza Ticket kwa hiyo Mswahili akaunga humo humo tiketi lakini Kiswahili fasaha ni TIKITI
Tikiti imetoka kwenye tikcketi,kama tisheti na t-shirt,shati na shirt
 
Back
Top Bottom