Wadau niko na mattress natak iende tanga niko mombasa vip naweza kusafiri nayoo sio mpya ni ya kitamboo kidogo jeee nafanyajeee ifike tanga nikawape ndugu zangu ni godoro la 5 ×6
Sasa kigodoro kilichoisha cha kazi gani mkali?Halina kunguni mkali
Nenda wanakoshusha mbao huko bamburi au bandarini wanakoshusha chai na kopa hauwezi kukosa malori ya kitanzania yapo mengi sana na yanayopeleka makaa ya mawe huko kaloleni na bamburi pia.Wanapatikan wap
Me nipo tz ila nakuja ganjoni soonKwann kwan wewe uko wap mzee ni dm
Ati tikiti!!..umenikumbusha zamani,kiswahili ni tiketi mkuuNenda kwenye ofisi za gari zinazokuja Tanga utakatiwa tikiti na huyo atakae kuja kupokea atajulishwa, linakunjwa linawekwa kwenye boot na linafika vizuri tu