Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Ha ha haaaa

Mdomo mrefu anaitwa polisi anaogopa eeeeeh

Akwende huko na apokee teke la usoni.. bomu viongozi wenu wana maneno ila waoga kama nini

Inaonyesha wanawategemea mazuzu muwe mnawatetea tu huku wakivunja sheria.. sasa hajui hata lipi anaitiwa maana kila wakati kuvunja sheria..

Utakuta hata labda hakuna lolote juu yake.. bali uwoga wa kuwa na makosa mengi ya makusudi anayotenda

Bomu kabisa.. nyie mashabiki wao nanyi mabomu kabisa

Ovyooooo

Kiongozi muoga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Well said walahi
Hahahaha
 
Hahahaha
0FF86676-75DA-4B3F-9039-DFA10F562350.jpeg
 
Kwa ukweli alioongea juzi ni Zitto tu anaweza kuongea vile na kuachwa.
 
Dah...isije kuwa kajipigia simu mwenyewe...maana hakuna matukio tena.....ila nasikia anapenda Sana maisha ya jela....nimesikia tu....[emoji13] [emoji13] [emoji41]
Huyu naye nadhani ile dozi ya awali imeanza kumpungua. Anatafuta tena dozi mpya itakayompa msingizi hadi akija kuzinduka ni karibia na uchaguzi 2020. Maadamu kasema yuko tayari, NI YEYE NA MUUMBA WAKE.
 
Bado tuna changamoto za kiuongozi.
Mbunge wa jimbo, waziri kivuli wa wizara ndani ya bunge. Unaitwa polisi unaanza kuwa na hofu wakati kila siku unatuimbisha jeshi lipo kwa ajili s kulinda maslahi na usalama wa raia.

Kuwa wa kwanza kuyatenda yale unayonena, umeitwa polisi nenda acha kulia lia. Unakimbilia kuanza kutafuta sympathy ya wananchi na wala hujajua unaitiwa nini. Afu hii tabia ya viongozi wakubwa wa serikali kutumia mitandao hovyo hovyo hasara zake ndo hizi yani inakua haina utofauti kati ya kiongozi na raia wa kawaida.

Status ya mbunge na waziri kivuli ni kubwa, lazima tujifunze kufanya mambo kwa weledi, nenda polisi kimya kimya au wape taharifa viongozi waandamizi wa chama chako na ikiwezekana spika wa bunge basi. Then nenda kama kitatokea chochote wananchi wataharifiwe kwa njia zilizo sahihi either kupitia msemaji wa cdma husika au katibu wa chama husika mbunge anapotokea.


Tupunguze uhuni uhuni wa social media tunapokua viongozi wakuu wa kiserikali na wananchi.
Nilikuwa sijaiona hii nondo yako man kula like tano mfululizo
 
Back
Top Bottom