silver_back
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 832
- 813
Awaambie yeye ni waziri kivuli wa mambo ya ndani.
Nenda tu wasikilize hawanashida na wewe tatizo ni maagizo kutoka juu
Mwambieni akae jimboni kwake sio mpaka atafutwe na manjaguLema atakuwa mumeo maana ratiba Zake alipo unazo wewe
Wanaomhusu wanajuaTuogope sisi wakati unayeenda wewe!!!! Ajabu sana
Itikia wito,mengine utayajua hukohuko
Hiyo tweet ina kosa lolote?,usibashiri,aitikie witoNdio maana wengine kamwe hatuwezi kufurahia huu utawala.
Tweet ya Lema kuwa ataongea tena na media baada ya kuahirisha kuongea jana na kwamba yuko teyari kubeba gharama, huenda ndio chanzo cha yote haya.
Lema ali-tweet jana kuwa swala zima la kutekwa na kupatikana kwa Mo limejaa utata na yeye kama Mbunge ataongea na kwamba yuko teyari kulipa gharama.
Wanaweza kumsafirisha kumpeleka Dar usiku huu hivyo ni bora aende amejiandaa kisaikolojia.
Hata hivyo, kwa wito wa simu,msije kushangaa akafika kituoni alafu wakakana kumuhitaji.
Anataka mkimteka tujue,maana hamkawii.Mwanaume kuitwa polisi ukaogopa huo ni u mama...mwanaume anaenda muda huo huo tena bila kutoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii.