Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Ndio maana wengine kamwe hatuwezi kufurahia huu utawala.

Tweet ya Lema kuwa ataongea tena na media baada ya kuahirisha kuongea jana na kwamba yuko teyari kubeba gharama, huenda ndio chanzo cha yote haya (sijui wameamua kumuwahi?).

Lema ali-tweet jana kuwa swala zima la kutekwa na kupatikana kwa Mo limejaa wasiwasi na yeye kama Mbunge ataongea na kwamba yuko teyari kulipa gharama.

Wanaweza kumsafirisha kumpeleka Dar usiku huu hivyo ni bora aende amejiandaa kisaikolojia.

Hata hivyo, kwa wito wa simu,msije kushangaa akafika kituoni alafu wakakana kumuhitaji.

Update kutoka MCL Digital (mwananchi online):

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema ametakiwa kujisalimisha kituo kikuu cha Polisi mkoani Arusha leo Jumapili Oktoba 21, 2018.

Akizungumza na MCL Digital leo jioni Lema amesema ametakiwa popote alipo afike polisi kabla ya nguvu kutumika kumsaka.

"Hivi sasa nipo njiani natokea Moshi kuelekea Arusha. Nimetakiwa kuripoti polisi hata kama ni usiku na sijaelezwa kuna tatizo gani," amesema.

Kabla ya kuzungumza na MCL Digital Lema kupitia ukurasa wa mtandao wake wa kijamii wa Twitter aliandika juu ya kutakiwa polisi.

“Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti kituo kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa, sijaelezwa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana, lakini nafikiri kupigania haki ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. Msiogope,” ameandika

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Ramadhani Ng'azi amesema taarifa za kuitwa Lema zitatolewa, “Kama anasema amepigiwa simu na yupo njiani anakuja basi akifika tutajua."

Amesema ofisi ya Kamanda ni taasisi hivyo taarifa kamili zitatolewa baada ya Lema kufika kama alivyoeleza.
Mungu yupo nawe sisi watumishi wa Mungu, Mungu aliye hai tuko pamoja na wewe, watashindana lakini hawatashinda.

Ukifanywà lolote tutajua ni nani kakufanya hivyo, RPC arusha ameagizwa kutoja juu.
 
''Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti kituo kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa,sijaelezwa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana,lakini nafikiri kupigania haki ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. MSIOGOPE. ''

Kuitwa kaitwa yeye halafu anasema tusiogope dah! Huyu jamaa hovyo sana pambana na hali yako unajitekenya unacheka mwenyewe, boya sana mtanyooka tuu
 
Kwa ukweli alioongea juzi ni Zitto tu anaweza kuongea vile na kuachwa.
Yaani wewe mbunge una mambo ya kike sana. Kila siku Zitto!. Hujui hiyo ni tactic (divide and rule) ambayo inafanikiwa sababu akili zenu ni fupi. Yaani ubinafsi mwingi. Yaani adui yako namba moja kila uki-comment hapa ni Zitto. Nakuhakikishia Chadema haitakaa ipate madaraka milele kwa sababu ni wabinafsi sana. Mnamchukia Zitto kuliko mnavyochukia chama tawala. Nyumba nyeupe mtaendelea kuisikia kwenye bomba..........
 
Utakuwa umekalia kigogo kwa nyuma. Subiri jamaa akichomoa ufute hiyo mbolea kwenye dhakari yake. Ni wapi nimemchukia Zitto na lini nimekuwa namtajataja Zitto? Kashikishwe ukuta mbele.
 
Akili ndogo hukimbilia matusi. Hayanisumbui kwani hunijui. Mara ngapi umeandika hapa kumponda Zitto! Na unasema huwa unamwambia face to face alivyomnafiki na kwa nini hakamatwi kama wewe (ninyi). Yani mimi niibuke tu niku_pinpoint wewe na sio mwingine.....Ningefaidika na lipi kwa mfano. Anyway, kwa mitusi yako nimegundua kumbe IQ yako ni below average......
 
Ww ni mpuuzi fulani, unajifanya una busara za kipuuzi baada ya kukupa lugha za shombo. Uliposema mimi mbunge nina mambo ya kike ulitarajia nikujibu kwa kukufanyia sala ya baba yetu? Nani kakuambia mimi ni mbunge?

Katika wajenga hoja ninaowakubali ni Zitto, ila hilo haliondoi ukweli kwamba anachozungumza hapati kashikashi kama wanavyopata wabunge wengine wa upinzani hasa cdm. Je kosa langu ni nini hapo? Kusema ukweli kuhusu mtu fulani haimaanishi kwamba unamchukia, na hata kama namchukia hiyo ni sawa kwani ndio demokrasia. Nadhani kwa kukupa lugha ya shombo siku nyingine utajifunza kujenga hoja kwa staha, kinyume na hapo jiandae kukabiliana na vitu vyenye ncha kali.
 
Una ncha kali gani wewe? Hivyo vitusi vyako uchwara kwangu ni mteremko wa se.ke.nke tu. Hata utukane tena wala sibabaiki. Endelea kutukana hii anonymous ID hadi uchoke....
 
Naona akili imekurudia sasa nguruwe jike ww. Lete kiherehere tena kama hujakaa.
 
Utakuwa umekalia kigogo kwa nyuma. Subiri jamaa akichomoa ufute hiyo mbolea kwenye dhakari yake. Ni wapi nimemchukia Zitto na lini nimekuwa namtajataja Zitto? Kashikishwe ukuta mbele.
SHUSHA HASIRA MKUU
 
Back
Top Bottom