Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Dah...isije kuwa kajipigia simu mwenyewe...maana hakuna matukio tena.....ila nasikia anapenda Sana maisha ya jela....nimesikia tu....[emoji13] [emoji13] [emoji41]
 
Unamaana vyombo vya usalama sasa hivi vinaita watu kwa simu? Namshauri asiende kabisa.
 
Afadhali sasa wanapiga na simu, ule ujinga wa kuvamia na difender kumi za polisi naona wameacha.
 
nasema siku zote wabunge wa upinzani mnawachekea sana mapolisi na viongozi wao wa ccm. hivi pale bungeni kwa nn msitumie kanuni na vifungu vya bunge kumbana wazir wa mambo ya ndani na mawaziri wenye kuhusiana na mapoolis? utakuta wabunge wa upinzani nao wanaishia tu kulalama kwenye mtandao kama sisi watu kawaida. kwa mfano mbunge wa Iringa mjini kazuiwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake kinyume cha sheria lakini yuko kimya tu analalamika kwenye mitandao. je hana namba ya kang? Hana namba ya igp .huu utoto.
 
Anatafuta kiki na siku ya kuitwa ikiwadia hatasema na kama kaitwa kweli ningekua polisi angerudi anachechemea sifa za kijinga staki
 
Back
Top Bottom