Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Zitto c alisema wakienda kumkamata watakuta bahar?
 
Si aende tu si anajiamini yeye Mandela wa bongo
 
Hivi zile issue za kukwapua magari zilikuwaga ni kweli au sound?
Ndani ya ubora wako, kukwapua magari ya watu wewe ndio unaona habari. Ila kukwapua tilioni 1.5 za wananchi wala haikuhusu, maskini kweli hamuwezi hata kuingia mbinguni.
 
Tuogope sisi wakati unayeenda wewe!!!! Ajabu sana
Lema hakuwa anakuambia wewe, alikuwa anatuambia sisi followers wake, nakushauri uwe mvumilivu na ujifunze kukaa kimya pale unapohisi meseji fulani haikuhusu,Tulio wake tunajua linatuhusu
 
We nenda bhana hata usiporud sawa tu wakuhfadhi kwa masela nyuma a nondo mie z 3 inakutosha
 
Ndani ya ubora wako, kukwapua magari ya watu wewe ndio unaona habari. Ila kukwapua tilioni 1.5 za wananchi wala haikuhusu, maskini kweli hamuwezi hata kuingia mbinguni.
Habari zinaenda na context
 
Back
Top Bottom