Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Godbless Lema: Nimepigiwa simu niripoti Kituo Kikuu cha Polisi Arusha

Bado tuna changamoto za kiuongozi.
Mbunge wa jimbo, waziri kivuli wa wizara ndani ya bunge. Unaitwa polisi unaanza kuwa na hofu wakati kila siku unatuimbisha jeshi lipo kwa ajili s kulinda maslahi na usalama wa raia.

Kuwa wa kwanza kuyatenda yale unayonena, umeitwa polisi nenda acha kulia lia. Unakimbilia kuanza kutafuta sympathy ya wananchi na wala hujajua unaitiwa nini. Afu hii tabia ya viongozi wakubwa wa serikali kutumia mitandao hovyo hovyo hasara zake ndo hizi yani inakua haina utofauti kati ya kiongozi na raia wa kawaida.

Status ya mbunge na waziri kivuli ni kubwa, lazima tujifunze kufanya mambo kwa weledi, nenda polisi kimya kimya au wape taharifa viongozi waandamizi wa chama chako na ikiwezekana spika wa bunge basi. Then nenda kama kitatokea chochote wananchi wataharifiwe kwa njia zilizo sahihi either kupitia msemaji wa cdma husika au katibu wa chama husika mbunge anapotokea.


Tupunguze uhuni uhuni wa social media tunapokua viongozi wakuu wa kiserikali na wananchi.
 
Ulitaka aandike kwa kila mtu,muda huo angeupata wapi,hara hivyo kondoo hujua sauti ya mchungaji wao,kondoo wake wamemuelewa.
Lakn hajasema kwa watakaoguswa, ameandika tu watu wote tumeona wanaoguswa na sisi tulioshikwa wote tumeona
 
Ulitaka aandike kwa kila mtu,muda huo angeupata wapi,hara hivyo kondoo hujua sauti ya mchungaji wao,kondoo wake wamemuelewa.
Kwan huo Muda wa kuandika hayo ameutoa wap, huo huo angeutumia kuandika neno tu moja kwa watakaoguswa
 
Mwanaume kuitwa polisi ukaogopa huo ni u mama...mwanaume anaenda muda huo huo tena bila kutoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii.
Waje wanikamate sio kunipigia simu niende
 
Mwanaume kuitwa polisi ukaogopa huo ni u mama...mwanaume anaenda muda huo huo tena bila kutoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii.
Je angeambiwa anapelekwa msituni kongo huko akapambane na banyamulenge?
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anatembea na dent,akapigigiwa simu aende kuna mazungumzo.

Kufika tu,moja kwa moja ndani aisee
 
Kwa nchi yenye mfumo wa vyama vingi....suala la wapinzani au wananchi kukosoa serikali ilioko madarakani ni kawaidaa sanaa.. Suala la Lema kuhitajika mahakamani ni mwendelezo wa kutofuata sheria kwa mamlaka zetu na inazidi kuongeza doa ktk utawala huu
 
Back
Top Bottom