Godbless Lema ni mwanasiasa anayejiamini mno

Binafsi yangu napenda sana WANAFUNZI na WANACHUO waandamane sana.. kwa sababu maandamano yana FAIDA kubwa kwao kuliko MASOMO yao... KWA HAKIKA WANAFUNZI WAENDELEE KUANDAMANA kwa sababu MAANDAMANO yao YATAWASAIDIA sana KUJIKOMBOA na kuzijua HAKI ZAO!!!

KWA HAKIKA WAHIMIZENI KOTE MNAKOPITA SI GL PEKE YAKE AFANYE KAZI HIYO... JITAHIDINI WOTE MUIFANYE KAZI HIYO KWA SABABU ITAJENGA TAIFA!!! NA MIAKA SITA IJAYO TUTAONA MATUNDA YAKE!!!

WAO WATAKUWA WANAKULA KUKU, WALIOANDAMANA WATAKUWA WANAFANYA TATHMINI!

Kuna mambo ya msingi.... nashangaa sana! Kazi za WATAALAMU zinafanywa na WAJINGA!

Wanaopelekwa ili wakafute UJINGA ndio wanabobea katika UJINGA! Inasikitisha lakini ni heri kupoteza WAJINGA huku tukipata WATAALAMU WACHACHE.... miaka ijayo bila kuwa na Master hutopata uwaziri wala UBUNGE! sasa sijui hawa waandamanaji wata-KIHIYO vyeti ili kukidhi matakwa ya wakati huo? au watarudia tena kusoma uzeeni?

Maskini Tanzania!

Samahani hapa nitatoa mfano:

Zamani nilipata kuambiwa, UKIONA MBWA ANABWEKA SANA, BASI JUA MBWA HUYO ANATAKA WAJUE KWAMBA YUPO!! Lakini mambo yakibadilika MBWA HUYO HUKAA KIMYA KAMA HAYUPO!

Namaanisha kwamba ni suala la muda tu kujua, kweli yu makini au kuna jingine....

Itatuchukua muda nchi hii kufika kule tunakotaka, vinginevyo hatutafika! Wacheni TUSIFIANE, na kuvikana VILEMBA VYA UKOKA.
 
Wanajamvini nilikuwa naangalia taarifa ya habari Channel 10 kuhusu sakata la dodoma nillkichokiona kwa Lema ni kuwa huyu ni mtu jasiri. Mkuu wa mkoa anasema "kuanzia sasa wanasiasa hawaruhusiwi kwenda vyuoni na kufanya shughuli za kiasiasa kwa kuwa wanasababisha vurugu na ndio maana wanafunzi wa UDOM wamejaa pale na kuletya vurugu". Lema akahojiwa akasema na "yeye hatasimama kwenda kwenye vyuo kwa kuwa si dhambi ataenda vyuo vingi tu hakuna sheria yoyote anayovunja kuongea na wanafunzi na mazingira anayoongea ni yale aliyokuwepo mkuu huyo wa mkoa ingawa watu wa TV hawakuonyesha mkuu huyo wa mkoa alikuwa wapi. anasema alikwenda UDOM kuwaambia wanafunzi waje kutoa mawazo yao kwa kuwa mswada umeandikwa kwa kiingereza na wale ni wasomi wanajua wanachangia nini. Nikasema hivi huyu jamaa akipewa uongozi wa aina yoyote sehemu anayoisimamia itakuwaje, Namkubali sana huyu jamaa ktk kuwakilisha hisia zake.Mungu amlinde

Huyu jamaa mimi namzimia sana. Hapa CHADEMA wamepata kichwa, anaongea kwa hoja, mtulivu, anasisitiza na kujiamini sana. Siku ya kwanza nilimuona kwenye TBC1 Mchakato Majimboni kabla ya uchaguzi wa 2010. nikasema huyu ni mwanasiasa wa mageuzi kwelikweli. Baada ya kusikiliza hoja zake nikwapigia jamaa zangu simu na kuwaambia huyu jamaa akishinda Ubunge nitakunywa chupa moja ya mvinyo usiotiwa chachu kwa ajili ya kushangilia. Kweli alishinda nami nikanywa chupa nzima ya mvinyo kama nilivyoahidi. Mungu amlinde na balaa, mikosi, majungu, vijicho, nk. Kuna mwingine anaitwa Mrema wa Vunjo (Siyo Lyatonga) ni wa CHADEMA naye kama angeshinda CHADEMA ingekuwa moto.
 
lema is type of mp chadema n tanzania wants, kwa jinsi ccm wanavyowafanya watanzania wajinga na mbwa, tunahitaji critical mps type of lema, mnyika, lissu, lusinde infact all chadema mps ni cream ya hatari hilo ndio tulitegemea na tunaona moto wao, big up lema, big up chadema' s leaders , big up all cdm mps mnatisha saana
 
Lema aendelee kuwatoa watanzinia katika wingu la kutojua kupitia wanavyuo.
Kweli ni ajabu kwa serikali kuweka vituo 3 kwa ajili
ya maoni. Kiini macho hiki, wa Tz tuamke. 'Nguvu ya Umma'
 
Binafsi yangu napenda sana WANAFUNZI na WANACHUO waandamane sana.. kwa sababu maandamano yana FAIDA kubwa kwao kuliko MASOMO yao... KWA HAKIKA WANAFUNZI WAENDELEE KUANDAMANA kwa sababu MAANDAMANO yao YATAWASAIDIA sana KUJIKOMBOA na kuzijua HAKI ZAO!!!

KWA HAKIKA WAHIMIZENI KOTE MNAKOPITA SI GL PEKE YAKE AFANYE KAZI HIYO... JITAHIDINI WOTE MUIFANYE KAZI HIYO KWA SABABU ITAJENGA TAIFA!!! NA MIAKA SITA IJAYO TUTAONA MATUNDA YAKE!!!

WAO WATAKUWA WANAKULA KUKU, WALIOANDAMANA WATAKUWA WANAFANYA TATHMINI!

Kuna mambo ya msingi.... nashangaa sana! Kazi za WATAALAMU zinafanywa na WAJINGA!

Wanaopelekwa ili wakafute UJINGA ndio wanabobea katika UJINGA! Inasikitisha lakini ni heri kupoteza WAJINGA huku tukipata WATAALAMU WACHACHE.... miaka ijayo bila kuwa na Master hutopata uwaziri wala UBUNGE! sasa sijui hawa waandamanaji wata-KIHIYO vyeti ili kukidhi matakwa ya wakati huo? au watarudia tena kusoma uzeeni?

Maskini Tanzania!

Samahani hapa nitatoa mfano:

Zamani nilipata kuambiwa, UKIONA MBWA ANABWEKA SANA, BASI JUA MBWA HUYO ANATAKA WAJUE KWAMBA YUPO!! Lakini mambo yakibadilika MBWA HUYO HUKAA KIMYA KAMA HAYUPO!

Namaanisha kwamba ni suala la muda tu kujua, kweli yu makini au kuna jingine....

Itatuchukua muda nchi hii kufika kule tunakotaka, vinginevyo hatutafika! Wacheni TUSIFIANE, na kuvikana VILEMBA VYA UKOKA.

hiki ulichokiandika hapa ndo kinafanya, ufikiri wewe ni msomi ama? U sound like a somniloquist, tatizo lenu nyie wajuaji ni kuwa mnafikiri ubunge ni umalaika, hizo pumba zako ni upupu tupu. For the record Walt Disney had wooden teeth. Big up Lema.
 
Vijana ndio hazina ya Taifa hili, na kwa kweli lazima tuikomboe taifa hili kutoka mikononi mwa mafisadi.

Peoples power inafanya kazi yake.
 
{1} Lema akitoa album ni habari kubwa.

{2} Lema akisema waziri mkuu kalidanganya bunge ni habari kubwa.

{3} Lema akisema atajenga machinga Complex ni habari kubwa.

{4} Lema akitoa msaada wa cements mifuko 10 ni habari kubwa.

{5} Lema akisema atajenga hospital kila kata ni habari kubwa.Hakuna kuhoji atapata wapi fedha na akitokea mtu wa kuhoji huyu ni mamluki hana uchungu na nchi yake.Blah balah kibao

Bahati mbaya namfahamu sana Lema hana lolote zaidi ya kuhamashisha fujo,ukiondoa mazingira ya fujo utabaki ukishangaa kila kitu kinawezekana Tanzania.Lema hana tofauti na Prof Majimarefu au mbunge wa Rorya.Lema ni kihiyo wa kutupwa ukitaka kuthibitisha jinsi alivyo mtupu nenda General Tyre waulize wafanyakazi waliokuwepo wakati naibu waziri wa biashara na viwanda alipofanya ziara maoni ya Lema yalimshangaza kila mtu ati anapendekeza ijengwe machinga complex badala ya kufufua kiwanda ?.Waziri Nyalandu alibaki akimshanga Lema.Mwenyekiti wa POAC Mheshimiwa Zitto alikuwepo kwenye ziara ya Nyalandu akipenda aseme ukweli mbunge mwenzake kihiyo alisema nini.Ajabu ni kwamba Lema anapokutana na vyombo vya habari anazungumza vingine katika vikao vya ndani anazungumza vingine tumweke kundi gani ?.Lema ni mnafiki hana maana ni mwanasiasa asiyewakilisha maslahi ya wapiga kura wake .Tanzania tumezoea kuwakilishwa na wanasiasa wa aina ya Lema.

ndugu,msalimie Ngongo ukimuona
 
Wanajamvini nilikuwa naangalia taarifa ya habari Channel 10 kuhusu sakata la dodoma nillkichokiona kwa Lema ni kuwa huyu ni mtu jasiri. Mkuu wa mkoa anasema <b><i>"kuanzia
sasa wanasiasa hawaruhusiwi kwenda vyuoni na <b
r />
kufanya shughuli za kiasiasa kwa kuwa wanasababisha vurugu na ndio maana wanafunzi wa UDOM wamejaa pale na kuletya vurugu&amp;quot;.&lt;/i&gt;&lt;/b&gt; Lema akahojiwa akasema na &amp;quot;yeye hatasimama kwenda kwenye vyuo kwa kuwa si dhambi ataenda vyuo vingi tu hakuna sheria yoyote anayovunja kuongea na wanafunzi na mazingira anayoongea ni yale aliyokuwepo mkuu huyo wa mkoa ingawa watu wa TV hawakuonyesha mkuu huyo wa mkoa alikuwa wapi. anasema alikwenda UDOM kuwaambia wanafunzi waje kutoa mawazo yao kwa kuwa mswada umeandikwa kwa kiingereza na wale ni wasomi wanajua wanachangia nini. Nikasema hivi huyu jamaa akipewa uongozi wa aina yoyote sehemu anayoisimamia itakuwaje, Namkubali sana huyu jamaa ktk kuwakilisha hisia zake.Mungu amlinde
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Amshukuru ****** na serikali yake kuendelea kumpa nafasi ya kutoa upupu kila wakati.Binafsi simshangai kwani ni dhambi kumuita Mwanasiasa.Yeye ni Mwanahara tu asiyefikiri zaidi ya kuropoka huku akisubiri wafuasi wake wenye caliber yake kumshabikia.Kiongozi bora hutawaliwa na busara ili kuwa na uwezo wa kuyaunganisha makundi yote.Hana la kujidai kwani Serikali ikiamua kumpoteza kisayansi kwake wala hachukui dakika.Awe na taadhari kama anahitaji kuwa Mwanasiasa bora sharti ajifunze kuwa makini.
 
Originally Posted by Kabonde
{1} Lema akitoa album ni habari kubwa.

{2} Lema akisema waziri mkuu kalidanganya bunge ni habari kubwa.

{3} Lema akisema atajenga machinga Complex ni habari kubwa.

{4} Lema akitoa msaada wa cements mifuko 10 ni habari kubwa.

{5} Lema akisema atajenga hospital kila kata ni habari kubwa.Hakuna kuhoji atapata wapi fedha na akitokea mtu wa kuhoji huyu ni mamluki hana uchungu na nchi yake.Blah balah kibao

Bahati mbaya namfahamu sana Lema hana lolote zaidi ya kuhamashisha fujo,ukiondoa mazingira ya fujo utabaki ukishangaa kila kitu kinawezekana Tanzania.Lema hana tofauti na Prof Majimarefu au mbunge wa Rorya.Lema ni kihiyo wa kutupwa ukitaka kuthibitisha jinsi alivyo mtupu nenda General Tyre waulize wafanyakazi waliokuwepo wakati naibu waziri wa biashara na viwanda alipofanya ziara maoni ya Lema yalimshangaza kila mtu ati anapendekeza ijengwe machinga complex badala ya kufufua kiwanda ?.Waziri Nyalandu alibaki akimshanga Lema.Mwenyekiti wa POAC Mheshimiwa Zitto alikuwepo kwenye ziara ya Nyalandu akipenda aseme ukweli mbunge mwenzake kihiyo alisema nini.Ajabu ni kwamba Lema anapokutana na vyombo vya habari anazungumza vingine katika vikao vya ndani anazungumza vingine tumweke kundi gani ?.Lema ni mnafiki hana maana ni mwanasiasa asiyewakilisha maslahi ya wapiga kura wake .Tanzania tumezoea kuwakilishwa na wanasiasa wa aina ya Lema.

ACHA KUDANGANYA WANAJF SIKU HIYO NILIKUWEPO UNAYO YANENA HAPA NI UONGO MTUPU, ZITTO ALIKUWA HAYUPO KWENYE ILE ZIARA, WALA LEMA HAKUGUSIA KUJENGA MACHINGA, KAULI YA LEMA ILIKUWA HII HAPA: MH. MBONA NAONA KAMA HII ISHU YA LEO YA HIKI KIWANDA UMEKUJA KISIASA ZAIDI ? ILA PLZ MIMI NITALIA NA MAFISADI WALIYO KIFISADI KIWANDA HIKI, MAANA NILIPELEKA HOJA BINAFSI KABLA HUJAJA HAPA NIMEPOKEA BARUA INAYONIAMBIA NIREKEBISHE KIFUNGU FULANI CHA HOJA YANGU, AISEE ANGALIENI MSIJE MKAWA MNATAKA KUNIFUNGA MDOMO KUHUSU HII ISHUU, SINTO KUBALI MTAIONA ARUSHA CHUNGU, MAANA NASIKIA HAWO NSSF WANATAKA HILI ENEO WAJENGE NYUMBA HAPA.

MNATAKA WANAWAARUSHA WAKAPATE AJIRA WAPI? TUSIONANE WABAYA MIMI NAWAPENDA WAPIGA KURA WANGU SINTO RUDI NYUMA KUWATETEA NITAPIGA MAANDAMANO HAPA, MTAPAONA NUKSI, MWISHO WA KUMNUKUU. SASA HAYO MANENO HAPO JUU YAMETOKA WAPI? ACHA UNAFIKI WEWE NILIYE NOTE MANENO YAKO HAPO JUU
 
Back
Top Bottom