Godbless Lema ni mwanasiasa anayejiamini mno

Huyu jamaa nimempa jina la mwanaharakati Che Guevara ..piga kazi kamanda, Viva Lema!
 
Ni kweli tuliwaazima kwa mda na imetumiwa na wafanya biashara uchwara kwa mda mwingi,saa ya ukombozi ni sasa!
 
The bomb is about to explode. The clock is ticking when these thugs CCM trying to cherkerchoore Tanzanians' rights. Bado hawajaamini kuwa ukichanganya maji na sulphur dioxide unapata Sulphuric acid. Endeleeni na hiyo experiment....majibu mtapata hivi karibuni.
 
Uko sahihi.
Huyu dogo anasumbuliwa na uelewa mdogo na kupenda ushabiki wa kijinga.
Hajui ubunge ni wadhifa wenye heshma.
Bado ana mawazo yale yale aliyokuwa nayo alipokuwa CHALII.

Ni aibu kwa Bunge letu kuwa na mwakilishi kama yeye asiyependa kufuata sheria alizotunga.

Hao wote wanaowatuma akina mchumia tumbo Tambwe Hiza wamegonga mwamba! sheria zilizotungwa na hawa manyang'anyi yanaowatuma mbona ndo ya kwanza kuzivunjwa. Kavunja sheria ipi hapo embu tueleze kama kweli unajua hizo sheria kama sio kushambikia upumbavu, ukuda na dhulumayi ya haki za watanzania! hata kama mtakuja kwa njia ipi tunajua mwisho wenu uko unakuja. Hizo sheri wanazijua na tunazijua na hakuna mtu anayefanya mambo pasipokufuata sheria ila kwa CCM tu na majeshi yenu.
 
Uko sahihi.
Huyu dogo anasumbuliwa na uelewa mdogo na kupenda ushabiki wa kijinga.
Hajui ubunge ni wadhifa wenye heshma.
Bado ana mawazo yale yale aliyokuwa nayo alipokuwa CHALII.

Ni aibu kwa Bunge letu kuwa na mwakilishi kama yeye asiyependa kufuata sheria alizotunga.

kufuata sheria zipi?Juzi kasema jamaa huyu bwana kadanganya,wenye sheria zao wakaamua kupindisha ukweli hadi ksh hakuna jibu.Je unakumbuka swaga la Zitto ilichukua cku ngapi? KISHONGOO pipoziii!!Sema pawaaaa!Go LEMA
 
Hii ndo nguzo mojawapo ya Chadema si wale wenye njaa waliojitoa Mbeya na kurudi Chama cha mafisadi CCM. Chadema tutasimamia haki ya mwananchi na si uoga na kujikomba komba kwa mafisadi hakuna mwenye haki zaidi ya mwezie sote tu wa Tanganyika na Wa Tanzania wakufikirika wenye amani ya uoga hawapo katika zama hii ya katiba mpyaa
 
RC wa dodoma hana sifa za kuongoza mkoa huo kwa sasa, maana alikuwa amezoea kuwaburuza wananchi wa dodoma na sasa dodoma ni mji uliojaa tasisi za wasomi kila kona.
 
Lema ni jembe la ukweli, kama ilivyokwisha zungumzwa na wadau. Walipokuja kufungua tawi la CDM UOA, University Of Arusha ile spirit yake ya ujasiri ilijidhihirisha kwani aliweza kuhoji na kudadisi mipaka ya VC wa UOA na kwamba yeye Lema anawezo wa kumfuta na kumhoji mkuu huyo kupata ufafanuzi wa mambo, bila woga.. Big up lema.
 
Lema ni jembe la ukweli, kama ilivyokwisha zungumzwa na wadau. Walipokuja kufungua tawi la CDM UOA, University Of Arusha ile spirit yake ya ujasiri ilijidhihirisha kwani aliweza kuhoji na kudadisi mipaka ya VC wa UOA na kwamba yeye Lema anawezo wa kumfuata na kumhoji mkuu huyo kupata ufafanuzi wa mambo, bila woga.. Big up lema.
 
wanajamvini nilikuwa naangalia taarifa ya habari channel 10 kuhusu sakata la dodoma nillkichokiona kwa lema ni kuwa huyu ni mtu jasiri. Mkuu wa mkoa anasema "kuanzia sasa wanasiasa hawaruhusiwi kwenda vyuoni na kufanya shughuli za kiasiasa kwa kuwa wanasababisha vurugu na ndio maana wanafunzi wa udom wamejaa pale na kuletya vurugu". lema akahojiwa akasema na "yeye hatasimama kwenda kwenye vyuo kwa kuwa si dhambi ataenda vyuo vingi tu hakuna sheria yoyote anayovunja kuongea na wanafunzi na mazingira anayoongea ni yale aliyokuwepo mkuu huyo wa mkoa ingawa watu wa tv hawakuonyesha mkuu huyo wa mkoa alikuwa wapi. Anasema alikwenda udom kuwaambia wanafunzi waje kutoa mawazo yao kwa kuwa mswada umeandikwa kwa kiingereza na wale ni wasomi wanajua wanachangia nini. Nikasema hivi huyu jamaa akipewa uongozi wa aina yoyote sehemu anayoisimamia itakuwaje, namkubali sana huyu jamaa ktk kuwakilisha hisia zake.mungu amlinde

huyu siyo mwanasiasa shujaa ni mwanasiasa limbukeni,katika kila nchi siasa inapotumiwa kuwaanda watu kutotii sheria na kudhalau mamlaka matokeo yake ni madhala makubwa kwa raia na faida kwa wanasisa,wewe mshangilie kwa kuwa unazani chadema leo wako nje ya utawala,kesho wakiwa madarakani na haya yakaendelea watauwa waatu kutaka kutawala kirahisi.jifunze kutafakali kabla hujampongeza mtu na ushabiki siyo lazima umpongeze hata mjinga.
 
Zile zama za zidumu fikra sahihi mwenyekiti..! zilikwishapita, Huyu mkulu wa mkoa asidhani anavyoiendesha familia yake ndo na mkoa aufanyie hivyohivyo, shenzi kabisa.. Lema endeleaaaaaaa
 
huyu siyo mwanasiasa shujaa ni mwanasiasa limbukeni,katika kila nchi siasa inapotumiwa kuwaanda watu kutotii sheria na kudhalau mamlaka matokeo yake ni madhala makubwa kwa raia na faida kwa wanasisa,wewe mshangilie kwa kuwa unazani chadema leo wako nje ya utawala,kesho wakiwa madarakani na haya yakaendelea watauwa waatu kutaka kutawala kirahisi.jifunze kutafakali kabla hujampongeza mtu na ushabiki siyo lazima umpongeze hata mjinga.

Tizama hili lipumbavu, ni siasa ipi iliyo2mika kuwandaa wa2 kutotii sheria na mamlaka? Lema kawaambia wanachuo wajitokeze kushiriki mchakato wa katiba kutokana na nafasi yao kama wasomi.. Wewe unasema anawandaa kutokutii sheria na mamlaka.. Ni mamlaka ipi unayoizungumzia, em acha upupu wako.. Kama vp kaa kimya.
 
Alama za nyakati duniani kote kwa sasa zinasema 'MABADILIKO' taka tusitake matakwa ya wananchi kwa sasa ndio yafanyiwe kazi. CDM WAMEGUNDUA HILO. CCM wanalijua ila wanalifumbia macho sababu mfumo wao hauruhusu mabadiliko. Ukweli ni kuwa waelewa na wasomi watumikie Taifa na kusikilizwa sio wapiga propaganda waliokimbia umande kama Tambwe Hiza. Lema ni mmoja wa wale wanaosoma alama za nyakati na kuzitafsiri hasa. CCM wasilalamike kupingwa na wasomi hilo litaendelea sana tu hadi itakapowageukia na kuwapa kipaumbele. VINGINEVYO NI ANGUKO KUU TU.
 
Tunakaribia kufika, Lema na makanda wote wa CDM kaza buti, hakuna kulala mpaka kieleweke!
 
Tunakaribia kufika nichukue fulsa hii kuwasihi makamanda wote wa CDM tuzidi kukaza buti, na huu upupu unaoletwa na hawa makada wa ccm, anguko lake litakuwa kuu na dunia itashangaa! Mungu ibariki Tanzania na makamanda wote nchini.. CDM endeleaaaaaaaaa.
 
{1} Lema akitoa album ni habari kubwa.

{2} Lema akisema waziri mkuu kalidanganya bunge ni habari kubwa.

{3} Lema akisema atajenga machinga Complex ni habari kubwa.

{4} Lema akitoa msaada wa cements mifuko 10 ni habari kubwa.

{5} Lema akisema atajenga hospital kila kata ni habari kubwa.Hakuna kuhoji atapata wapi fedha na akitokea mtu wa kuhoji huyu ni mamluki hana uchungu na nchi yake.Blah balah kibao

Bahati mbaya namfahamu sana Lema hana lolote zaidi ya kuhamashisha fujo,ukiondoa mazingira ya fujo utabaki ukishangaa kila kitu kinawezekana Tanzania.Lema hana tofauti na Prof Majimarefu au mbunge wa Rorya.Lema ni kihiyo wa kutupwa ukitaka kuthibitisha jinsi alivyo mtupu nenda General Tyre waulize wafanyakazi waliokuwepo wakati naibu waziri wa biashara na viwanda alipofanya ziara maoni ya Lema yalimshangaza kila mtu ati anapendekeza ijengwe machinga complex badala ya kufufua kiwanda ?.Waziri Nyalandu alibaki akimshanga Lema.Mwenyekiti wa POAC Mheshimiwa Zitto alikuwepo kwenye ziara ya Nyalandu akipenda aseme ukweli mbunge mwenzake kihiyo alisema nini.Ajabu ni kwamba Lema anapokutana na vyombo vya habari anazungumza vingine katika vikao vya ndani anazungumza vingine tumweke kundi gani ?.Lema ni mnafiki hana maana ni mwanasiasa asiyewakilisha maslahi ya wapiga kura wake .Tanzania tumezoea kuwakilishwa na wanasiasa wa aina ya Lema.
 
LEMA,hakuja chuoni bali alifika kijiji cha ng'ong'ona kinapakana na udom,japo kuwa aliwahimiza vijana kwenda kujadili muswada,hata hivyo wanafunzi walipata taarifa kupitia TBC1,kwamba wananchi wa mkoa wa dodoma wanapaswa kufika ukumbi wa Pius Msekwa kujadili rasimu ya katiba.kama wana mlaumu lema basi wailaumu na TBC kutoa matangazo hayo.pia mkiuu wa mkoa hapaswi kusema wanafunzi wa Udom kwani walikuwa wanafunzi wa vyuo vya Dodoma na wananchi wa mkoa wa dodoma.
 
{1} Lema akitoa album ni habari kubwa.

{2} Lema akisema waziri mkuu kalidanganya bunge ni habari kubwa.

{3} Lema akisema atajenga machinga Complex ni habari kubwa.

{4} Lema akitoa msaada wa cements mifuko 10 ni habari kubwa.

{5} Lema akisema atajenga hospital kila kata ni habari kubwa.Hakuna kuhoji atapata wapi fedha na akitokea mtu wa kuhoji huyu ni mamluki hana uchungu na nchi yake.Blah balah kibao

Bahati mbaya namfahamu sana Lema hana lolote zaidi ya kuhamashisha fujo,ukiondoa mazingira ya fujo utabaki ukishangaa kila kitu kinawezekana Tanzania.Lema hana tofauti na Prof Majimarefu au mbunge wa Rorya.Lema ni kihiyo wa kutupwa ukitaka kuthibitisha jinsi alivyo mtupu nenda General Tyre waulize wafanyakazi waliokuwepo wakati naibu waziri wa biashara na viwanda alipofanya ziara maoni ya Lema yalimshangaza kila mtu ati anapendekeza ijengwe machinga complex badala ya kufufua kiwanda ?.Waziri Nyalandu alibaki akimshanga Lema.Mwenyekiti wa POAC Mheshimiwa Zitto alikuwepo kwenye ziara ya Nyalandu akipenda aseme ukweli mbunge mwenzake kihiyo alisema nini.Ajabu ni kwamba Lema anapokutana na vyombo vya habari anazungumza vingine katika vikao vya ndani anazungumza vingine tumweke kundi gani ?.Lema ni mnafiki hana maana ni mwanasiasa asiyewakilisha maslahi ya wapiga kura wake .Tanzania tumezoea kuwakilishwa na wanasiasa wa aina ya Lema.

Kwa hiyo unashauri kuwa mjadala ualike wale wazee wa Dar es Salaam waliozungumza na Mh.Rais kuhusu mgogoro wa Wafanyakazi na Serikali. Sijui huwa wanapatikana vipi wale wazee wasiohoji, na kupelekea Mh.Raisi kupata aibu kubwa. Mimi nafikiri kweye hili tusimbeze Mh.Lema, kama tunampinga kwenye hili basi ongelea hoja husika na usituletee historia tusiokuwa na ushahidi nayo. Je, wewe uliridhika na jinsi mjadala ulivyoandaliwa? Unafikiri kama katiba itapatikana kutokana na mchakato mbovu itakuwa ya manufaa? Na kama si ya manufaa, unafikiri athari zake hazitakugusa wewe na vizazi vijavyo? Lazima ukiri watu wa logistics hawakufanya kazi yao, na kama walifanya basi walikusudia jambo lao.
 
Back
Top Bottom