Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Status
Not open for further replies.
Mafarisayo, na wakuu wa Kiyahudi waliwahi mpelekeaYesu mwanamke aliyekamatwa akizini ili amuhukumu. Yesu akawasikiliza akauliza ana tatizo gani wakasema wamemkamata akizini na wanataka amhukumu kwa sheria za Kiyahudi. Yesu akaandika maandishi ardhini kwa kidole kisha akasimama na kuwaambia" ASIYEKUWA NA DHAMBI MIONGONI MWENU NA AWE WA KWANZA KUMPIGA KWA MAWE". Kilichotokea ni kwamba kila mmoja alianza mbele kuanzia mdogo hadi mkubwa na kumwacha yule mwanamke peke yake. Hapa nina maana gani wana JF? wote wanaojidai kutaka kutoa data za Lema ili tu aonekane mhalifu ni wanafiki wakubwa na in essence hawajui watendalo. Nasema hivi kwa sababu hebu kila mmoja ajitazame kwa uaminifu katika nafsi yake kama ni msafi kiasi gani. Kwa mfano Mungu akisema asiye na dhambi aje hapa na kama ukija wakati unajua una dhambi hakika utakufa then kaa pembeni utazame ni wangapi wataenda kujitakia matatizo. Binadamu hatuko safi kiasi cha kushabikia mwenzako kuitwa mwizi namna hiyo kwani kama wewe siyo Mzinzi basi ni mdokozi, na kama siyo mwasherati basi mwongo au mrushi au mwenye tamaa, husuda au wivu au ubakaji, au ushoga, au ubasha n.k. Lazima tujue watu wa namna hiyo wote hawafai kuongoza wenzao ila kutokana na ukweli kwamba hakuna mtu ambaye hana kasoro hata moja basi tunachagua wale ambao ni afadhali kuliko wenzao. Lema inawezekana aliwahi husishwa na hayo mambo huko mwanzo kutokana na ujana ila kwa sasa amekuwa ameacha. Zaidi sana ni nani aliyeko kwenye uongozi wa nchi hii tunaweza kum single out kuwa hana dosari yoyote ya kitabia?

Kama tuna uhakika wa hilo swali na tunajua kuwa tu safi na watakatifu basi tuendelee kumjadili Lema.
Nina uhakika kila mmoja wwetu akichimbwa sawasawa na kujadiliwa basi tutajikuta wengine hatutafikia hata nusu ya uadilifu wa Lema.
 
chadema-maandamano.jpg
View attachment 34790

tumekuchokaaa!
 
Inatupasa tuhuma hizi tuzichunguze na tupaweke sawa hapa pahala,aidha kwa kutumia nadharia za kisayansi au kihistoria.Ktk njia zote mbili the pre-infomation is necessary making conclution.Kama Lema anahistoria chafu na kwamba sasa amejirekebisha basi apimwe kwa njia na vigezo vingine lakini siyo kwa kupewa madaraka au mamlaka na dhamana ktk kuongoza umma.Wote kumbukeni nchi haijaribiwi wakuu.
 
Nimejaribu kuzipitia hizi mabandiko yote kwa umakini sijaona mahali awaye yote alipoweza kutoa muunganiko wa hao watu wawili zaidi ya miungo-ungo aliyojaribu kuijenga Ngongo. Naamini kuwa Tanzania tutaijenga sote, na kama ni mwizi popote alipo ni wa kushughulikia. Sio ccm wala cdm inayopaswa kuwa kichaka cha majambazi na wabadhirifu wa mali ya umma. Hivyo, ni vyema ushabiki wa vyama uwekwe pembeni na ukweli kama upo nao uwekwe bayana na sio kutumia hizi media kuchafua watu wengine kwa kuwa tuu tupo nyuma ya kiibodi zetu.
 
Wanajukwaa Huyu Lema mwacheni waliompa Ubunge ni Wana ARUSHA mJIni waliona ana Vigezo vya Ubunge. hizi hoja za mahusiano binafsi tukizianza sijui nani atabaki. tutachambua kila mbunge VS Rais, waziri mkuu na waziri. halafu tutaenda kwa wale Mafisadi wa EPA vs CCM. Chonde Chonde wanajamii!
 
Nimefurahishwa wachangiaji walivyojitahidi kuchangia mada ya Jeykey yapo makundi mawili moja linatetea ufirauni wa Lema kwakuwa ni CDM na kundi lingine mimi nikiwemo limejaribu kwa kadri ya uwezo wa kibinadamu kuwasilisha ninayoyajua kuhusu Lema bila kujali nafasi yake au anawakilisha chama gani.Kuna baadhi ya wachangiaji walitaka ushahidi zaidi kwa kuwasaidia wakaazi wa Arusha wanaweza kumwona mzee J Kileo Mwenyekiti wa CCM Arusha mjini ni mjomba wa Godbless Lema mwanae marehemu Babuu aliuwawa mikononi mwa jeshi la polisi hali iliyosababisha Kamanda Ntobi ahamishwe Arusha.Unaweza tembelea maeneo ya stand kuu mtaa wa Masuamai tafuta mzee wa kipare anaitwa Mzee Ngereka mkmbushe mashaibu yaliyomkuta mtoto wake marehemu Ayub Masumai anaweza kukufungua kidogo ukimaliza na mzee wa kipare nenda Kaloleni whitehouse Bar uliza vijana wa Mzee Chunguo wanamfahamu sana Lema watawapatia maelezo mazuri hasa sakata la ndugu yao Marehemu Joseph aka Macho Man ukimaliza sehemu hizo nilizokutajia njoo JF bishana na Ngongo.
 
wewe ni mpuuzi wa kawaida tu kama walivyowapuuzi wengine kama wewe. ila story yako nzuri unaweza kuongea na kina Kanumba ukatunga Bongo movie angalau utaambulia pesa kidogo kwa umahiri wa ubunifu wa stori ulionao. looks too good to be true.
 
Ukimaliza kusoma post # 193.Jiulize kwanini Zombe hakusema wakati wa matukio au kwanini kasema baada ya Lema kumlipua bungeni ?.Polisi wetu wanaishi na kula na majambazi leo Zombe kaongea kwasababu maslahi yake yameguswa.Ninachojaribu kusema hapa alichosema Zombe hakumsafishi dhambi yake ya mauaji ya raia wasiokuwa na hatia.Kilichotokea mahakamani ni makosa ya kiufundi kwangu mimi Zombe ni muaji na Lema ni mtuhumiwa wa uhalifu.
 
Usitumie nguvu nyingi kutetea uovu Matola angalia sasa badala ya kutumia akili unakimbilia matusi anyway ujumbe umefika angalia mapovu yatakauka.

wewe ni mpuuzi wa kawaida tu kama walivyowapuuzi wengine kama wewe. ila story yako nzuri unaweza kuongea na kina Kanumba ukatunga Bongo movie angalau utaambulia pesa kidogo kwa umahiri wa ubunifu wa stori ulionao. looks too good to be true.
 
Ukimaliza kusoma post # 193.Jiulize kwanini Zombe hakusema wakati wa matukio au kwanini kasema baada ya Lema kumlipua bungeni ?.Polisi wetu wanaishi na kula na majambazi leo Zombe kaongea kwasababu maslahi yake yameguswa.Ninachojaribu kusema hapa alichosema Zombe hakumsafishi dhambi yake ya mauaji ya raia wasiokuwa na hatia.Kilichotokea mahakamani ni makosa ya kiufundi kwangu mimi Zombe ni muaji na Lema ni mtuhumiwa wa uhalifu.
Zombe ni mvuta Bange tu kama wewe, hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kumsikiliza mvuta bange kama Zombe.
 
hawa ni wawili tofauti kabisa, toeni hoja ya msingi na ya mashiko ya kuwafananisha ili na wengine tuchangie zaidi...otherwise tuache unafiki
 
Zombe ni mvuta Bange tu kama wewe, hakuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kumsikiliza mvuta bange kama Zombe.
Huyu ngongo havuti bange peke yake, anakunywa na viroba. Khaaa sijawahi ona mtu mwenye chuki na wivu wa kijinga kama huyu! Shame on him.
 
Nimefurahishwa wachangiaji walivyojitahidi kuchangia mada ya Jeykey yapo makundi mawili moja linatetea ufirauni wa Lema kwakuwa ni CDM na kundi lingine mimi nikiwemo limejaribu kwa kadri ya uwezo wa kibinadamu kuwasilisha ninayoyajua kuhusu Lema bila kujali nafasi yake au anawakilisha chama gani.Kuna baadhi ya wachangiaji walitaka ushahidi zaidi kwa kuwasaidia wakaazi wa Arusha wanaweza kumwona mzee J Kileo Mwenyekiti wa CCM Arusha mjini ni mjomba wa Godbless Lema mwanae marehemu Babuu aliuwawa mikononi mwa jeshi la polisi hali iliyosababisha Kamanda Ntobi ahamishwe Arusha.Unaweza tembelea maeneo ya stand kuu mtaa wa Masuamai tafuta mzee wa kipare anaitwa Mzee Ngereka mkmbushe mashaibu yaliyomkuta mtoto wake marehemu Ayub Masumai anaweza kukufungua kidogo ukimaliza na mzee wa kipare nenda Kaloleni whitehouse Bar uliza vijana wa Mzee Chunguo wanamfahamu sana Lema watawapatia maelezo mazuri hasa sakata la ndugu yao Marehemu Joseph aka Macho Man ukimaliza sehemu hizo nilizokutajia njoo JF bishana na Ngongo.
Unawasaidia wakazi wa arusha na story za kuzusha? Huchoki tuu mkuu? Kila ukiona post ya kumuhusu lema, unaanza kutoa povu kama mtu mwenye kifafa. Umeshafaidika na nini toka uanze kumshambulia lema? Chuki binafsi zako huko, huko. Na kwa taarifa yako tushakusoma. Huna jipya. Afu kwa ushauri tu, ukiendelea na huo wivu wako wa kishamba utakufa masikini. Fanya kazi acha kufuatilia maisha ya lema. Hutaweza! Hutafika popote. Mshamba wewe!
 
Haya mambo yote mimi sijali,vipi kuhusu posho? Mbona hoja imekufa kidizaini?
 
Unawasaidia wakazi wa arusha na story za kuzusha? Huchoki tuu mkuu? Kila ukiona post ya kumuhusu lema, unaanza kutoa povu kama mtu mwenye kifafa. Umeshafaidika na nini toka uanze kumshambulia lema? Chuki binafsi zako huko, huko. Na kwa taarifa yako tushakusoma. Huna jipya. Afu kwa ushauri tu, ukiendelea na huo wivu wako wa kishamba utakufa masikini. Fanya kazi acha kufuatilia maisha ya lema. Hutaweza! Hutafika popote. Mshamba wewe!

Hizi ndo stor za ukweli
 
Kuna mtu wa Arusha namkumbuka kwa jina Freddy, kafanana sana na Mbowe hata umri pia.

Huyu ni mwizi saaana wa magari wa kimataifa, yaani Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, Msumbiji na hapa nyumbani ndio usiseme.

Nani anaemfaham akatupa data zake? Ni miaka mingi sijasikia vituko vyake.
 
Sweetlady vipi tena mbona povu linakutoka umeshindwa hoja unaleta viroja?.

Back
Top Bottom