Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Status
Not open for further replies.
kwani wewe unapata shida gani kutufafanulia ukaribu wa JK na Mattaka ambae ana shutuma nyingi hapa mjini?
Mkuu mimi sijui personal life za mtu yeyote awe Lema, JK, Mattaka au mtu yoyote yule, lakini sababu mimi sijui sio vema kuwazuia au kuwafumba midomo wale wanaosema wanajua.., nikiwa nao ukweli tofauti na huo nitawaweka sawa na kusema hapa sio hivyo bali ni vile..... Hapa mimi natetea Uwazi na Transparency na Haki ya kila mwana JF kutoa Hoja bila kuwa attacked personally
 
Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe <br />
watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe <br />
walifanya pamoja biashara tokea zamani<br />
<br />
Jamani mwenye DATA zaidi atujuze
<br />
<br />
usilo lijua litakusumbua kama usiku wa giza
 
Jk pia alitudanganya watu wa arusha wakati wa kampeni zake, mbona yeye humsemi?
JK hakudanganya Arusha peke yake, bali amewadanganya Watanzania wote, ahadi zake zote hizi hapa, kama huu sio uongo tuuiteje?
Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...

  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda – Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
  70. Machinga complex kila wilaya Dar es salaam.
  71. Barabara za angani ( flyovers ) Dar es salaam
 
Unapoteza muda wako bure kumuuliza maswali magumu mtu ambae ni hater, kazi yake ni kuhate.

Ninamuelewa sana huyu ngongo tangu mwaka jana tukielekea uchaguzi mkuu alikwa anakuja hapa na lundo la tuhuma dhidi ya Lema lakini mwisho wa siku wananchi wa arusha wakamchagua kuwawakilisha. Na akishaona thread yoyote inayomzungumzia Lema lazima afunguke na agenda zake za chuki.

Infact nilichofanya ni kumsaidia tu kumuonyesha kwamba kama hana ushahidi dhidi ya Lema tofauti na wengine ambao amewataja na kuthibitisha basi ajipime mwenyewe na kuchukua hatua ya kujivua gamba.
 
Mbona mimi nilikuwa jambazi niliyekubuhu, niliua watu wengi na sasa ni kamishna mwaminifu sana na mwandamizi wa jeshi la polisi?
 
Mkuu mimi sijui personal life za mtu yeyote awe Lema, JK, Mattaka au mtu yoyote yule, lakini sababu mimi sijui sio vema kuwazuia au kuwafumba midomo wale wanaosema wanajua.., nikiwa nao ukweli tofauti na huo nitawaweka sawa na kusema hapa sio hivyo bali ni vile..... Hapa mimi natetea Uwazi na Transparency na Haki ya kila mwana JF kutoa Hoja bila kuwa attacked personally
Kwahiyo unataka kuuaminisha umma kwamba Lema hawa muattack personally? huu ni uchambuzi wa wapi wa kizembe namna hii? kumuita mtu Jambazi bila solid evidence kwako sio personal attack?
Nina wasi wasi humu kuna members either wana personal hidden Agenda au wanachangia humu huku wanakunywa viroba vya konyagi, this is not normal.
 
me nadhani kma yanayosemwa yana ukweli basi umeisha expire kwani yalitakiwa wakati ule walioyatoa wapo kwenye madaraka sasa hivi hayana maana kwani mavi ya kale hayanuki!!!wasiongee kwa hasira wamechelewa!
 
sasa hapo hizo picha zinamaanisha nini? Alex Massawe na Lema? mbona huyo si alex massawe au enzi za ujana wake? kama ni hivyo basi hata lema alikuwa hajazaliwa
 
dhamiri inakushtaki na historia itakuhumu

Nimesoma sociology....ninaelewa kuwa mwanadamu anaweza kuchange attitude towards jambo fulani lakini anapobadilika kuna mambo mawili ...kwanza kabisa kuna sababu iliyosababisha aamini jambo hilo na anapobadilika kuna jambo pia limetokea na kusababisha aamini kuwa alichokuwa anaamini awali kilikuwa na mapungufu kwaiyo haoni sababu ya kuendelea kuamini jambo hil katika mtazamo huo kwa iyo anaamua kubadilika.
Nikiwa kama mwanafunzi wa 'human geography' ninaamini pia katika role ya time and space katika maisha binadamu...kwa maana ya kuwa wakati fulani unaweza kukubaliana na jambo fulani na kundi fulani....lakini wakati mwingine unaweza kutokubaliana na watu wale wale hata ukiwa mahali palepale ila utategemea kwenye jambo gani...kama ni AJENDA ILE ILE uliyokubaliana nao awali then tunaweza kukuhoji sababu ya wewe kubadilisha mtazamo wako na itabidi uwe na majibu ya kutomung'unya ili tuelewe mwenzetu una ajenda gani.....kama utamung'unya mung'unya huwezi kuzuia watu kukuadhibu kwa kukupa label yaulichoonyesha .....

UMEANDIKA HISTORIA KATIKA TAIFA LETU MREMA na ITAKUHUKUMU
 
Katoa ahidi mwenyewe watu wasio na uwezo wajiandikishe atawapeleka Loliondo walipojitokeza akaingia mitini.

Kwa taarifa yako huo mfuko gogoro imeshaingia fedha zinachangwa wanaosomeshwa watoto wa watu wenye uwezo.Mahesabu hayakaguliwi mkuu wa mfuko yeye mweka hazina mke wake.Mfuko wenyewe umeshajifilia mbali.

Nawashagaa watu wa Arusha kawadanganya atawajengea hospital tatu na machinga complex ukimuuliza viwanja viko wapi olahhh.yuko busy na nyumba yake Arusha mmeliwa.

Issue ya loliondo inajulikana magamba kwa kuitumia sumatra walihujumu jitihada za lema kuwasafirisha wananchi kwenda loliondo na hawakuishia kwa lema, hata mzee ndesa naye walizuia magari yake yasipeleke wananchi loliondo. Kwahiyo hapo anayetakiwa kujibu hilo ni sumatra sio lema.

Suala la kusomesha wanafunzi lilikuwa kwenye manifesto yake, kama kuna mtoto/watoto waliorodheshwa kusaidiwa na kweli ni wahitaji na hawajasomeshwa, hiyo inaweza kuwa hoja ya msingi lakini hapa tunazungumzia tuhuma zenu kwa lema kwamba ni jambazi. Kwa jinsi mlivyotumwa na magamba kumshambulia lema kama angekuwa hajasomesha wanafunzi kama alivyoahidi tayari mheshafungua thread kulalamika lakini so far hakuna malalamiko yoyote zaidi ya kuunga unga tuhuma.
 
JK hakudanganya Arusha peke yake, bali amewadanganya Watanzania wote, ahadi zake zote hizi hapa, kama huu sio uongo tuuiteje?
Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI...
  1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
  2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
  3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
  4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga
  5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma
  6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini
  7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma
  8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera
  9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera
  10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini
  11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
  12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera
  13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera
  14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera
  15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya
  16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera
  17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
  18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza
  19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza
  20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita
  21. Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba
  22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro
  23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini
  24. Kujenga bandari Kasanga &#8211; Rukwa
  25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
  26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya
  27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga
  28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa
  29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani &#8211; Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro
  30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini
  31. Kuboresha barabara za Igunga - Tabora
  32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu
  33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini
  34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara
  35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma
  36. Kulinda haki za walemavu - Makete
  37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini
  38. Kujenga barabara Musoma &#8211; Mto wa Mbu Arusha - Arusha
  39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
  40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma &#8211; Kaliua,Tabora
  41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini
  42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma
  43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido
  44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
  45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha &#8211; Arusha mjini
  46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma
  47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido
  48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti &#8211; Ngorongoro
  49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara
  50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini
  51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini
  52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
  53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa
  54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa
  55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda
  56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara
  57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa
  58. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar
  59. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
  60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti
  61. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma
  62. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma
  63. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) &#8211; Ruvuma
  64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania &#8211; Ruvuma
  65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
  66. Mtwara kuwa mji wa Viwanda &#8211; Mtwara
  67. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu - Kibaha
  68. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa - Kibaha
  69. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda - Kibaha
  70. Machinga complex kila wilaya Dar es salaam.
  71. Barabara za angani ( flyovers ) Dar es salaam

Mkuu naona unaishiwa ajenda unahama TOPIC
 
Wote wazee wa kazi! Aka majambazi! Hata Mahita anawajua hawa!
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Kikwete/Shimbo/Lowassa/Batilda/Mkapa/Mahita/Kikwete/Mzamiri/Kikwete/Papa Msofe.Kikwete/Zombe.Kikwete/Subash Tuache tabia za kijinga kuchafuana kwani tunawajua wote
 
Kwahiyo unataka kuuaminisha umma kwamba Lema hawa muattack personally? huu ni uchambuzi wa wapi wa kizembe namna hii? kumuita mtu Jambazi bila solid evidence kwako sio personal attack?
Nina wasi wasi humu kuna members either wana personal hidden Agenda au wanachangia humu huku wanakunywa viroba vya konyagi, this is not normal.
Kwenye Bold exactly my point........!!
Sasa badala ya wewe kumuattack personally mtoa hoja inabidi kumuuliza na kuonyesha kwamba hoja anazoleta ni za uongo, na aseme kama ni tetesi na amezisikia wapi (hapo ndio hajo zinavyojibiwa) wewe kwenda kwa kumuandama mtoa mada personally wakati humjui ni kujaza na kuongeza page za bure....,
 
Hapa ni kumkoma nyani tu,.... za uso kama kawa, ukija na hoja za hovyo hovyo na za kipuuzi usitegemee kama kuna mtu makini atakae kubabby kiss, sahau hilo.
Lete hoja zenye mantiki bila kujali zinakilenga chama gani wala mwanasiasa gani tutachangia kwa maslahi ya nchi, lakini sio unakuja na mavi ya bata unategemea tutakufacebook, hilo sahau mkuu.
 
JeyKey.

Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi.Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda ushapita sana mlizoea kupuza niliyosema leo maumivu yanaanza taratibu na bado mtasikia mengi.Lema alikuwa akicheza ligi ya akina marehemu Babu [Mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha Mzee Kileo],marehemu Joseph [Macho man],Marehemu Ayub Masumai [Pank boy] na Chonjo family [wezi maarufu wa magari siku hizi wamestaafu gari lolote likiibiwa wa kwanza kukamatwa ni Chonjo family] na Imamu Sharifu huyu si mchezo aliwahi kuiba gari la mkuu wa mkoa kaachiwa katoka gerezani majuzi nusu ya ujana wake kautumia jela.Wote niliwataja hawako ligi ya Carlos aka Massawe mzee wa deal za kufa mtu muda mwingine nitarejea nikupatie visa vya Carlos.
tutaamini vipi kuwa wewe na zombe is one and the same person ukitafuta mashahidi wako wa uongo ili ukishtakiwa na lema uwapeleke mahakamni kutoa upuuzi wao...prove me wrong
 
Wachina wana msemo wao usemao, A PHOTO CAN SPEAK THOUSANDS WORDS. kwa ajili ya umbumbumbu wako huwezi kujua hii picha inaongea nini, kwa sababu hicho sicho hulichotumwa kuja kukiwasilisha hapa jamvini na mabwana zako.
mwenye akili timamu atajuwa hii picha inareflect nini mpaka kumfanya Rais awe kama sanamu na hana maamuzi yoyote ndani ya nchi hii.​

  • nimekuelewa Vizuri sana...mkuu two thumps up kwa hii Picha
 
Hivi unajua maana ya family.Vipi Arusha umekuja lini ?.Famila ya akiana Chonjo ilihusushwa na wizi wa magari kuanzia miaka 80s gari lolote likiibiwa Arusha,Moshi na Nairobi wakwanza kukamatwa na Chonjo family and their close friends.Siku hizi Chonjo wameachana kabisa na wizi wa magari lakini sifa zao bado zipo.

Usiishi kwa kuhisi na hata kama una ushahidi hawa wtu wangekua jela,
unawatofautishaje na matajiri walio nchini sasa hivi ambao utajiri wao ni wa mashaka???
kuna akina papaaa..........,.................. , ................... , na wengine ni wabunge ,RA,EL,
 
Je Kuna uhusiano gani kati ya Lema na MAssawe
watu wanaomjua lema wanasema ni rafiki wa Massawe
walifanya pamoja biashara tokea zamani

Jamani mwenye DATA zaidi atujuze

Owkay.. sasa unataka kuwajoin ili muwe patners au....Nonsense!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom