Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

Kwani hii ya kushangiliwa Kwa Lema ina Tofauti gani na kujaza watu kwenye mkutano wa hadhara wakati wa kampeni kisha waliohudhuria kutokwenda kupiga kura ?
Muda ni Mwalimu, asubiri 2020,ataona matokeo halisi ya kushangiliwa
Kama 2020 hakuna mpinzani atakayeshinda uchaguzi kwani kuna ajabu gani? Nani asiyeona kila kinachoendelea sasa hivi? Naona umeuhamishia ubongo wako chini ya kiuno kwa nyuma
 
Ni hivi,

Ilikuwa ni sehemu ya kutambulisha wageni wa serikali katika sherehe ya kumsimika askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Arusha.

Mkuu wa mkoa, Gambo akapewa nafasi ya kutambulisha na amefanya kazi nzuri ya kuwatambulisha wote. Alivyotamka kutambua uwepo wa Mbunge wa Arusha, Godbles Lema, uwanja mzima ukasisimka kwa shangwe na vigelegele vilivyochukua karibu dakika nzima.

Na kwa kweli ni kama shughuli zilisimama hadi watu watulie na hata Gambo akawa na heshima ya kusubiri hadi watulie ndipo akaendele na hotuba.
Na miluzi wakaipiga kwa nguvu zao zote
 
Kwani hii ya kushangiliwa Kwa Lema ina Tofauti gani na kujaza watu kwenye mkutano wa hadhara wakati wa kampeni kisha waliohudhuria kutokwenda kupiga kura ?
Muda ni Mwalimu, asubiri 2020,ataona matokeo halisi ya kushangiliwa

Kama hawaendi ni madhara kwa wote na sio kwa huyo anayeshangiliwa tu. Nikupe maelezo mafupi. Lema hapo Arusha anapendwa bila kujali kwamba anafanyiwa siasa chafu ili aonekane hafai. Na kile kitendo cha kushangiliwa sana kuliko yoyote ni uhalisia ulivyo. Tujifunze kukubali ukweli hata kama tuna maslahi yetu ya kisiasa. Na kwa taarifa yako wananchi wa Arusha wanajitambua na wanaweza kuonyesha hisia zao bila kujali hila zinazofanywa dhidi ya huyo mbunge wao. Na kwa hafla ile wamedhihirisha hilo.

Na hiyo 2020 unajinasibu nayo wote tumeona hizi chaguzi za marudio kilichofanyika cha kutoa mabox ya kura vituoni kisha kuyarudisha yakiwa na kura mbele ya uratibu wa polisi. Hivyo huna la kujivunia kwenye hilo kwani kinachofanyika ni ukatili na unyama ili ccm ishinde na sio kukubalika. Hapa ulichofanya ni kuweka wivu wako hadharani na sio zaidi ya hivyo.
 
Ni hivi,

Ilikuwa ni sehemu ya kutambulisha wageni wa serikali katika sherehe ya kumsimika askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Arusha.

Mkuu wa mkoa, Gambo akapewa nafasi ya kutambulisha na amefanya kazi nzuri ya kuwatambulisha wote. Alivyotamka kutambua uwepo wa Mbunge wa Arusha, Godbles Lema, uwanja mzima ukasisimka kwa shangwe na vigelegele vilivyochukua karibu dakika nzima.

Na kwa kweli ni kama shughuli zilisimama hadi watu watulie na hata Gambo akawa na heshima ya kusubiri hadi watulie ndipo akaendele na hotuba.
ni heshima kwa mkuu wa mkoa kujali uwepo wa Lema kitu ambacho huko nyuma ilikuwa shida sana kusikia mkuu wa mkoa akitamka jina la Lema.

Kumbuka ule msiba wa watoto wa st vicent
 
Kwani hii ya kushangiliwa Kwa Lema ina Tofauti gani na kujaza watu kwenye mkutano wa hadhara wakati wa kampeni kisha waliohudhuria kutokwenda kupiga kura ?
Muda ni Mwalimu, asubiri 2020,ataona matokeo halisi ya kushangiliwa
Kwa kumbukumbu zako Lema Arusha alipata kura ngapi?... VP 2020 mtapora kura kwa mashoka au?
 
Kwani hii ya kushangiliwa Kwa Lema ina Tofauti gani na kujaza watu kwenye mkutano wa hadhara wakati wa kampeni kisha waliohudhuria kutokwenda kupiga kura ?
Muda ni Mwalimu, asubiri 2020,ataona matokeo halisi ya kushangiliwa
Wivu mbaya jamani.It's obvious ukishangiliwa hivyo tena Abruptly unapendwa.Ukweli lazima usemwe Hata kama wewe uliyeandika hapa hutaki.But Lema Ni Arusha Na Arusha Ni Lema.Mkiforce fosini tu!!!!!
 
Ndio wajue watu hawadanganyika na UKUTA wala Bombadier badala yake wanaangali utu,haki na uhuru wao kama vinaheshimiwa.[/QUOTE
]Hivi huyo boss wako ndoto zake bado anaota au amishashika adabu

Ama kwa hakika Tanzania ni nchi ya Amani na Umoja.

Ukitaka uongoze nchi hii vizuri ni lazima uzingatie tunu za Taifa hili zilizoasisiwa na wazee wetu
 
Kwani hii ya kushangiliwa Kwa Lema ina Tofauti gani na kujaza watu kwenye mkutano wa hadhara wakati wa kampeni kisha waliohudhuria kutokwenda kupiga kura ?
Muda ni Mwalimu, asubiri 2020,ataona matokeo halisi ya kushangiliwa
Kwanini umejizuia kuzungumzia wasiojulikana kuvamia vituo mchana kweupe wakabeba sanduku lenye kura wakatokomea huku polisi wanawaangalia tu. MaCCM hamna lolote zaidi ya kutumia polisi
 
Back
Top Bottom