Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

Mwendo Mdundo, kura za CCM Arusha zinazidi kuongezeka.
Wapiga kura Elfu sitini (60,000)
Wliojitokeza Elfu Tisa (9,000).
Hapo ratio hakuna, the turn -up is too low.
It means Elfu Hamsini plus waliojitokeza kupiga kura kwa CCM jumla CCM ina Mtaji wa Kura Elfu Hamsini zaidi.
Hao waliogopa Mabomu na vitisho.
Ikumbukwe: Makundi ya wazee,vijana wa kike na akina mama hawakujitokeza kwa wingi kwa kuogopa fujo na mabomu.
Waliopiga kura uchaguzi kata nne, wengi wao ni Wavuta Bangi,Wanywa Viroba na Majambazi waliokuwa wakitisha watu wasijitokeze kupiga kura.
2015 Kitaeleweka tu.

Watu walibebwa na ccm kupiga kura
 
Asante sana mpiganaji wewe kweli ni jembe hapo Arusha na umeonyesha upendo kwa wapiga kura wako,

Ila bana hujaweka hata mstari mmoja wa kutushukuru na sie tuliokuwa tunapiga debe tukitokea huku Nyakahanga, Geita, Buseresere, Manyovu, Godegode, etc?

Mwisho nakuomba 2015 kaweke kambi kwa kajitu fulani kamo Bungeni ni kafupi hivi kanakuwaga na maneno ya nyodo sana kakikaa pale mbele ya Bunge na nafikiri kanatokea Mpwapwa hivi


Shida kubwa tuliyonayo Tanzania watu hawataki kukubali ukweli kuwa watanzania wa leo siyo wale wa mwaka 47!

Watu wanataka mageuzi, hakuna kitu kinauma wengine wanaishi maisha kama wako peponi wengine hali ndiyo zinazidi kuwa mbaya kila kunapokucha.

Ndiyo maana walioko madarakani hawataki kuachia ngazi, na wanaanda familia zao nazo ziendelee kuwa makadarakani. Wamefanya nchi yetu ungozi kuwa wa kiukoo. Mtoto kamanda, mama NEC ina maana hakuna watu wengine wenye sifa mpaka wao na familia zao tu?


Maisha yanakuwa magumu kwa ajili yao.

Shime tufanye mageuzi ya kweli. Hongereni Arusha kwa kutoa somo zuri.
 
sasa ntapataje fomu niko dar mie nifahamishe taratibu zenu za kujiunga ili nifahamu vyema

makene mfuasi huyo changamkia haraka hatuna muda wa kuppoteza au ladyfurahia nenda pale kinondon makao makuu ya chadema utapata maelekezo ya utosha
 
Sasa twendeni kote kila kona ila pia tuwafikie hawa
  1. Jimbo la shule aliyefoji vyeti Luviii
  2. Jimbo la yule aliyesomea vyeti vya wengine....Mwigulubi
  3. Jimbo la yule anayetumiwa kuwatishia watoto wakilia pale Bunda ....Wasiria
  4. Jimbo la yule bibi anamacho kama mchawi kule Joombeee.....
  5. Jimbo la yule mnafiki......Sendekia
  6. Jimbo la yule Mfishadi shana shana......Richmonduli
  7. Jimbo la Mitusi....Lusindye Livingiiii
  8. Jimbo la yule Mnafiki wa bibi kichawi pale mjengoni....
  9. Jimbo la yule Mitusi...Ngamiaaaaaaaa
  10. Jimbo la Piga tu,tumechoka wapige tu
  11. Jimbo la yule anayetuma watu kuwateka wengine na alizomewa pale jangwani.....Nichimbie
  12. Jimbo na yule mnafiki wa mafishadi wakati wanampa michango ya Harusi....Annie Kilanga
  13. n.k
 
Mwendo Mdundo, kura za CCM Arusha zinazidi kuongezeka.
Wapiga kura Elfu sitini (60,000)
Wliojitokeza Elfu Tisa (9,000).
Hapo ratio hakuna, the turn -up is too low.
It means Elfu Hamsini plus waliojitokeza kupiga kura kwa CCM jumla CCM ina Mtaji wa Kura Elfu Hamsini zaidi.
Hao waliogopa Mabomu na vitisho.
Ikumbukwe: Makundi ya wazee,vijana wa kike na akina mama hawakujitokeza kwa wingi kwa kuogopa fujo na mabomu.
Waliopiga kura uchaguzi kata nne, wengi wao ni Wavuta Bangi,Wanywa Viroba na Majambazi waliokuwa wakitisha watu wasijitokeze kupiga kura.
2015 Kitaeleweka tu.

Mkuu umewatukana akina mama wa Arusha.
Asilimia 80 ya waliopiga kura ni wamama.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kutoka moyoni ninajivunia sana kuwa mkazi wa jimbo la Arusha Mjini na pia najivunia kuwa mbunge wangu ni Godbless Lema. Ni mbunge pekee toka kambi ya upinzani alieweza ku-mobilize watu wa jimbo lake mpaka limekuwa ngome kuu ya CHADEMA Tanzania nzima.
 
Lema tunakuom a umsaidie kamanda mawazo kwani naye ni jembe la ukweli
 
Uandishi ni moja ya sifa muhimu sana kuwa nayo kiongozi wa umma, Lema ana sifa hii- maandishi yake yanafanana na matendo yake, yanadhihirisha nia ya ndani kabisa ya kushughulika na changamoto za watanzania. STAY BLESSED!
 
Kamanda, Mungu ni mwema kwa wamtegemeao. Wao wanataja RISASI, NA MABOMU, NA POLISI NA GREEN GUARD, NA MATUSI YA JULIANA NA NCHEMBA. WAO WANA MULONGO, NA JK; Lakini SISI TUNA MUNGU NA WATU. Ni kweli Arusha na Watanzania wote wenye mapenzi mema TUNAMSHUKURU SANA MUNGU; KWA WEMA HUU. "ASANTE MUNGU KWA UKOMBOZI WAKO, ASANTE KWA KUWA MKONO WAKO WENYE NGUVU UMETENDA HAYA. HUKURUHUSU WOGA, HOFU WALA TAMAA VIWAFUNIKE WANA ARUSHA WASIOUONE UKWELI NA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI. ASANTE SANA MUNGU WA MBINU NA NCHI. Wana Arusha asante sana; hakina kwenu ilipandwa mbegu njema na sasa imechipuka. Asanteni kwa maana hakina mmeonesha nini mtanzania anapaswa kufanya. Mmetenda vema. Hakulalamika na kulia tu baada ya damu ya ndugu zenu kumwagika bila hatia, bali mmeinuka na kujenga heshima ya mashujaa hawa waliotangulia. Kamanda Lema na makamanda wapya (madiwani) ushauri wangu ni kuwa sasa HAKIKISHA MNASHIRIKI katika vikao vyote vya baraza la madiwani na kusimamia miradi yote ya maendeleo katika jiji. Msimamo wa kutomtambua meya uendelee lakini kama tulivyoamua kutotoka bungeni na kupambana huko; huu ni muda wa kupambana huko huko. MUNGU YUKO NASI!
 
Mkuu umewatukana akina mama wa Arusha.
Asilimia 80 ya waliopiga kura ni wamama.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wakati wa kushangilia mbona hatukuwaona?
 
Back
Top Bottom