tindo bado unaishi Kwa zama za kukariri, hebu Niambie in kipi wana Arusha wanaweza jivunia mafanikio japo mawili tu toka Kwa Mbunge Lema,
Nijuavyo mimi Lema kaidumaisha Arusha toka aanze ubunge, aliifanya Arusha kuwa ya maandamano na uporaji tu, si vinginevyo .
Arusha ya kabla Yake kua Mbunge ilikua smart Sana,ulikua mji wa kitalii haswa.
Kwa sasa Arusha inarudi kwenye mstari kutokana na kazi nzuri ya RC Mrisho Gambo, hili halina ubishi hata chembe.
Nakuhakikishia Lema anakazi ya ziada kurejea bungeni 2020,Wana Arusha wamekwisha msoma vizuri Sana, kawatumia ndivyo sivyo ma charii wa AR,sasa wamejitambua, narudia muda ni Mwalimu Subiri ufike