Kaitoa leo twitter.Kaisemea wapi hiyo?
Ok,nilidhani pale Arusha kwenye mualiko.Kaitoa leo twitter.
Bangi mbaya sana
Hujamuelewa acha kudandia gari kwa mbeleBangi mbaya sana
Wengine nawacheki afu nasema hiiiiiiiiiii....Kawafunika wengi kwenye ibada leo. Mara alipotajwa na Gambo waumini walishindwa kujizuia, walipiga makelele ya furaha mpaka Askofu mpya Isaac Amani akajisikia amani...
Basi Sizonje atakuwa kanuna mpaka muda huu.Kawafunika wengi kwenye ibada leo. Mara alipotajwa na Gambo waumini walishindwa kujizuia, walipiga makelele ya furaha mpaka Askofu mpya Isaac Amani akajisikia amani...
Bangi mbaya sana
Ndio wajue watu hawadanganyika na UKUTA wala Bombadier badala yake wanaangali utu,haki na uhuru wao kama vinaheshimiwa.Ni hivi,
Ilikuwa ni sehemu ya kutambulisha wageni wa serikali katika sherehe ya kumsimika askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Arusha.
Mkuu wa mkoa, Gambo akapewa nafasi ya kutambulisha na amefanya kazi nzuri ya kuwatambulisha wote. Alivyotamka kutambua uwepo wa Mbunge wa Arusha, Godbles Lema, uwanja mzima ukasisimka kwa shangwe na vigelegele vilivyochukua karibu dakika nzima.
Na kwa kweli ni kama shughuli zilisimama hadi watu watulie na hata Gambo akawa na heshima ya kusubiri hadi watulie ndipo akaendele na hotuba.
Tena AMANI kweli kweli.Kawafunika wengi kwenye ibada leo. Mara alipotajwa na Gambo waumini walishindwa kujizuia, walipiga makelele ya furaha mpaka Askofu mpya Isaac Amani akajisikia amani...
Kwani hii ya kushangiliwa Kwa Lema ina Tofauti gani na kujaza watu kwenye mkutano wa hadhara wakati wa kampeni kisha waliohudhuria kutokwenda kupiga kura ?Kawafunika wengi kwenye ibada leo. Mara alipotajwa na Gambo waumini walishindwa kujizuia, walipiga makelele ya furaha mpaka Askofu mpya Isaac Amani akajisikia amani...