Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

Kwani hii ya kushangiliwa Kwa Lema ina Tofauti gani na kujaza watu kwenye mkutano wa hadhara wakati wa kampeni kisha waliohudhuria kutokwenda kupiga kura ?
Muda ni Mwalimu, asubiri 2020,ataona matokeo halisi ya kushangiliwa
BWA HA HA HA HA!!!!!! Nimekucheka kizamani sana ! HIIIIIIIII !!!!!!
 
Kama hawaendi ni madhara kwa wote na sio kwa huyo anayeshangiliwa tu. Nikupe maelezo mafupi. Lema hapo Arusha anapendwa bila kujali kwamba anafanyiwa siasa chafu ili aonekane hafai. Na kile kitendo cha kushangiliwa sana kuliko yoyote ni uhalisia ulivyo. Tujifunze kukubali ukweli hata kama tuna maslahi yetu ya kisiasa. Na kwa taarifa yako wananchi wa Arusha wanajitambua na wanaweza kuonyesha hisia zao bila kujali hila zinazofanywa dhidi ya huyo mbunge wao. Na kwa hafla ile wamedhihirisha hilo.

Na hiyo 2020 unajinasibu nayo wote tumeona hizi chaguzi za marudio kilichofanyika cha kutoa mabox ya kura vituoni kisha kuyarudisha yakiwa na kura mbele ya uratibu wa polisi. Hivyo huna la kujivunia kwenye hilo kwani kinachofanyika ni ukatili na unyama ili ccm ishinde na sio kukubalika. Hapa ulichofanya ni kuweka wivu wako hadharani na sio zaidi ya hivyo.
tindo bado unaishi Kwa zama za kukariri, hebu Niambie in kipi wana Arusha wanaweza jivunia mafanikio japo mawili tu toka Kwa Mbunge Lema,
Nijuavyo mimi Lema kaidumaisha Arusha toka aanze ubunge, aliifanya Arusha kuwa ya maandamano na uporaji tu, si vinginevyo .

Arusha ya kabla Yake kua Mbunge ilikua smart Sana,ulikua mji wa kitalii haswa.
Kwa sasa Arusha inarudi kwenye mstari kutokana na kazi nzuri ya RC Mrisho Gambo, hili halina ubishi hata chembe.

Nakuhakikishia Lema anakazi ya ziada kurejea bungeni 2020,Wana Arusha wamekwisha msoma vizuri Sana, kawatumia ndivyo sivyo ma charii wa AR,sasa wamejitambua, narudia muda ni Mwalimu Subiri ufike
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana
 
Ni hivi,

Ilikuwa ni sehemu ya kutambulisha wageni wa serikali katika sherehe ya kumsimika askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Arusha.

Mkuu wa mkoa, Gambo akapewa nafasi ya kutambulisha na amefanya kazi nzuri ya kuwatambulisha wote. Alivyotamka kutambua uwepo wa Mbunge wa Arusha, Godbles Lema, uwanja mzima ukasisimka kwa shangwe na vigelegele vilivyochukua karibu dakika nzima.

Na kwa kweli ni kama shughuli zilisimama hadi watu watulie na hata Gambo akawa na heshima ya kusubiri hadi watulie ndipo akaendele na hotuba.
... Basi hapo yule raia wa Rwanda akakaa pembeni akawacheki tu!!! Akesema Hiiiiii ... Ha ha ha ha ha ha ...
 
Ni hivi,

Ilikuwa ni sehemu ya kutambulisha wageni wa serikali katika sherehe ya kumsimika askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Arusha.

Mkuu wa mkoa, Gambo akapewa nafasi ya kutambulisha na amefanya kazi nzuri ya kuwatambulisha wote. Alivyotamka kutambua uwepo wa Mbunge wa Arusha, Godbles Lema, uwanja mzima ukasisimka kwa shangwe na vigelegele vilivyochukua karibu dakika nzima.

Na kwa kweli ni kama shughuli zilisimama hadi watu watulie na hata Gambo akawa na heshima ya kusubiri hadi watulie ndipo akaendele na hotuba.

CHADEMA wanaongoza katika bara la Afrika kwa sifa za kijinga
 
Ni hivi,

Ilikuwa ni sehemu ya kutambulisha wageni wa serikali katika sherehe ya kumsimika askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Arusha.

Mkuu wa mkoa, Gambo akapewa nafasi ya kutambulisha na amefanya kazi nzuri ya kuwatambulisha wote. Alivyotamka kutambua uwepo wa Mbunge wa Arusha, Godbles Lema, uwanja mzima ukasisimka kwa shangwe na vigelegele vilivyochukua karibu dakika nzima.

Na kwa kweli ni kama shughuli zilisimama hadi watu watulie na hata Gambo akawa na heshima ya kusubiri hadi watulie ndipo akaendele na hotuba.
Ongezea na hii....... baada ya lema kushangiliwa gambo akabaki anachekacheka tu hajui afanye nini......... aipoteza hadi uelekeo mwisho wa siku hajui aongee nini........ .... maneno yakamwishia akabaki anambwelambwela tu mara atake kuisifia ccm.......... mara atake kutaja mabombedia mara atake kumsifia magufuli kwa kumteua askofu kagundua hajateuliwa na jpem,....... .. yani kidogo aanze kuzomewa maana ilifika wakati haeleweki anataka kuongea nini.......
 
tindo bado unaishi Kwa zama za kukariri, hebu Niambie in kipi wana Arusha wanaweza jivunia mafanikio japo mawili tu toka Kwa Mbunge Lema,
Nijuavyo mimi Lema kaidumaisha Arusha toka aanze ubunge, aliifanya Arusha kuwa ya maandamano na uporaji tu, si vinginevyo .

Arusha ya kabla Yake kua Mbunge ilikua smart Sana,ulikua mji wa kitalii haswa.
Kwa sasa Arusha inarudi kwenye mstari kutokana na kazi nzuri ya RC Mrisho Gambo, hili halina ubishi hata chembe.

Nakuhakikishia Lema anakazi ya ziada kurejea bungeni 2020,Wana Arusha wamekwisha msoma vizuri Sana, kawatumia ndivyo sivyo ma charii wa AR,sasa wamejitambua, narudia muda ni Mwalimu Subiri ufike
Wewe ni mwenyeji wa Arusha? Kuna kitu kimoja unatakiwa ukijue kuhusu huu mji. Kwanza Una vijana wengi sana, Pili vijana na mama na baba zao wote ni wagumu(sijajua kama utaelewa tafsiri ya neno ugumu). Lema anajua watu wa aina hii wanataka kusikia nini. Na ndio siri ya Lema kupendwa. Ccm ikitaka kuchukua kiti cha lema basi itafute mtu mwenye saikolojia kama ya Lema. Mtu ambaye akienda ngarenaro, Ungalimitedi, Sanawari, kisongo nk vijana watavutiwa nae. Watu wa Arusha ni watu tofauti sana na wa Pwani, Tanga, Dar nk
 
Mkuu sasa unapotoka, ungweka mawili matatu, nimekuja fasta nakuta picha tu????
 
Wewe ni mwenyeji wa Arusha? Kuna kitu kimoja unatakiwa ukijue kuhusu huu mji. Kwanza Una vijana wengi sana, Pili vijana na mama na baba zao wote ni wagumu(sijajua kama utaelewa tafsiri ya neno ugumu). Lema anajua watu wa aina hii wanataka kusikia nini. Na ndio siri ya Lema kupendwa. Ccm ikitaka kuchukua kiti cha lema basi itafute mtu mwenye saikolojia kama ya Lema. Mtu ambaye akienda ngarenaro, Ungalimitedi, Sanawari, kisongo nk vijana watavutiwa nae. Watu wa Arusha ni watu tofauti sana na wa Pwani, Tanga, Dar nk
Kama ni vijana pekee ndo wanaojiandikisha na kupiga kura Sawa, tusubiri, muda ni Mwalimu
 
tindo bado unaishi Kwa zama za kukariri, hebu Niambie in kipi wana Arusha wanaweza jivunia mafanikio japo mawili tu toka Kwa Mbunge Lema,
Nijuavyo mimi Lema kaidumaisha Arusha toka aanze ubunge, aliifanya Arusha kuwa ya maandamano na uporaji tu, si vinginevyo .

Arusha ya kabla Yake kua Mbunge ilikua smart Sana,ulikua mji wa kitalii haswa.
Kwa sasa Arusha inarudi kwenye mstari kutokana na kazi nzuri ya RC Mrisho Gambo, hili halina ubishi hata chembe.

Nakuhakikishia Lema anakazi ya ziada kurejea bungeni 2020,Wana Arusha wamekwisha msoma vizuri Sana, kawatumia ndivyo sivyo ma charii wa AR,sasa wamejitambua, narudia muda ni Mwalimu Subiri ufike

Kwa bahati mbaya unadhani unaongea na mtoto au mtu asiyeifahamu Arusha. Naifahamu Arusha ndani nje. Ngoja nikueleze vizuri kwani unaonekana kumezwa na propaganda mfu. Arusha inategemea utalii wa wazungu na hakuna siku utalii huo uliwahi kusimama kwani hautegemei fadhila za wanasiasa wa ccm au viongozi wa serekali. Kilichopungua ni mikutano ya kiserekali tena nayo ilifanyika hivyo kwa hila ili itumike kupiga propaganda. Alipoingia Magufuli mikutano mingi ameizuia tena ni kwa nchi nzima sio kwa Arusha tu. Utalii wa wazungu umeendelea kukua Arusha tena bila jitihada za wazi za serekali, nakuambia jambo ninalolifahamu sio unayoambiwa na makada wa ccm kwa koti la serekali. Nina ushahidi wa hotel kuongezeka kwa ajili ya biashara ya utalii wa wazungu, achia mbali huo utalii mwingine hewa unaouzungumza. Ama kama unaweza leta ushahidi kwamba wazungu waliacha kuja arusha kisa kuna maandamano.

Kuhusu maandamano, hapa ndio ninapokuambia siasa chafu zilipojikita, na kwa bahati nzuri wananchi wa Arusha wanajitambua. Maandamamano yaliyowahi kufanyika Arusha wakati Lema akiwa mbunge hayajawahi kuzidi mara 3 na tena yote yalikuwa na sababu za msingi. Na maandamano haya yaliongozwa na Dr. Slaa ambaye leo hii mnamsujudia huko ccm. Maandamano ya kwanza yalikuwa kuhusu uchaguzi wa meya ambao utaratibu ulikiukwa. Maandamano ya pili ni Lema alipotoka gerezani baada ya kufungwa kwa hila enzi za JK. Tena haya hayakuwa maandamano bali ni kumsindikiza mpendwawao kwenye ofisi za cdm baada ya kushinda kesi kwa rufaa. Ili uonyeshe kwamba wewe sio mnafiki taja hayo maandamano mengi ili tuyaone hapa.

Kuhusu maendeleo, Arusha ina maendeleo muda mrefu na kwa taarifa yako baadaya Dar na Mwanza, Arusha ni ya tatu kwa maendeleo na kuchangia upande wa kodi. Na kinachofanya Arusha iwe na maendeleo ni uwepo wa wafanyabiashara wengi ambao wala hawaangalii hizo siasa zenu za majitaka. Na ushahidi kwamba wananchi wa Arusha wanajielewa na wala hawahadaiki na hizo siasa zenu chafu ni kule kushangiliwa. Wewe unaongea kile unacholishwa na wa viongozi wa ccm kupitia nafasi zao za kiserekali. Arusha ina maendeleo ya kutosha, na kinachofanywa na hao makada wa ccm ni kulitamani jimbo la Arusha, hivo wanaleta siasa za majitaka, lakini wananchi wa Arusha wanaelewa hizo ghiliba. Kwa ghiliza za hivyo mpelekee ile mikoa yenye watu wenye uelewa mdogo wanaoaminishwa kwamba mbunge analeta maendeleo. Nikushauri acha kuendekeza siasa za majitaka wakati watu tuna uelewa wa kutosha.
 
2020 Lema tunamla hivyohivyo mzima mzima.. na kundi lake la wahuni aliloliandaa kuhamasisha watu wamshangilie.. *****....
 
Ni kwann ivi viongoz wa chadema hua wanashangiliwa sana hata kwenye dhifa/hafla zisizo rasmi au wanazoonekana wamehudhuria kwa mazabe tu, ndo wanameki headline
 
Kama ni vijana pekee ndo wanaojiandikisha na kupiga kura Sawa, tusubiri, muda ni Mwalimu
Soma tena post yangu mkuu. Nimesema kuanzia vijana, mama zao na baba zao wote wagumu(Asilimia Kubwa). Na sijasema ccm haiwez kushinda, nimesema ikitaka kumtoa Lema itafute mtu anayeweza kuteka saikolojia ya watu wa Arusha kama Lema. Awamu zilizopita lema hakuchaguliwa sababu ana historia nzuri ya maendeleo. Alichaguliwa sababu mpinzani wake hakuwa na ushawishi alio nao Lema. Ukiwa Arusha ndo utaelewa. Watu wa Arusha wametulia tu, unaweza wafananisha na Volcano Tuli lakini volcano ni volcano haiwez kuwa Maji. Na watu wa aina hii lazima uwaletee mtu anayejua saikoloji yao na asiwe mlaini mlaini.
 
Mbowe na kina Mnyika leo lazma wamnunie Lema
 
Back
Top Bottom