Godbless Lema live Channel Ten

Atakuwepo tena wiki ijayo muda kama wa leo!
Nimeeleza kwa sehemu tu ila siyo siri Lema ni mkali!
 
Ni kweli Lema hapaswi kuwa na woga wala hofu, hayo yote ni matunda ya utawala wa CCM katika kujenga amani, utulivu na mshikamano, kama inavyokuwa kwa raia wengine.
 
Huyu jamaa namkubali sana nchi inakombolewa na watu jasili kama hawa.
 
Mkuu, kamanda Lema ndiye mbunge wetu wa maisha hapa Arusha mjini.
 
Pia anasema wachafurahie kuwa yeye kaonewa na mahakama kumvua ubunge kuwa haikutenda haki
lkn hapohapo anasema hapend kuona mtu yeyote akionewa iwe wa ccm,cuf au raia kwani ukishabikia lema kuvuliwa ubunge mahakama haitaacha mwendelezo wa kutokutenda
hata ukiwa mtu wa ccm bibi yako atadhulumiwa shamba na hukumu za rushwa na kibabe n.k
anasema hapend kuona hayo......!
 
huyu jamaa anaelewa ni sampuli gani ya watu anaowawakilisha kwa hiyo hhitaji kubembeleza watu wa arusha wanataka siasa za kupambana na siyo soft siasa kama wengine wanavyodhani
Mheshimiwa Lema awahakikishia wananchi wa Arusha kujenga hospital tena wakimuuzi kwa kutokuamini basi atajenga mpaka swimming pool hospitalini. Big up Mheshimiwa Lema.
 
Kweli kabisa mkuu. Huyu jamaa anafaa hata kuwa RAISI wa nchi hii na mambo yakaenda kuliko sanamu tuliyonayo.

Tanzania haiwezi kuongozwa na mvuta bangi na mwizi wa magari.
 
Hoyce Temu amesema mwendelezo ni Jumapili saa 1:30 jioni Channel 10
sjui kuunganisha link sjui kama mnaweza nisaidia
lkn huyu H. Temu huwa anaweka kwa Facebook....
Search- MIMI NA TANZANIA
huwa anaweka!!
thanx mkuu, ubarikiwe kwa kutujuza hayo.!
 

elimu ni zaidi ya vyeti mkuu, nipatie cv ya dr. shukuru kawambwa.
 
Hongera kamanda Lema Mungu awapiganie,ushauri wangu mdogo ni kuwa jitahidi kutokuchanganya sana lugha ukiwa kny media maana kuna watakaopunjwa utamu wa habari husika,leo ulichanganya sana! Vinginevyo nakuombea kheri
 
Huyu jamaa anajua jamani huwezi pata majembe kama haya kwenye chama cha mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…